sahihi

  1. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Nadhani Wizara ya Afya wako sahihi kusema tutumie dawa yenye vitunguu swaumu kupambana na korona

    Nimesoma sehemu kuwa miili ya watu wengi waliokufa korona imekutwa na damu ikiwa imeganda kwenye mishipa midogomidogo ya damu na kuiziba (thromoembolism). Wamesema hii ni moja ya complication ya korona. Sasa kitunguu swaumu kina tabia ya kufanya damu iwe nyepesi na isigande kirahisi. Naona ule...
  2. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Je, huu ni wakati sahihi wa Rais Magufuli kufunga balozi za mabeberu, tubaki na balozi tu ambazo sio za kibeberu?

    Hoja yangu nimeiweka kwenye namna ya swali ili tuweze kupata majibu sahihi, na tuangalie vyema hali yetu ya kiusalama kiuchumi, kijamii na kisiasa pia. Vita ya kiuchumi imepamba sana Moto, maadui wetu wanatumia mbinu mbalimbali ili watufute kwenye sura ya dunia. Shirika kubwa la afya la...
  3. S

    JamiiForums Tanzania WanaCCM hawamuelewi Rais anasema kwenye maono gani, wao ni kupiga makofi tu

    Ilikuwa mnafanya siri na kuudanganya umma leo Mwenyezi Mungu amewaadhiri vibaya sana sana hamna pa kujificha. Tena si kuudanganya umma wa Watanzania bali kuidanganya dunia nzima. Mnacheza na Mwenyezi Mungu atu dua zetu zimekubaliwa. Mmekwiba kura sawa tumepotezea, lakini kumsingizia Mwenyezi...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania China: Kipimo cha corona kupitia haja kubwa kina ufanisi zaidi

    China imeanza kutumia aina mpya ya kuchukua sampuli za kipimo Cha Corona kupitia sehemu ya haja kubwa. Mamlaka zinasema aina hii ya kipimo ni ya kuaminika zaidi na haraka. Kipimo hiki kinahusisha kuingizwa kwa kifaa maalumu chenye pamba kama sentimita 1 ama 2 katika njia ya haja kubwa kisha...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni: Sitaki kupatanishwa na Upinzani

    Rais Yoweri Museveni wa Uganda ameonya watu wenye lengo la 'kumpatanisha' yeye na upande wa upinzani baada ya kumalizika uchaguzi mkuu uliompa ushindi kuongoza muhula wa sita. Huku upande wa upinzani unaoongozwa na msanii Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine aliyeshika nafasi ya pili miongoni...
  6. comte

    JamiiForums Tanzania Tulichofanya katika zama hizi za CORONA na COVID-19 ni sahihi leo, kesho na siku zote

  7. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Ardhi University wasitisha utaratibu wa kuweka sahihi ya mahudhurio kazini kwa watumishi wake

    Chuo kikuu cha ardhi kimesitisha utaratibu wa kuweka sahihi ya mahudhurio kazini kwa watumishi wote kwa sababu zisizojulikana hadi itakapotangazwa hapo baadae. Watumishi wameombwa kuendelea kujali muda wa kufika kazini kama walivyozoea na wakuu wa vitengo wameombwa kuendelea kufuatilia...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Chelsea imefanya uwamuzi sahihi Sana wa kumfukuza Lampard

    Yaani hapa nilipo ninafuraha isiyo na kifani leo ninachinja mbuzi kabisa big up Abramovic na board nzima ya Chelsea hii ndio Chelsea tunayoijua hakuna kumvumilia mtu ukiaharibu unafukuzwa. Kama Lampard angeendelea kubaki hata ligi ya mabingwa tungetolewa na A.Madrid na tungeambulia patupu kocha...
  9. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Je, ni uamuzi sahihi kwa mzazi kumuadhibu mtoto wake mbele ya wageni/mkiwa ugenini?

    Habari zenu ndugu zangu wa humu JamiiForums Je, ni uamuzi sahihi kumuadhibu mtoto wako mbele ya wageni/mkiwa ugenini? Unaweza kumchapa mtoto mkiwa mmetembelea kwa watu? Utamuadhibu pale pale au utasubiri mpaka wageni waondoke kwanza/mkirudi nyumbani? Mimi niliwahi kuponea chupuchupu kupigwa...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini zile karatasi za vipimo vya mgonjwa zahanati binafsi huwa hairuhusiwi kuondoka nazo? Ni utaratibu sahihi wa tiba au ni uhuni?

    Moja ya haki ya mgonjwa ni kupewa taarifa za ugonjwa na kuzitafakali kwa makini! Swali; Kwanini vipimo na maelezo yanayoandikwa kwenye karatasi ya mgonjwa katika zahanati binafsi huwa vinazuiwa kuondoka navyo mgonjwa? Je, ni utaratibu wa kitabibu au ni uhuni? Wajuvi tujuzeni!
  11. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Watoto wanaokuja nyumbani na vitu vya kuokota (Pesa, Midoli, Mipira,). Je, ni sahihi kwa wazazi kuruhusu tabia hii?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums. Watoto wanaokuja nyumbani na vitu vya kuokota (Pesa, Midoli, Mipira). Je, ni sahihi kwa wazazi kuruhusu tabia hii? Mimi siwezi kujisifia kwamba nilikuwa na wazazi makini sana katika suala la malezi kwa maana wakati nipo mdogo...
  12. Sizinga

    JamiiForums Tanzania Engine Oil sahihi kwa Toyota Crown Royal Saloon

    Habari. Mwenye ujuzi na masuala ya Engine Oil sahihi kwa gari tajwa hapo juu yenye CC 2990 GRS 182 maana naona kama mafundi wetu ni changamoto hivi. Mwanzo niliweka Castrol iliandikwa 5W~20 na fundi akasema inaenda km 5000 nilivyocheck Google nikaona haipo sawa, ilivyofika km 3000 nikaimwaga...
  13. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kijana tumia njia hizi 2 kumjua mke sahihi wa kumuoa

    Wanaume wengi wamejikuta wameoa wanawake ambao sio size yao. Wengine wakahisi kuachana ndio suluhisho. Ok, kwakuwa hili si tangazo twende kwenye points. 1. Mpigie kwa namba ngeni, kama akianza kwa kuuliza wewe nani? Hapo unaoa mwanamke asiye na akili za kutosha au unamuoa mtu mwenye tabia za...
  14. Carleen

    JamiiForums Tanzania Hivi kimaadili ni sahihi mke wa mtu kumsifia mwanaume mwingine?

    Hi guys, Leo hata sina mengi naomba tu kuuliza hili, tunafahamu kuwa wanaume huwa mabingwa wa kutusifia wanawake, uwe umependeza, unanukia vizuri, au vyovyote vile inavyofaa kiheshima na huwa hawatazami huyu ni mke wa mtu ama mchumba wa mtu, huwa wana appreciate tu, na hakuna atakayelishangaa...
  15. safuher

    JamiiForums Tanzania Kauli ya kwamba mteja ni mfalme sio sahihi ona makosa makubwa yanayotumiwa vibaya

    Waliosema mteja mfalme walikusudia umpetipeti na kumheshimu na ujishushe kwa sababu amekuja kununua bidhaa yako, SIO KWELI. Angelikuwa mfalme wa kweli basi angekuwa amekuja kununua ili aniondolee shida zangu pasi na yeye kutatua shida zake. Lakini mteja mfalme anakuja kunichangia mimi nina...
  16. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Wanahabari na Kiswahili: Je, ni neno lipi la Kiswahili sanifu huanza kwa consonant "C" na vowel "O"? Virusi wale ni sahihi kuwandika Corona au Korona?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa jamiiforums Ndugu zangu watanzania; Je, ni neno lipi la Kiswahili sanifu huanza kwa consonant "C" na vowel yoyote ile kama "O"? Virusi wale ni sahihi kuwaandika Corona au Korona? Kwa kawaida ya uandishi wa lugha hii ya Kiingereza maneno...
  17. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa Mwana FA kujiita Gwiji wakati Fatuma Binti Baraka na fahari zake zote mpaka umauti unamfika hajawahi jiita gwiji?

    Habari wadau..! Ebu leo tumjadili huyu mtu anayejiita Mwana FA achana na Hamis Mwinjuma maana huyo nasikia siku hizi ni Mbunge huko jimbo la Muheza. Je, ni sahihi kwa wanamuziki wa kizazi hiki kipya kujivisha ma vyeo kama Gwiji,King n.k wakati hawajawai kuliletea taifa hata tuzo moja ya...
  18. Grim Langdon

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kuoa/kuolewa na mtu asiye wa kabila lako?

    Habari za mchana, Ni matumaini yangu mu wazima, nimekuwa nikijiuliza sana kuhusiana na swala hili la kuoa mtu wa kabila tofauti, Na nimeshindwa kufikia muafaka, nawasilisha kwenu nanyi mnisaidie mawazo. Natanguliza shukrani, mchana mwema.
  19. K

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kwa wapenzi au wanandoa kunyoana mavuzi?

    Heri ya mwaka mpya wakuu! Nina mchepuko wangu, kila akiona nywele zangu za huku state house zimekuwa kubwa,basi lazima achukue kifaa ananinyoa.binafsi huwa naona aibu sana kunyolewa mavuzi, so nashindwa kuelewa huu ni utaratibu wa kawaida katika mahusiano au me ndio nazeeka vibaya? Asanteni
  20. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania bila Upinzani, tuko sahihi au tumepotea? Tujadili

    Happy New Year Brothers and Sisters. NDUGU zangu, Katiba yetu inaweka bayana kuwa nchi yetu itaongozwa na mfumo wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa. Kama Taifa tulikubaliana kwa pamoja juu ya hili na mwaka 1992 tulianzisha mfumo huo ambapo mwaka 1995 tulifanya Uchaguzi Mkuu wa kwanza wa...
Back
Top Bottom