SABA SABA KUKO VUZURI SANA!,

SABA SABA KUKO VUZURI SANA!,

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
22,663
Reaction score
27,302
Nimewasili sabasaba kushuhudia maonesho haya nikidhani labda njiani ningepata vikwazo lakini hakuna kikwazo chochote,ni kweli askari wapo wengi sana,lakini hawana shida na mtu yeyote yule,
---TUTOKE TWENDENI HALI NI SHWARI SANA SANA ---
1000006399.jpg
 
Nimewasili sabasaba kushuhudia maonesho haya nikidhani labda njiani ningepata vikwazo lakini hakuna kikwazo chochote,ni kweli askari wapo wengi sana,lakini hawana shida na mtu yeyote yule,
---TUTOKE TWENDENI HALI NI SHWARI SANA SANA ---View attachment 3624173

WATU WASIJIDANGANYE KUTOKA. UKIONA TU ASKARI WAPO WENGI UJUE HALI SI NJEMA. SO MSIJE MKATOKA MKAKUTANA NA RISASI KAMA OCT 29
 
Nimewasili sabasaba kushuhudia maonesho haya nikidhani labda njiani ningepata vikwazo lakini hakuna kikwazo chochote,ni kweli askari wapo wengi sana,lakini hawana shida na mtu yeyote yule,
---TUTOKE TWENDENI HALI NI SHWARI SANA SANA ---View attachment 3624173
ni kweli pako shwari kabisa. Unaweza kudondosha waleti yenye hela na ukaoletewa...Faida moja wapo ya Wanaharakati.
 
Back
Top Bottom