safari

Safari is a graphical web browser developed by Apple, based on the WebKit engine. First released on desktop in 2003 with Mac OS X Panther, a mobile version has been bundled with iOS devices since the iPhone's introduction in 2007. Safari is the default browser on Apple devices. A Windows version was available from 2007 to 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. Keagan Paul

    JamiiForums Tanzania Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

    Wakuu leo naomba kuleta Story yangu ya kweli ya jinsi nilivyokwenda South Africa bila kuwa na ndugu kule wala mtu wa kunipokea. Ukweli kuna wakati ilifika nilichoka sana maisha ya hapa nyumbani, ilikuwa Mwaka 2014, nilikuwa napitia changamoto nyingi za maisha hasa katika familia. Ukweli akili...
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Harmonize: Safari yake kwenda International nje ya WCB inavyowatesa Wasafi

    Habari za hasubuhi wanajamii. It's very clear kwamba kwasasa Vita ya muziki Kati ya wasafi na kondegang imepamba Moto. Ukifatlia kwa umakini utagundua wasafi wanapambana kadri wawezavyo kumsusha Kondeboy of which haitowezekana sababu njia zote za kufanikiwa kimuziki Harmonize anazijua. Anaijua...
  3. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Safari 7 za Sinbad

    SAFARI 7 ZA SINBAD BY RAJABU ATHUMAN SAFARI SABA ZA SINBAD SAFARI SABA ZA SINBAD Katika nchi ya Baghdad kulikuwepo na kijana aliyejulikana kama Sinbad mbeba mizigo. Kijana huyu alijaaliwa kuwa na uwezo mkubwa wa nguvu za kuweza kubeba mizgo. Pia alikuwa na uwezo mzuri wa kiakili. Sinbad...
  4. beth

    JamiiForums Tanzania Urusi yasitisha safari za ndege kati yake na Tanzania

    Serikali ya Urusi imesema inapanga kusitisha huduma za anga kati ya Nchi hiyo na Tanzania kuanzia Aprili 15 hadi Juni 01, 2021 kutokana na hali ya mlipuko wa CoronaVirus Serikali imesema itapitia upya zuio hilo ikiwa hali ya mlipuko itatengemaa. Mbali na Tanzania, Taifa hilo pia litasitisha...
  5. K

    JamiiForums Tanzania CCM, vita ya safari hii itapiganiwa sebuleni kwenu

    Baadhi yetu tulikuwa tunajua tangu awali kwamba ELITEs wa CCM wengi WALIMCHUKIA Hayati kuliko Wapinzani +Mabeberu walivyomchukia Mwamba kwa pamoja,Hayati mwenyewe alilijua hilo ndio sababu ya kuteua watu aina ya Bashiru kupiga nao kazi. Kitambo Inafahamika kuwa wengi wapo CCM kwa ajili...
  6. Libya

    JamiiForums Tanzania UVCCM yaomba radhi vijana, yaahidi kumpa ushirikiano Rais Samia Suluhu Hassan

    Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) umeomba radhi iwapo kuna mahali walitofautiana kimtazamo na makundi mengine na kutaka vijana wengi kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan katika majukumu yake ya kuiongoza nchi. Kauli hiyo ilitolewa jana Jumapili Machi 28, 2021 na mwenyekiti wa...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Gharama za msafara wa Rais wa Awamu ya Tano zinaweza kulingana na gharama za safari za nje za Rais wa Awamu ya Tatu

    Nimejikuta natafakari kuhusu ukubwa wa ulinzi wa Rais wa Awamu ya Tano na gharama za ulinzi huo nikihusianisha na sera yake ya kudhibiti safari za nje nabaini kwamba, watangulizi wake walikuwa na msafara wa watu wachache ila walikuwa pia na safari za nje na ukilonganisha hizi gharama za ndani na...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Wanafamilia 5 waliokufa uwanja wa Uhuru kuzikwa leo. Mchungaji Mastah aongoza ibada

    Wanafamilia 5 waliokufa wakati wa kumuaga hayati Magufuli uwanja wa uhuru wanazikwa leo nyumbani kwao Kimara. Ibada ya kuwaombea marehemu inafanyika katika Kanisa la KKKT Kimara na inaongozwa na mchungaji kiongozi wa Kanisa hilo. Mkuu wa wilaya ya Ubungo na mbunge wa Kibamba wamehudhuria...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Safari ya Mama Samia Tanga imejaa fumbo la kiimani?

    Natafakari safari ya Mama Samia kwenda Tanga, najiuliza alirejea lini Dar, najiuliza kwanini safari ya Waziri Mkuu ilifutwa ya Makamu ikawepo? Haya maswali yananifanya niamini nchi inapita kipindi kigumu ambacho ratiba za wanadamu na mipango ya wanadamu haiwezi kutimia bali mipango ya Mwenyenzi...
  10. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Safari za kuaga mwili mikoa mitano, wakuu wa Serikali wanapitisha madokezo?

    Najiribu kujiuliza Safari hizi za kumuaga hayati katika mikoa mitano Dar es Salaam, Dodoma, Zanzibar, Mwanza na hatimaye Geita nani anagharamia? Kuna madokezo yamepitishwa Serikali inagharamia posho au ni pesa za kutoka mifuko binafsi. Kama mnapisha madokezo,nani anadhibiti. Nauliza kwa...
  11. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Maisha ya mwanadamu ni safari yenye vituo

    Safari ya mwanadamu inaanzia tumboni mwa mama yake. Hakuna anaeomba mama atakaemzaa, unajikuta uko kwenye familia. Inaweza kuwa duni au tajiri. Kituo cha kwanza cha maisha kinaanzia kwenye kuzaliwa. Unavyokua mkubwa, kuna wanaotaka kukufahamu vizuri, watauliza wewe ni mtoto wa nani? Wazazi...
  12. Tomaa Mireni

    JamiiForums Tanzania Daladala inayofanya safari zake Kawe - Mbagala yaungua moto kabisa eneo la Mtongani

    Imeungua yote hadi imeshindwa kujulikana namba za usajili wake. Bado chanzo hakijajulikana.
  13. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Nini kiliua safari za moja kwa moja za mashirika ya ndege ya Ulaya kama Scandinavian Airlines na Lufthansa?

    Mambo vp jamiiforums. Nini kiliua safari za moja kwa moja (Direct Flight) za kuja Tanzania kwa mashirika ya ndege ya Ulaya kama Scandinavian Airlines System (SAS) pamoja na Lufthansa ya Ujerumani? Mbona mkongwe mwenzao KLM bado anakujaga? ========== ========== Jana nikiwa nimepaki gari yangu...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji Tanzania: Bila dhumuni la safari hakuna kupewa pasi ya kusafiria (Passport)

    Hii ndio taarifa mpya kutoka Uhamiaji iliyotolewa leo na Msemaji wake Paul Mselle. Paul Mselle amesema haya... Pasi ya kusafiria ni 'document' ya kiusalama na ni haki ya kiusalama na ni mali ya Serikali, pale ambapo mtu ataitumia vibaya basi anaweza akanyang’anywa Pasi ya kusafiria sio...
  15. Da Vinci XV

    JamiiForums Tanzania Zambia walipojaribu safari ya Mars na mwezini, na mwanaanga wao alipoishia kupata mimba (1960s)

    Haikuwa tu Amerika na Umoja wa Kisovyeti katika mbio za kuufika Mwezi na Anga za mbali katika miaka ya 1960. Kifungu cha habari katika jarida la Time 1964 kilichoelezea kuhusu uhuru wa Zambia kilijumuisha habari nyingine kuhusu mtu mmoja ambaye hakufurahi sana juu ya sherehe hizo za uhuru...
  16. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Safari za Treni ya Mwendokasi kuanza Agosti mwaka huu, 2021

    Hayo yamesemwa na Waziri wa ujenzi na uchukuzi Leonard Chamriho. Ameyasema haya baada ya kamati ya kudumu ya bunge ya miundo mbinu kutembelea na kukagua ujenzi wa mradi wa Sgr kipande cha Dodoma mpaka Dar es salaam. Hivyo amesema kuwa safari za Dar mpaka Morogoro zitaanza mwezi Agost baada ya...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi kama Secretary, Switchboard, Safari Consultant, Receptionist au customer service nina uzoefu wa zaidi ya miaka 10

    Hi, Mimi ni mwanamke wa miaka 35 naishi dar ni mlemavu wa miguu ni (disability) nina uzoefu wa zaidi ya miaka kumi kwenye kazi za Receptionist, Customers service, Switch board operator, Safari Consultant na Personal Assistant naombeni msaada wa kunisaidia kupata wanaotoa ajira asanteni sana...
  18. J

    JamiiForums Tanzania ATCL kuanza safari za China tarehe 20/03/2021, wasafiri kupimwa Corona mara mbili ndani ya saa 48 kabla ya safari

    Hii ni habari njema kabisa kwa shirika letu la ndege. Mkurugenzi mkuu wa ATCL amesema shirika lake litaanza safari za China tarehe 20 mwezi huu. Bwana Matindi amesema wasafiri watalazimika kupima Corona mara mbili katika muda wa saa 48 kabla ya kuanza safari. Chanzo: ITV habari Maendeleo...
  19. Da Vinci XV

    JamiiForums Tanzania Mambo tata kuhusu NASA na safari ya mwezini: Ni kweli Neil Armstrong alisilimu baada ya kusikia Adhana mwezini?

    HAYA NDIYO MAMBO TATA KUHUSU NEIL ARMSTRONG NA SAFARI YA MWEZINI Jana nlifanikiwa kuangalia video , baada ya shirika la anga la MAREKANI, NASA kufanikisha kupeleka chombo cha utafiti katika sayari nyekundu (MARS) Chombo hicho kilichopewa jina la Perseverance Rover ambapo kiliondoka Duniani...
  20. Mwanga Mkali

    JamiiForums Tanzania Safari na pisikali bila tongozo.

    Amani kwenu! Moja ya weaknesses I had was jigjig But after 13hrs bila tongozo na pisi kali aliyekaa next seat naamini Yesu kanibadili. Ilikuwa mwiko nikae na pisi kali jirani safarini mpaka tunafika asiliwe kimasihara no matter with her status. Ila ndani ya safari hii sikuwa na mzuka zaidi ya...
Back
Top Bottom