Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,893
- 16,317
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania;
Kwa kipindi cha muda mrefu nimekuwa nikikutana na statement hii katika media za hapa nchini hususan linapokuja suala la serious crimes kama mauaji, ujambazi au uhujumu uchumi.
"Mshtakiwa hakutakiwa kujibu chochote kwa sababu mahakama haina mamlaka ya kusikiliza kesi za aina hiyo". Sasa kama wanajua mahakama haina mamlaka ya kusikiliza kwanini walimpeleka? Au hiyo mamlaka waliijulia pale pale baada ya kuambiwa na hakimu kuwa sisi hatuna uwezo wa kusikiliza kesi hizi?
Kama wanajua tangia zamani kuwa mahakama fulani huwa hazisikiliza kesi hizi, kwanini sasa huwa hawawapelekagi moja kwa moja katika mahakama sahihi ili huyo mtuhumiwa ajibu chochote kitu?
Wataalam ninaombeni ufafanuzi wenu juu ya hili tafadhali.
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.