sahihi

  1. P

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kabisa buldoza kutangulia porini

    Katika kujenga nchi ki uchumi na kijamii na hasa nidhamu katika utumishi wa umma, tulipokuwa tumefika, hakukuwa na namna nyingine ya kufanya mbali na kutanguliza buldoza. Na ndivyo inavyokuwa katika kujenga miundombinu kama barabara n.k. Buldoza kwanza, halafu mitambo mingine kama grader...
  2. fmlyimo

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?

    Poleni sana Watanzania wenzangu kwa kuondokewa na Rais wetu kipenzi. Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina. Kutokana na hali ilivyo, automatically Mama Samia aliyekuwa Makamu wa Rais ndio anakuwa Rais kamili kwa kipindi cha miaka minne iliyobaki. Je, nani anayefaa kuwa Makamu wa Rais...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Protocol: Kwanini Mama Janeth Magufuli kuondoka uwanjani kwenda Makaburini kabla ya Mhe. Rais?

    Nimefuatilia matangazo kuhusu utaratibu wa kesho msibani, pia nimepitia ratiba. Naomba majuzi wa protocol watupe elimu, kwanini Mama Janeth ataondoka wa Kwanza uwanjani kwenda Makaburini nakumwacha Rais? Tumezoea kumwona Rais akitangulia kuondoka maeneo mengi anayofika kikazi.
  4. 2019

    JamiiForums Tanzania Kupitia kisa hiki, kama mume ungechukua hatua gani? Wanawake Je huyu mwenzenu yuko sahihi?

    Imemtokea mdogo wangu ukoo mmoja saivi anazidi kukonda tu: umri wa wote ni kati ya 21-27. Alimpenda dada mmoja 2018,mtoto wa kike nae alimpenda pia jamaa akawa serious nae na kutangaza kuishi nae,huyo dada akadai ana mtu mwenye malengo nae(ndoa) ambaye pia wazazi wanamjua. Basi dogo akampa...
  5. Cvez

    JamiiForums Tanzania Huenda njia alizokuwa anatumia hazikuwa sahihi ila alikuwa na lengo zuri

    Sijawahi kupenda aina yake ya uongozi ila alikua na Tanzania nzuri aliyoiona kichwani mwake. Na alipambana sana kuitaka hiyo Tanzania yake ikibidi hata wale waliokosoa kuwaondoa lengo la kufikia Tanzania ambayo alikua anaitaka na kwa wananchi wake. Huenda njia alizokua anatumia hazikua sahihi...
  6. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Hoja dhidi ya Hoja: Maswali Sahihi Huleta Majibu Sahihi: Tatizo la Kudhania Kutoonekana kwa Magufuli

    MASWALI YASIYO SAHIHI HULETA MAJIBU YASIYOSAHIHI: TATIZO LA KUDHANIA Na. M. M. Mwanakijiji Katika hoja yangu ya wiki iliyopita nilijikuta nami nimechokosa udhanifu (assumptions) katika kujenga hoja hiyo na hivyo kuingia kwenye mtego wa maswali yasiyo sahihi. Mtu anapouliza kitu anafanya hivyo...
  7. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Harmonize: Kajala ni mwanamke sahihi kwangu kwa asilimia mia

    Hamornize amethibitisha kuwa anaamini Kajala ni mwanamke sahihi kwenye maisha yake! Akijibu swali la Mwijaku amediriki kutamka kuwa usahihi wa Kajala kwenye mahusiano yake ni 1000% Uzi tayari
  8. OLS

    JamiiForums Tanzania DC wa Temeke, Godwin Gondwe hayuko sahihi katika kufukuza wanafunzi, watu wa haki za watoto na Haki Elimu nategemea sauti yenu katika hili

    Gazeti la Mwananchi liliripoti kuwa shida ya Shule ya Msingi Toangoma ni uchache wa madrasa na wingi wa wanafunzi ambao automatically inakuwa ngumu kwa walimu kudhibiti tabia za wanafunzi. Since tatizo ni wingi wa wanafunzi kwa upande mmoja ambapo, mwanafunzi sio mkosaji in the first place...
  9. WA MAMNDENII

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada Tafsiri sahihi ya maana ya neno lililoandikwa before 40 kwenye picha ambatishwa

  10. J

    JamiiForums Tanzania Ulaya yazuia matumizi ya chanjo ya Astra Zeneca, Rais Magufuli alikuwa sahihi kutokimbilia chanjo

    BBC Dira ya Dunia inaripoti kuwa zaidi ya nchi 10 zimezuia matumizi ya chanjo ya Corona iitwayo Astra Zeneca inayosababisha damu kuganda kwa baadhi ya watu. Nchi hizo zimesema inabidi zifanye uchunguzi na utafiti wa kutosha kuhusu usalama wa chanjo hiyo kabla hazijaruhusu tena. Rais Magufuli...
  11. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Je, magari ya Japan huwa mileage zinazoonyeshwa ziko sahihi?

    Wataalam wa magari, naomba kuuliza maswali machache. Nasikia watu wanaweza kuchezea Odometer reading za magari kwa kurudisha nyuma ili gari ionekane iko na mileage chache Ukikuta gari kwenye mtandao wameandika mileage ni 60,000 KM je huwa ni sahihi ama wamechezea Odometer? Je, Japan hawana huo...
  12. Omar Msonga

    JamiiForums Tanzania Nani anajali Mradi wangu?

    Katika utafutaji wa fedha kwa ajili ya kutekeleza miradi ya maendeleo (grant support for community projects), vyanzo mbalimbali huweza kutumika, vyanzo hivyo hujumuisha; Taasisi Binafsi (Private Foundations) mfano; Foundation for Civil Society, Women Fund Tanzania n.k. Taasisi za Kifamilia...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Ununuzi wa ndege siyo kipaumbele sahihi kwa nchi yetu zaidi ya Elimu, Afya na Miundombinu!

    Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amesema kununua ndege siyo kipaumbele sahihi kwa maendeleo ya nchi yetu ukilinganisha na Elimu, Afya na Miundombinu. Mbowe amesema uwekezaji kwenye ATCL unahitaji mtaji mkubwa, utaalamu uliotukuka kwa watu wetu na mbinu za kisasa kuhimili ushindani wa soko...
  14. Mkushi Mbishi

    JamiiForums Tanzania Shule ya msingi kila mwezi tulipe pesa wapewe waalimu wasiokuwa na ajira ni sahihi?

    Wakuu Nina wadogo zangu watatu,nimejikaza niishi nao na niwasomeshe kwa kila hali ingawa sina kitu.lakini shule ya msingi waliyopo wazazi tuliambiwa waalimu ni wachache(sikuwepo kikaoni) Hivyo ikapangwa kila mwezi,kila mzazi alipie Tsh 1000 wameletwa waalimu ambao tuliambiwa hawajaajiriwa wawe...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Haikuwa uamuzi sahihi kusitisha ajira hata kwa Walemavu, hili kundi linataabika sana mtaani

    Suala la ajira limekuwa ni kilio kwa makundi yote katika jamii hasa wenye vipato vya chini ikiwemo wenye ulemavu wa aina mbalimbali na wasio na ulemavu pindi wanapohitimu elimu zao ama ngazi ya cheti hadi shahada hasa katika utawala huu wa serikali ya awamu ya tano. Tumesikia kauli mbalimbali...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Umri sahihi wa msichana kuolewa ni upi?

    Msichana anatakiwa aingie kwenye ndoa akiwa na umri gani na pia aanze kuzaa akiwa na umri gani? 20, 21,22, 23, 24, 25,26 au 27?
  17. Makanyaga

    JamiiForums Tanzania Unapata zawadi nzuri ukipata jibu sahihi la hesabu hii ya calculus

    To all students and graduates; QN: Integrate with respect to x: 1/lnx (one over natural logarithm of x)
  18. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Kibamba mmejicheleweshea wenyewe maendeleo kwa kukosa mbunge sahihi huko nyuma ila sasa Mtemvu atawavusha!

    Rais Magufuli leo amewashukuru wananchi wa Kibamba kwa kumpa kura nyingi wakati wa uchaguzi mkuu na pia kuchagua mbunge na madiwani wote wa CCM. Rais Magufuli amesema Kibamba wamejicheweshea wenyewe maendeleo kwa kushindwa kuchagua mbunge sahihi huko nyuma ambaye kwa muda wote amefanikisha...
  19. kavulata

    JamiiForums Tanzania Wazungu wanajua kuwa Tanzania sasa inae Rais sahihi

    Rais Nyerere RIP alishasemaga kuwa kama mtu mwenye akili nyingi akikupa ushauri wa kijinga na wewe ukaufuata ushauri huo kama ulivyo atakudharau sana. Viongozi wengi wa Afrika walishindwa kusema NO kwa ushauri wa kijinga wenye haara nyingi kwao waliokuwa wakipewa wa wazungu. Walishindwa kusema...
  20. mgt software

    JamiiForums Tanzania Sweden yapinga ushahidi kuwa kuvaa barakoa kunapunguza covid 19

    Wanajamvi Nimekuwa Na hisia kuwa huenda Dr. Magufuri Ni kiona mbali kutokana Na nchi ya ulimwengu wa kwanza kupinga walimu kuvaa mask wakati wanafundisha kwani hakuna ushahidi kuwa mask zinazuia covid. ====== As coronavirus runs rampant, why are some Swedish towns banning masks? Officials in...
Back
Top Bottom