Binadamu bado tupo kwenye mageuzi (evolution) na safari bado ni mbichi!

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
26,221
56,870
Nikiitazama dunia na mwenendo wa hiki kiumbe kinachojiona kina maarifa ya ziada kushinda viumbe wengine,bado naona safari ndefu sana yenye kujifunza,ujinga,maarifa na ajali za kila namna!.

Labda nianzie hapa..
Hivi tulivyo leo Kuna mambo ya mababu zetu tunayaona yalikuwa yakipuuzi ambayo kwao yalionekana ni hekima!,nasi hivyohivyo tunamambo ambayo Sasahivi tunajiona ni very intelligent lakini ukikaa chini nakutafakari utagundua ni upuuzi ambao unatokea katika makuzi yetu!.

Na haya ndio mambo machache ambayo tumeyakumbatia kwasasa tukiona ni muhimu lakini kumbe ni upuuzi ambao unatuchelewesha!.

1. DINI/IMANI
Kwasababu ya Imani hizohizo najua Kuna watu wanaweza wasinielewe katika hili!,watanipinga nakuniona ni limbukeni ambae Sina akili na hekima ya Kimungu!,ila ukweli ni huu haya ni mapito vizazi vijavyo vitakuja kuyasoma haya nakuona ujinga wetu na namna ambavyo tumekengeuka nakuuacha uhalisia nakukamata mambo yakufikirika!.
Ndio yakufikirika mpaka hivi Sasa hakuna uhalisia katika mambo yakiimani ama dini bali imekuwa ni ficho la wajanja wanaoujua ukweli kuwapigia wengine ili wanufaike na ujinga wa wengine!.

Itatuchukua Karne kadhaa binadamu sote kutoka kwenye hili doa.. hiyo mihadhara inayofanyika yakidini, mapigano, nyumba za ibada ndio zitakuja kuwa point ama uthibitisho wa wakuwafundishia vizazi vijavyo kama sisi leo tunavyofundishwa kuhusu historical sites mbalimbali mfano maeneo kama kilwa kulipokuwa kunafanyika biashara ya utumwa!.

Sitaki kuganda kwenye hii point sana maana najua itazua mjadala usiokuwa na mwisho!.

2:URAIA NA UBAGUZI.
Ukweli ni kwamba hakuna mwenye umiliki wa hii dunia,tumejikuta tu lkn leo hii bado tunajiita Mimi wa huku au wa kule!

This is nonsense, kumuona mzungu Africa ama mkristo uarabuni sio uchafu kwenye mazingira.. this is world which support life so popote ambapo kiumbe hai kinaweza kupata mahitaji yake basi kinaweza kuishi,bado tunaubaguzi kiufupi tunashida sana kwenye kitu kinachoitwa civilization.. tunajiita wastaarabu nawakati hatujastaarabika!

Bado safari ni ndefu mno hatujafika kwenye kilele chakusema tupo civilization for hundred percentage!

Tunapigana vita sisi kwa sisi kwa vitu vyakipuuzi dini, ardhi, utaifa n.k safari ya ustaarabu hatujaifikia bado tupo hatua za awali!.

3: MAADILI NA MAARIFA
Nikizungumzia MAADILI na MAARIFA ni katika nyanja zote sio tu tabia.

Kiumbe chenye maarifa ndio chenye maadili, sisi tunajiona tuna maarifa lakini kumbe ni hamna kitu bado ni punje!.. hey we are so primitive..😅

Hii inachekesha nakurahisha! Kivipi? Ni katika namna hii
Mpaka hapa tulipo kuna uzandiki wa kuhimiza kuhusu maswala ya ushoga!, Imefika hatua hata huko mitaani imekuwa ni fashion wanaume na wanawake kulana vinyeo! Kasheshe sana hii.

Hili ni jambo ambalo linatakiwa likemewe waziwazi najua Kuna baadhi wanalikemea lakini mpaka litakapoachwa ndio tutakuwa tumefanikiwa na ndio tutakuwa tumevuka hiyo stage!.

Tuna maarifa lkn hatuna maadili kwenye chakula,mnajua mchango wa chakula katika afya zetu lkn mpaka hivi Sasa tunaviwanda vinavyozalisha vyakula vyenye kemikali zisizofaa kwenye miili yetu!

Maana yake tunajimaliza wenyewe! pia bado hatuna nidhamu ya mtu mmoja mmoja kwenye swala hilohilo la chakula mtu anajua madhara ya chakula fulani lkn bado anakula! kama mnaweza kuona ninavyoona basi safari yetu ni pevu mno.

Ati tunambegu nakuku wakisasa ambao ukila ngozi na ama mifupa yake inaweza kukudhuru na hivyo vitu mamlaka za dunia zimeachia vizalishwe!.. we fake ourselves!

Safari bado ni ndefu mpaka tutakapojua nini chakujipa ili kulinda afya zetu.

Tunaona ni maendeleo kwakuwa na vituo vyingi vya upasuaji wa binadamu wakati huohuo tunajimaliza kwa kutumia vitu fake hakuna afya itatulia hapa!.

Hivyo vitu vitatu vinatosha kutuonyesha binadamu bado sana,safari ni changa yenye milima na mabonde na hata kama Kuna viumbe vyenye maarifa kushinda sisi basi hawatakaa wajionyeshe kwasasa!, nafikiri ipo haja ya wao kusubiri mpaka tupevuke vyema mindset yetu inahitaji ujazo zaidi na zaidi ni lazima binadamu abadilike sana mpaka aje afikie maarifa makubwa sana na ndipo tutaangazia Sheria kadha wa kadha zinazohusu ulimwengu.

Kuna vitu sio kwamba vimejificha ni sisi ndio tumejificha!.

Natamani hili andiko lije lisomwe na vizazi vya millennia kadhaa huko.

Yote kwa yote tujitahidi kustaarabika ndugu zanguni fumbukeni,nahisi kama kwasasa Kuna mahali tunastahili kuwepo sio hapa.
 
Kiumbe chenye maarifa ndio chenye maadili, sisi tunajiona tuna maarifa lakini kumbe ni hamna kitu bado ni punje!.. hey we are so primitive..

Ulichoandika sio kitu kipya wengi katika binaadamu wanayajua yote hayo ila kuna walio na uwezo na wasio na uwezo, wenye uwezo ndio huamua vipi maisha yaende, wasiokuwa na uwezo hawana namna zaidi ya bendera kufuata upepo, ulichokosea ni kimoja tu hujaangalia wale ambao wanasimamia maisha yetu, mpaka siku watakayoamua tuishi kama binaadamu anavyostahili kuishi tutasubiri sana hayo uliyoyataja kutokea, Kwa ufupi hakuna binaadamu mwenye akili timamu asiyeyajua hayo uliyoyasema lkn utekelezaji wake ni mpaka wenye nguvu waishiwe na nguvu zao ndio tutasalimika, tuendelee kumuomba mungu.
 
Back
Top Bottom