Harmonize: Safari yake kwenda International nje ya WCB inavyowatesa Wasafi

ze keke

JF-Expert Member
Aug 20, 2012
441
500
Habari za hasubuhi wanajamii. It's very clear kwamba kwasasa Vita ya muziki Kati ya wasafi na kondegang imepamba Moto. Ukifatlia kwa umakini utagundua wasafi wanapambana kadri wawezavyo kumsusha Kondeboy of which haitowezekana sababu njia zote za kufanikiwa kimuziki Harmonize anazijua. Anaijua wasafi nje ndani. Anajua kila kitu Chao.

Harmonize alichofanya Cha Kwanza ni kutengeneza ukuta Kati yake na wasafi of which kafanikiwa. Kwa Sasa ni ukweli usiopingika kwamba fanbase wa Harmonize hawafungamani na wasafi. He has real fanbase japo bado si wengi Kama wale wa wasafi . Alifanya hivi kwa kurudisha majeshi Kwanza bongo. Akaachana na collaboration na wanigeria Kwanza.

Kwa sasa akitoa nyimbo ana uhakika wa kutrend Tanzania wasafi watake wasitake. Projects ya AFROEAST ni project alifanya Wasafi kwahyo #HIGHSCHOOL ALBUM ndo itakayoonyesha uelekeo wake.

Kumbuka mwaka uliopita CORONA ilitibua mipango yake. Ikabidi atoe nyimbo za kishkaji ili kubuy time. Ikabidi atoe nyimbo za mipasho ili kutengeneza spotlight ya kuongelewa.

I think watu wasichokijua ni kuwa kila collaboration ambayo diamond anaweza fanya africa kwa Sasa harmonize anauwezo nao. Mtamtambua akitoa highschool album.

After hiyo project anaanza Sasa collaboration na international artists ili kupanua wigo wa kondegang. In short harmonize anafanya kitu sahihi kabisa kulingana na soko la muziki la bongo lazima uwe masikioni muda wote kwa watanzania ndo utapaa.

Pia mkumbuke kondegang haina hata mwaka na nusu toka ianze lakini mpaka Sasa ni competitive. Wasafi ina miaka kumi.
 

Kiboko.

JF-Expert Member
Jul 31, 2013
2,842
2,000
Mwambie boss waku aache kuvuta bangi na kula unga kwanza afu ndio akutume uje kumtaftia umaarufu huku, huyo unaesema anaenda international ana kipi cha ajabu? wenzake wanapiga show nje kila uchwao yeye ni lini kapiga show hata ndan tu ya nchi.

Achen kuitafta huruma ya raia kwa ujinga wenu wenyewe. Harmo n kiazi kama walivo vizi vingne
 

ze keke

JF-Expert Member
Aug 20, 2012
441
500
Mwambie boss waku aache kuvuta bangi na kula unga kwanza afu ndio akutume uje kumtaftia umaarufu huku, huyo unaesema anaenda international ana kipi cha ajabu? wenzake wanapiga show nje kila uchwao yeye ni lini kapiga show hata ndan tu ya nchi.... Achen kuitafta huruma ya raia kwa ujinga wenu wenyewe. Harmo n kiazi kama walivo vizi vingne
aliepiga show nje ni diamond tu. acheni uhuni. Mkumbuke toka aanze project ikaanza Corona labda unaongelea show zipi coz hata wanigeria show zimepungua kisa Corona. Nyie wahuni mnatambua yupo anaijenga lable yake.

Mmekazana show wakati ndo Kwanza kaanza kuijenga lable. Matunda yanayooneka mpaka Sasa ni ubalozi wa CRDB, Sayona na Sigara. Ambapo kapiga pesa ya maana. Mnataka ndani ya mwaka mmoja kondegang iwe imekamilisha kila kitu wakati wasafi ina miaka kumi.
 

Kiboko.

JF-Expert Member
Jul 31, 2013
2,842
2,000
aliepiga show nje ni diamond tu. acheni uhuni. Mkumbuke toka aanze project ikaanza Corona labda unaongelea show zipi coz hata wanigeria show zimepungua kisa Corona. Nyie wahuni mnatambua yupo anaijenga lable yake ... Mmekazana show wakati ndo Kwanza kaanza kuijenga lable. Matunda yanayooneka mpaka Sasa ni ubalozi wa crdb, sayona na sigara. Ambapo kapiga pesa ya maana. Mnataka ndani ya mwaka mmoja kondegang iwe imekamilisha kila kitu wakati wasafi ina miaka kumi.
Huna akili na hujui hata unachokiongea, wewe na bosi wako wote ni matabulasa. Pambaneni na hali yenu.
 

ze keke

JF-Expert Member
Aug 20, 2012
441
500
Mwambie boss waku aache kuvuta bangi na kula unga kwanza afu ndio akutume uje kumtaftia umaarufu huku, huyo unaesema anaenda international ana kipi cha ajabu? wenzake wanapiga show nje kila uchwao yeye ni lini kapiga show hata ndan tu ya nchi. Achen kuitafta huruma ya raia kwa ujinga wenu wenyewe. Harmo n kiazi kama walivo vizi vingne
Hapa tunaongelea MUZIKI hayo Mambo ya bangi yametokea wapi. Usichokijua Burnaboy anavuta bangi na kabeba Grammy.
 

Swet-R

JF-Expert Member
Jul 20, 2018
4,193
2,000
Niliposoma tu “hasubuhi”. Nilijua tu humu hamna madini. Lakini katika hayo huyo unaemsifia ndio alianza kutaka van afungwe miaka kibao. Na sio kutaka tu,alipambania sana ameshindiwa mbali. Ndio hiyo sisi wahenga tunasema “mpiga vita haulizi mwenzie”. ”Akuanzae mmalize”.
 

Makanyaga

JF-Expert Member
Sep 28, 2007
6,587
2,000
Hivi huyu mtoto mara hii naye ameshakuwa Billionaire kama Diamond? Hawa watoto nawajua kwa sababu they are said to have got a lot of cash, wakati mimi sina. Hicho tu tndicho kinachopelekea niwafahamu.
 

Darmian

JF-Expert Member
Oct 1, 2017
12,756
2,000
Mwambie boss waku aache kuvuta bangi na kula unga kwanza afu ndio akutume uje kumtaftia umaarufu huku, huyo unaesema anaenda international ana kipi cha ajabu? wenzake wanapiga show nje kila uchwao yeye ni lini kapiga show hata ndan tu ya nchi.... Achen kuitafta huruma ya raia kwa ujinga wenu wenyewe. Harmo n kiazi kama walivo vizi vingne
Wasanii gani wanafanya shows nje? Si kuna corona?
 

ze keke

JF-Expert Member
Aug 20, 2012
441
500
Mnapambana Sana kumpoteza Harmonize but nawahakikishia haitowezekana sababu njia zote za kufanikiwa kimuziki Harmonize anazijua. Kibaya zaidi Watanzania nao wanashangilia wakati tunatakiwa kuwa na international artist wengi.
 

Slowly

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
5,617
2,000
Hii inaaonyesha dhahiri kuwa mnamchukia harmonize bila sababu za msingi. Maumivu ya kuhisi atampita diamond wakati huo mpango Hana.
Sema hvi , Wasafi wanamboost Rayvanny kama super sub kupitia konde boy , kulinganisha Wasafi a well and strong organized label around east Africa dhidi ya upuuzi wa konde gang ni matumizi mabaya ya akili ....
 

ze keke

JF-Expert Member
Aug 20, 2012
441
500
Niliposoma tu “hasubuhi”. Nilijua tu humu hamna madini. Lakini katika hayo huyo unaemsifia ndio alianza kutaka van afungwe miaka kibao. Na sio kutaka tu,alipambania sana ameshindiwa mbali. Ndio hiyo sisi wahenga tunasema “mpiga vita haulizi mwenzie”. ”Akuanzae mmalize”.
Hivi uliwahi kujiuliza damage aliyoifanya rayvanny kupost anamla mate Paula someday anaona mamake anatrend na konde insta. Alitaka kutuma ujumbe upi kwa Kajala. Kwamba unaliwa na harmo mm nakula mwanao. You are one sided.....but ukweli usiopingika ni kuwa vannyboy alionyesha dharau kwa Kajala na harmonize Ile siku
 

ze keke

JF-Expert Member
Aug 20, 2012
441
500
Sema hvi , Wasafi wanamboost Rayvanny kama super sub kupitia konde boy , kulinganisha Wasafi a well and strong organized label around east Africa dhidi ya upuuzi wa konde gang ni matumizi mabaya ya akili ....
Wasafi Ina miaka kumi. Kondegang Ina mwaka mmoja. Tuwape muda.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom