Jana baada ya umeme kukata na ule uzi wa raarifa kufunguliwa kila mtu alikua anatoa ushuhuda eneo lake halina umeme, sijui kwimba, Tandahimba, tunduru, kibosho, changanyikeni, nyakasangwe, kaliua, mtimbira, mpitimbi huko, nk nk.
Ila tukirudi kwenye profile fulani from uk, fulani from Michigan...