safari

Safari is a graphical web browser developed by Apple, based on the WebKit engine. First released on desktop in 2003 with Mac OS X Panther, a mobile version has been bundled with iOS devices since the iPhone's introduction in 2007. Safari is the default browser on Apple devices. A Windows version was available from 2007 to 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali chukueni hatua kuepusha vifo. Baada ya kuruhusu safari za usiku nimegundua yafuatayo

    Hivi karibuni serikali imefanya uamuzi bora kabisa wa kuruhusu magari ya abiria ( mabasi) kutoa huduma masaa 24. Hili ni jambo bora na la kupongezwa kwani linachochea ukuaji wa uchumi kwa watoa huduma kuweza kutoa huduma kuweza kuongeza muda wa kazi. Pamoja na uamuzi mzuri kuna kasoro kadha wa...
  2. SuchNoble

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Mapato (TRA) waongeze nguvu katika vituo vya kula chakula barabarani kipindi cha safari

    Nafikiri kwa msafiri yoyote anayesafiri kwa kutumia either mabasi ya abiria au usafiri binafsi atakubaliana na mimi kuwa vyakula katika hoteli za njiani (stop overs) vinauzwa at a very premium prices. Sasa hoja yangu sio bei ya kuuzwa kwa vyakula hivyo, hoja yangu kubwa ni je, Serikali inapata...
  3. MEXICANA

    JamiiForums Tanzania Bukoba msipofuata ushauri wa Hayati Magufuli bado mtakuwa na safari ndefu sana ya kuwa na maendeleo kwenye hako kamji kenu

    Bukoba mugumile watani zangu. Kwa hayo tunayoyasikia na kuyaona huko kwenu watani zangu ni yaleyale ya miaka ya nyuma sjui nani kawaloga ninyi watani zangu,watalaamu wa mambo ya kiroho wanaita laana/tatizo la kujirudia rudia. Mwendazake aliwaasa watani zangu kuwa muache kukwamishaana ninyi kwa...
  4. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Safari ya kuishi au maisha unaamua wewe ila kusikindikizwa wanaamua watu

    Safari muhimu hata kama utaiamua wewe ni vema isikose watu wa kuambatana nawe, hata kama utaiamua hio safari wewe ila watu ndio watakusindikiza na kukufikisha. Safari katika maisha zipo nyingi na zote wameumbiwa watu. Chagua safari yenye heri itakayo ambatana na wasindikizaji wema. Heri nyote...
  5. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Safari bado ndugu yangu, hujamaliza!

    1. Dada umejifungua salama usianze kudelete namba za wakunga au kuondoka kwa kibri Hospital. 2. Umemaliza masomo usianze kudelete namba za wenzio mliosoma nao. Safari bado inaendelea. 3. Umeacha kazi au umefukuzwa usianze kutukana watu safari bado ndugu. 4. Umefanikiwa kiuchumi usipandishe...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Safari ya treni ya mwendokasi Dar mpaka Morogoro itaanza lini?

    Tuliaminishwa kuwa treni ya mwendo kasi toka Dar mpaka Morogoro ingeanza safari zake tangu 2021 na leo hii ni mwaka 2023 miaka miwili tayari imepita. Kila siku kuna msemo "Mama anupiga mwingi". Kulikoni?.
  7. All about Tanzania life

    JamiiForums Tanzania Safari yangu kutembelea Mwanza jiji la miamba

    Katika mpango wangu wa kuwahamasisha watanzania kutembelea vivutio mbalimbali ndani ya nchi yetu, kutembelea mikoa na maeneo ya kihistoria niliamua pia kujaribu kufikia sehemu hizo kama mfano kwa watu wachache wanaofikiwa na ujumbe huu. Habari!! Mwishoni mwa mwezi wa nane tarehe 28 nilianza...
  8. KENZY

    JamiiForums Tanzania Binadamu bado tupo kwenye mageuzi (evolution) na safari bado ni mbichi!

    Nikiitazama dunia na mwenendo wa hiki kiumbe kinachojiona kina maarifa ya ziada kushinda viumbe wengine,bado naona safari ndefu sana yenye kujifunza,ujinga,maarifa na ajali za kila namna!. Labda nianzie hapa.. Hivi tulivyo leo Kuna mambo ya mababu zetu tunayaona yalikuwa yakipuuzi ambayo kwao...
  9. Extrovert

    JamiiForums Tanzania Safari yako ya mafanikio bado ndefu

    Endapo unapitia hizi situation jua bado una safari ndefu katika kutafta mafanikio. 1.Ukienda kunyoa nywele unapakwa perfume badala ya aftershaving cream. 2. Ukienda bar au mgahawani unaulizia bei ya vitu kabla ya kuagiza. 3.Kila mwanamke unayemuona unamtamani na upo radhi kulala nae bila...
  10. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya basi Machame safari Kutoka Dar ~ Arusha zimeadimika barabarani shida nini?

    Hii kampuni ilianza Kwa speed ya 5G , Kwa safari Za Dar Es Salaam kwenda arusha. Ili fungua Ofisi kila mahali Huku Dar Es Salaam na Arusha . Ukilipanda ulikuwa Unapewa soda , juice na pipi sasa gari zimeadimika barabarani Tatizo ni nini!! Au wanahisi walichomoa Huku Hisa zao!!
  11. MK254

    JamiiForums Tanzania Wadukuzi wa Ukraine wadukua mfumo wa Urusi na kupata taarifa zote za safari za ndege

    Supapawa kadukuliwa kizembe sana, jamaa wameingia kwenye kanzidata na kufumua kila taarifa humo za safari zote... Ukrainian hackers have hacked into the Russian database of the Sirena-Travel booking system, obtaining information on 664 million flights over the last 16 years. They also obtained...
  12. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Hii ndio safari yangu ya Kigoma na niliyoyashuhudia

    Safari yangu ilianzia Mwanza to Kigoma, then Kigoma to Dar... Saa 12 asubuhi nilifika stand ya Nyegezi nikapanda gari moja maarufu linaitwa adventure, Mwanza kwenda Kigoma yapo magari maarufu kama Saratoga, adventure, yehova yille kati ya hayo hakuna gari lolote lile lenye unafuu magari ni 3 by...
  13. Siri yangu

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nauli ya ndege Dar-Kigoma daraja la economy ni kiasi gani?

    Ndugu wanabodi naomba kujua gharama kwenda na kurudi kutokea Dar.
  14. R

    JamiiForums Tanzania Shirika la Ndege la Tanzania anzisheni safari za Madagascar na Shelisheli moja kwa moja; naona fursa ya utalii kubwa

    Mashirika ya ndege yanayopeleka ndege kwenye visiwa maarifu Afrika ni machache sana. Nimejaribu leo kutafuta ndege ya Kwenye Madagascar au shelisheli kuwatembelea baadhi ya wafanya biashara wanaokula raha huko nimekosea hadi niende Dubai au Ethiopia au Kenya. Ikabidi nisome fursa zilizopo...
  15. DaveSave

    JamiiForums Tanzania Zawadi inayoitwa maisha: Safari ya kuachana na ulevi

    Zawadi Inayoitwa Maisha: Safari Yangu Kutoka kwa Uraibu wa Heroin Hadi Kupona Kujiunga na ukarabati ulikuwa uamuzi bora zaidi ambao nimewahi kuchukua. Sikuzote nilisema kwamba sitawahi kutumia dawa za kulevya. Nikitazama nyuma, nilifanya kila kitu nilichosema singefanya. Mara ya kwanza...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Kukabiliana na upungufu wa Dollar nchini, napendekeza safari za nje kwa watumishi wa umma zifutwe

    Ni zaidi ya mwaka sasa Serikali yetu inalalamika upungufu wa Dollar Kwa ajili ya kuagizia bidhaa na kulipa mikopo na mahitaji mengine muhimu. Safari za nje Kwa viongozi wa umma, Hazina yetu ya dollar hutumika, hivyo nashauri tuanze na kufuta safari za nje za viongozi Ili kutunza akiba ya pesa...
  17. MK254

    JamiiForums Tanzania Moscow, Urusi ndege 23 zasitishwa safari baada ya tishio la mashambulizi

    Mji mkuu wa supapawa ni tafrani kote, walianzisha shughuli ambayo imekua kero..... About 23 flights were cancelled and 19 were delayed in Moscow on Sunday night, passengers at the Kiyevsky railways station were also evacuated due to reports of a bomb threat. Source: Russian state-owned news...
  18. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Yanga tayari mechi na El Merreck comfirmed itachezwa, Kigali Rwanda, uongozi utowe utaratibu wa safari sasa, Simba pia mnahusika

    Ni aibu kwa Watanzania mechi kama Simba na Power Dyanamos na Yanga na El Merreck zote zinapigwa kwenye nchi Jirani border to border kama viongozi wanashindwa kuwaandaa mashabiki wa timu hizi kuhudhuria kwa wengi mechi hizo kwa kuwawekea utaratibu rafiki badala ya kuwageuza fursa ili kuwapiga...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania NEMC yatoa angalizo tabia ya wenye mabasi 'kuchimba dawa' na kutupa taka Ovyo porini wakati wa safari

    Mkurugenzi wa Baraza la Uhifadhi wa Mazingira (NEMC), Dkt. Samuel Gwamaka amezungumza na waandishi wa habari na kusema: Moja ya jambo ambalo limekuwa likifanyika mara kwa mara kama mazoezi ni mabasi ya abiria, malori na magari yanayofanya safari ndefu kuwa na kawaida ya kusimama porini kwa...
  20. BUSH BIN LADEN

    JamiiForums Tanzania Tanzania Safari Channel na historia zao zisizokamiloka

    Habari wakuu Nimekuwa nikifuatilia kwa muda mrefu programs mbalimbali za kituo chetu hiki maalumu kwa ajili ya kutangaza vivutio vilivyomo ndani ya nchi yetu. Napenda sana na nafurahishwa na hii channel japo kuna kitu wananikwaza. Napenda sana historia lakini kila nikiona historia...
Back
Top Bottom