Natafuta kazi kama Secretary, Switchboard, Safari Consultant, Receptionist au customer service nina uzoefu wa zaidi ya miaka 10

Asiapande

New Member
Mar 10, 2021
3
1
Hi,

Mimi ni mwanamke wa miaka 35 naishi dar ni mlemavu wa miguu ni (disability) nina uzoefu wa zaidi ya miaka kumi kwenye kazi za Receptionist, Customers service, Switch board operator, Safari Consultant na Personal Assistant naombeni msaada wa kunisaidia kupata wanaotoa ajira asanteni sana napitikana kupitia asiapande@gmail.com au pandeasia@gmail.com.
 
Mimi nimesoma mpaka form 6 nikachukuwa course ya front office operation na pia nina certificate ya customer service, certificate Telephone operatorna receptionist.
Sawa nitakua na share nawe posts za kazi za izo nafasi ulizoorodhesha maana kuna sehemu huwa natembelea kila mara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hi,

Mimi ni mwanamke wa miaka 35 naishi dar ni mlemavu wa miguu ni (disability) nina uzoefu wa zaidi ya miaka kumi kwenye kazi za Receptionist, Customers service, Switch board operator, Safari Consultant na Personal Assistant naombeni msaada wa kunisaidia kupata wanaotoa ajira asanteni sana napitikana kupitia asiapande@gmail.com au pandeasia@gmail.com.
Hembu fuatilia chuo cha Mipango Dodoma, ni juzi tuu wametoa tangazo ya nafasi mbali mbali na nafasi hizo zipo.
 
Hi,

Mimi ni mwanamke wa miaka 35 naishi dar ni mlemavu wa miguu ni (disability) nina uzoefu wa zaidi ya miaka kumi kwenye kazi za Receptionist, Customers service, Switch board operator, Safari Consultant na Personal Assistant naombeni msaada wa kunisaidia kupata wanaotoa ajira asanteni sana napitikana kupitia asiapande@gmail.com au pandeasia@gmail.com.
Tunahitaji wafanyakazi wawili (wa kike) i wenye uzoefu na staionary.computer na pia kufundisha au kuelekeza wanafunzi kutumia computer.Pia awe na uwezao wa kusimamaiaw wengine ofisini wasiliana nasi -0717157640
 
Back
Top Bottom