Urusi yasitisha safari za ndege kati yake na Tanzania

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Serikali ya Urusi imesema inapanga kusitisha huduma za anga kati ya Nchi hiyo na Tanzania kuanzia Aprili 15 hadi Juni 01, 2021 kutokana na hali ya mlipuko wa CoronaVirus

Serikali imesema itapitia upya zuio hilo ikiwa hali ya mlipuko itatengemaa. Mbali na Tanzania, Taifa hilo pia litasitisha huduma za anga kati yake na Uturuki katika tarehe hizo

Vyanzo:



=====

Russia is temporarily suspending regular and charter flights with Turkey, Moscow announced Monday.

The suspension over COVID-19 concerns will last from April 15 to June 1, said Deputy Prime Minister Tatyana Golikova.

Flights will resume if developments in the pandemic show a positive trend, she added, speaking at a video conference with other members of the government,

She also said travel agencies were recommended to halt sales of tours to Turkey and the East African country of Tanzania, where flights have also been suspended.

However, two regular flights per week between Istanbul and Moscow will continue service, from the Russian capital and then back again, she said.

Flight service home for Russian nationals working on the Akkuyu nuclear power plant project in the southern Turkish province of Mersin will also continue.

Russian authorities will closely follow the situation with COVID-19 in both Turkey and Tanzania and take steps as needed, she added.
 
Watu aina yako ni hasara kwa taifa. Mnatishia wazenji wazenji mbona omani na kule kwenye kuhiji wametoa yao hatujaona kelele za wazenji walalamika kufa njaa
Punguza jazba kidogo. Sijamtisha mtu. Nasema wewe ni mnafiki kujimwambafai wakati hatua hii haikuathiri moja kwa moja. Kwa mtu yoyote aliyefika zanzibar kipindi hiki cha corona anajua kabisa warusi ndio walikua wanasapoti sana sekta ya utalii visiwani.

kulikua na ndege za kukodi si chini ya 3 kila wiki zinaleta watalii....warusi walijaa pale unguja mpaka hata vijana wa zenji wakaanza kuongea kirusi. Hatua hii inaenda kuathiri mifuko yao moja kwa moja. Sisi huku bara wala hatutaathirika
 
Nani mwenye jazba aliyeporomosha gazeti hapa. Mnafiki ni wewe. Si mna serikali yenu huko na ndege zinatua huko sasa kutupigia kelele hapa inahuu mxieeew
Punguza jazba kidogo. Sijamtisha mtu. Nasema wewe ni mnafiki kujimwambafai wakati hatua hii haikuathiri moja kwa moja. Kwa mtu yoyote aliyefika zanzibar kipindi hiki cha corona anajua kabisa warusi ndio walikua wanasapoti sana sekta ya utalii visiwani...kulikua na ndege za kukodi si chini ya 3 kila wiki zinaleta watalii....warusi walijaa pale unguja mpaka hata vijana wa zenji wakaanza kuongea kirusi. Hatua hii inaenda kuathiri mifuko yao moja kwa moja. Sisi huku bara wala hatutaathirika
 
Nani mwenye jazba aliyeporomosha gazeti hapa. Mnafiki ni wewe. Si mna serikali yenu huko na ndege zinatua huko sasa kutupigia kelele hapa inahuu mxieeew
Kwakweli elimu..elimu..elimu.

1. Mimi sio mzanzibari...ila natambua athari ya huu uamuzi kwa zanzibar.

2. Inakua vipi usifahamu kwamba usafiri wa anga ni jambo la muungano? Russia wakisema wanazuia ndege kuja tanzania inamaana zanzibar hazitaenda.
 
Back
Top Bottom