Safari bado ndugu yangu, hujamaliza!

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,468
23,745
1. Dada umejifungua salama usianze kudelete namba za wakunga au kuondoka kwa kibri Hospital.

2. Umemaliza masomo usianze kudelete namba za wenzio mliosoma nao. Safari bado inaendelea.

3. Umeacha kazi au umefukuzwa usianze kutukana watu safari bado ndugu.

4. Umefanikiwa kiuchumi usipandishe mabega ukaanza kudharau wengine na kuwaona hawajibidiishi.

5. Ukipigiwa simu hupokei. Unaiangalia tu. Au unakata. Unadhani umefika. Kumbe safari bado.

6. Umenunua gari ukipita matope unaturushia. Safari bado ndugu

7. Umenunua gari unajifungia tu kwenye gari vioo mpaka juu salamu kwa wengine hutoi . Ndugu safari bado inaendelea.

8. Umeachana na mpenzi wako unaanza kumkashifu sijui kibamia sijui ana bakuli.... usitukane watu ndugu safari bado

9. Umemaliza shule unaanza kibri kwa waliokusomesha. Usianze kudharau watu safari bado. Maisha ni safari ndefu ndugu safari bado.

10. Umepata cheo sasa unanyanyua shingo na kupandisha mabega kukandamiza wenzio. Ukumbuke safari bado... endelea kumheshimu Mungu safari bado inaendelea.
 
Ukijenga nyumba,ukadharau wapangaji,Mungu anakukumbusha Kobe ana nyumba yake na anatembea nayo hana maringo,wewe ukifa nyumba unaiacha wanakaa wengine!Kobe huzikwa nayo na hana maringo!Safari bado sana.
 
1. Dada umejifungua salama usianze kudelete namba za wakunga au kuondoka kwa kibri Hospital.

2. Umemaliza masomo usianze kudelete namba za wenzio mliosoma nao. Safari bado inaendelea.

3. Umeacha kazi au umefukuzwa usianze kutukana watu safari bado ndugu.

4. Umefanikiwa kiuchumi usipandishe mabega ukaanza kudharau wengine na kuwaona hawajibidiishi.

5. Ukipigiwa simu hupokei. Unaiangalia tu. Au unakata. Unadhani umefika. Kumbe safari bado.

6. Umenunua gari ukipita matope unaturushia. Safari bado ndugu

7. Umenunua gari unajifungia tu kwenye gari vioo mpaka juu salamu kwa wengine hutoi . Ndugu safari bado inaendelea.

8. Umeachana na mpenzi wako unaanza kumkashifu sijui kibamia sijui ana bakuli.... usitukane watu ndugu safari bado

9. Umemaliza shule unaanza kibri kwa waliokusomesha. Usianze kudharau watu safari bado. Maisha ni safari ndefu ndugu safari bado.

10. Umepata cheo sasa unanyanyua shingo na kupandisha mabega kukandamiza wenzio. Ukumbuke safari bado... endelea kumheshimu Mungu safari bado inaendelea.
Neno lenye hekima hilo. Mwenye masikio na asikie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom