Tuliaminishwa kuwa treni ya mwendo kasi toka Dar mpaka Morogoro ingeanza safari zake tangu 2021 na leo hii ni mwaka 2023 miaka miwili tayari imepita. Kila siku kuna msemo "Mama anupiga mwingi". Kulikoni?.
Alikuwepo na aliahidi kuwa 2019 dar to Moro itakuwa hewani lkn mpaka anafariki 2021 ilikuwa bado, so kaeni mkielewa ni Jambo la kawaida kuchelewa kukamilika miradi kama ilivyopangwa.Angekuepo mwamba JPM Tungekuwa tushaanza safari kitambo tu
Nakusahihisha. Kwenye plan za awali Treni ya SGR ya Dar -Moro ilikuwa ianze Novemba 2019 wakati wa Dhalimu akiwa hai.Tuliaminishwa kuwa treni ya mwendo kasi toka Dar mpaka Morogoro ingeanza safari zake tangu 2021 na leo hii ni mwaka 2023 miaka miwili tayari imepita. Kila siku kuna msemo "Mama anupiga mwingi". Kulikoni?.
Asante kwa sahihisho hilo. Hawa wahafidhina wa Samia wanataka kuhusisha ucheleweshaji wa miradi kuwa ni kwa sababu "shujaa" wao au DIKTETA Magufuli hayupo. Kumbe huyo huyo Magufuli ndiyo chanzo cha ucheleweshaji kwa sababu alikurupuka kuanzisha miradi MIKUBWA mingi kwa wakati mmoja bila kujuwa fedha za kulipa gharama za ujenzi atatoa wapiAlikuwepo na aliahidi kuwa 2019 dar to Moro itakuwa hewani lkn mpaka anafariki 2021 ilikuwa bado, so kaeni mkielewa ni Jambo la kawaida kuchelewa kukamilika miradi kama ilivyopangwa.
Tuliaminishwa kuwa treni ya mwendo kasi toka Dar mpaka Morogoro ingeanza safari zake tangu 2021 na leo hii ni mwaka 2023 miaka miwili tayari imepita. Kila siku kuna msemo "Mama anupiga mwingi". Kulikoni?.
Mbona ilishaanza kitambi, mimi uwa ndio usafiri wangu!Tuliaminishwa kuwa treni ya mwendo kasi toka Dar mpaka Morogoro ingeanza safari zake tangu 2021 na leo hii ni mwaka 2023 miaka miwili tayari imepita. Kila siku kuna msemo "Mama anupiga mwingi". Kulikoni?.
Unaishi Kwa hisia sanaKuna msemo wa wanasheria unasema hivi “justice delayed is a justice denied” wahuni wa kijani hawana mpango na SGR, ikikamilika dili zao za mafuta na usafirishaji kupitia malori zitakufa.
Kinachoendelea ni kupigwa propaganda 2025 wautumie kuombea kura kwamba mkiwachagua tena wataenda kuumalizia
Jpm alitujuza mapema.
Mkuu Niko APA nakunywa 🍺 nakutana na hii 👆 , nimejukuta nacheka kifalaHii Reli itakuja kumaliziwa na Serikali ya CHADEMA.
Tuliaminishwa kuwa treni ya mwendo kasi toka Dar mpaka Morogoro ingeanza safari zake tangu 2021 na leo hii ni mwaka 2023 miaka miwili tayari imepita. Kila siku kuna msemo "Mama anupiga mwingi". Kulikoni?.
Chadema hawa hawa wapinga maendeleo waliouita Sgr mradi wa tembo mweupe?Hii Reli itakuja kumaliziwa na Serikali ya CHADEMA.
Kuna watu wasiofanana na wewe kwa rangi wamemuweka msimamizi kiganjani wameagiza mabasi 12+ je unategemea niniTuliaminishwa kuwa treni ya mwendo kasi toka Dar mpaka Morogoro ingeanza safari zake tangu 2021 na leo hii ni mwaka 2023 miaka miwili tayari imepita. Kila siku kuna msemo "Mama anupiga mwingi". Kulikoni?.