safari

Safari is a graphical web browser developed by Apple, based on the WebKit engine. First released on desktop in 2003 with Mac OS X Panther, a mobile version has been bundled with iOS devices since the iPhone's introduction in 2007. Safari is the default browser on Apple devices. A Windows version was available from 2007 to 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. E

    JamiiForums Tanzania Kuna Tamthilia huko leo ni siku ya Nne inaonyeshwa safari ya Dk 25 , Bongo movie mjitathimini

    Bongo movie mjitathimini , Tamthilia ya Huba leo ni siku ya nne inarusha scene ya safari toka Zanzibar to Dar . Humo ndani siku zote hizo nne hakuna cha maana kinarushwa humo ndani ya ndege zaidi ya majungu na vijembe . Mtalaumu sana watu hawafuatilii but mnaboa .
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania Safari Channel bora kabisa inayothaminisha nchi na muda wa mtazamaji

    Dokta Ayubu Ryoba anastahili kongole kwa ubunifu huu wa channel inayoweza kuangaliwa na dunia nzima ikielezea uzuri, historia na hadhi ya nchi yetu. Nimekuwa nafuatilia vipindi vya channel hii ya utalii nimejikuta naeleimika sana kuhusu uzuri wa nchi yangu na hata kuna maeneo ambayo si rahisi...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa walioolewa: Ulikutaje Nyumba au Chumba chako uliporudi kutoka Safari ambayo ulienda peke yako bila Mwenza?

    Nilibahatika kumsindikiza dada mmoja kwake na mizigo yake akiwa amerudi safari. Sasa ile namsaidia kuiingiza vitu ndani, sebuleni nilichokiona ni hatari! Kweli sisi wanaume ni wachafu ila yule jamaa noma, gamboot na tope zake ndani, soksi juu ya meza, chupa za soda chini ya meza, mabuibui...
  4. JamiiForums Tanzania Kuna nini ndege za ATCL safari za ndani?

    Hivi ninavyoandika abiria wa ndege za ATCL kwenda Arusha, Bujumbura, Dodoma wapo stranded Terminal II ya JKNIA kwa sababu ya kutokuwepo kwa ndege zinazoenda maeneo hayo... Taarifa zisizo rasmi toka kwa wafanyakazi wachache waliopo hapa wanatoa excuse sijui **** shida kwenye runway lakini ndege...
  5. JamiiForums Tanzania Safari Operations Assistant at Asilia Lodges And Camps Ltd January, 2024

    Company Name: Asilia Lodges And Camps Ltd Position: Safari Operations Assistant Department: Safari Operations Reporting To: Safari Operations Manager SCOPE AND PURPOSE OF THE JOB: To reconfirm safari and to communicate between office and guide before, during and after safari to ensure guests...
  6. JamiiForums Tanzania TRC yasitisha huduma ya safari za treni mikoa 12

    Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetoa taarifa kuwa limesitisha kwa muda huduma ya safari za treni kutoka Dares Salaam kuelekea Mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Tabora, Katavi, Kigoma, Shinyanga na Mwanza, pamoja na Mikoa ya Tanga, Kilimanjaro na Arusha kutokana na uharibifu wa miundombinu ya...
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania yazuia ndege za Kenya Airways kutua nchini. Ni baada ya Kenya kutoruhusu ndege za Tanzania kubeba mizigo Kenya

    Kumekucha. Kama kupata tupate wote, kwa nini unazuia ATCL isinlbebe mizigo Tanzania na kutua Kenya. Nadhani kuna haja ya kutumia forum za kidiplomasia za EAC. Vinginevyo tuambiwe EAC imeshindwa kukutanisha viongozi wake ili kutatua mambo yao kwa amani. ====== Taarifa ya Mamlaka ya Usafiri wa...
  8. JamiiForums Tanzania Simba mnayo safari ndefu ya kuijenga timu yenu, zile 5 za Yanga zinaweza kuja kujirudia msipofanyia kazi mapungufu yenu!

    Nimeifatilia Simba kwenye mechi zote za mapinduzi cup na nimeona bado wanayo matatizo makubwa sana ya kiufundi, nilitegemea mabadiliko baada ya benchikha kuichukua timu lakini silioni ilo kwa sasa! Simba bado Wana shida ya kucheza mpira wa taratibu na kujenga mashambulizi kwa mwendo wa konokono...
  9. JamiiForums Tanzania Safari ya Morogoro kwenda Tanga unatumia saa ngapi kwa Basi?

    Naam wakuu naomba nisaidieni majibu.
  10. JamiiForums Tanzania Safari ya Kubadilika inaanzia hapa

    Kwa miaka mingi, mimea asilia imekuwa chanzo muhimu cha tiba katika jitihada za kupunguza uzito kwa njia inayofaa na asilia. Matumizi ya mimea asilia ya viungo chakula kama sehemu ya mlo wa kila siku yameonyesha faida kadhaa kwa watu wanaotafuta njia bora na yenye afya ya kupoteza uzito. Hapa...
  11. JamiiForums Tanzania Rasmi: AZAM TV watambulisha visimbuzi maalumu vya kwenye mabasi ya mikoani na magari ya safari ndefu

    Azam TV wakonga nyoyo za burudani Tanzania baada ya kutambulisha Visimbuzi vya kwenye mabasi. Hivi sasa tutakuwa tunacheki mechi za simba na yanga kwenye mabasi ya mikoani. Kupitia kurasa zao leo wametangaza rasmi kutoa huduma hiyo. ======== Azam TV Revolutionizes Travel Entertainment with...
  12. JamiiForums Tanzania Mabasi matano yazuiliwa kuendelea na safari Mbeya kutokana na changamoto

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kupitia Kikosi cha usalama barabarani limeyazuia mabasi matano ya abiria katika Stendi kuu Jijini Mbeya kuendelea na safari baada ya kukutwa na changamoto katika mifumo mbalimbali. Akizungumza mapema Desemba 26, 2023 Mwanasheria Mkuu wa Kikosi cha usalama...
  13. JamiiForums Tanzania Jinsi Simba ilivyodondosha points kizembe ambazo zingerahisisha safari ya Kombe la Dunia

    Jana wakati nashushia pilau langu kwa mvinyo, nikaanza kukumbuka points ambazo Simba imezidondosha KIZEMBE SANA katika hii misimu minne iliyotumiwa na FIFA kujua timu za kwenda Kombe la Dunia. Nimegundua Simba ingekuwa makini, leo hii tunapoongea hapa ingekuwa na point si chini ya 70 na hivyo...
  14. JamiiForums Tanzania Kampuni ya Kenya iliyokataliwa na Hayati Magufuli yaletwa nchini

    Rais Samia wanasiasa wabaya wamekuwekea mtego mwingine hatari sana, wameleta kampuni toka Kenya yenye masilahi na wao inayomilikiwa na Mkenya Andrew Chege kwa kushirikiana na baadhi ya wanasiasa wa Tanzania Kampuni iliyokataliwa na JPM yarudishwa kinyemela (Safari tech) ya Kenya Wametapeli...
  15. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto atetea safari zake za nje: Mimi si mtalii, ninasafiri kwa mpango

    Rais William Ruto ameendelea kufafanua safari zake za mara kwa mara za nje ambazo zimezua kejeli kutoka kwa baadhi ya Wakenya. Akiwa katika ibada ya kanisa huko Kimende, Kaunti ya Kiambu siku ya Jumapili, Ruto alikariri kwamba ziara zake nyingi za Kiserikali ni kwa manufaa ya ukuaji wa Kenya na...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Wanaficha costs za safari na sababu ya kuwa huko maana Watanzania wamekuwa wakilalamika matumizi ya hovyo ya fedha zao

    Haiwezekani Second on Top nationa l ranking administratively/power atoke nchini for 30 days halafu uwaambie wenye akili eti alikuwa kwenye kazi maalum. Watu si wajinga wajue! 1. Mnaficha gharama z safari be it matibabu or else other bussiness 2. Mnaficha ugonjwa Yatajulikana maana huko...
  17. JamiiForums Tanzania Foleni ni kali sana Nyerere Road (Pugu Road) kama huna safari ya lazima usitumie njia hiyo leo tarehe 09.12.2023 kuanzia mchana

    Tangu saa nane kasoro kumi nimetoka Gongo la Mboto, mpaka sasa nimefanikiwa kufika Banana Ukonga ndio nimenasa hapa. Kama huna safari ya lazima, usitumie Nyerere/ Pugu ROAD tafuta njia mbadala. Chanzo cha foleni hakijulikani, nadhani labda mzimu wa Gongo la Mboto umekasirika, watu...
  18. JamiiForums Tanzania CHADEMA wasitisha safari kuelekea Katesh-Hanang kuwafariji wahanga wa mafuriko kutokana na vikwazo walivyowekewa

    Kupitia mtandao wa X, GODBLESS LEMA ameandika kuwa wameamua kusitisha safari ya kutembelea wahanga wa mafuriko kateshi wilayani Hanang kutokana na vikwazo vikali wanavyokutana navyo tokea waanze safari ya kuelekea huko --- Tumekatisha safari ya kuelekea Katesh- Hanang kuona waanga wa mafuriko...
  19. Z

    JamiiForums Tanzania Hakuna sababu ya kuomba michango ya mafuriko ya Hanang, Serikali isaidie wananchi kwa pesa zake

    Rais na umati mkubwa wa Watanzania wenzetu wako Dubai kwa raha zao na kwa matumizi makubwa ya pesa za umma. Je, pesa za safari ya umati wote huo imetoka wapi? Sasa kuna magari ya kifahari yanaelekea Hanang bila msaada ndani yake. Serikali inaendeshwa kifahari kwa magari ya bei kubwa bila kujali...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Mambo muhimu ya kuzingatia unapoenda safari ndefu na gari lako

    Kuendesha gari ni suala linalohitaji umakini na utulivu mkubwa, hasa pale unapoendesha gari umbali mrefu. Mara kwa mara kumeshuhudiwa ajali mbalimbali ambazo kimsingi zinatokana na madereva kutokuzingatia kanuni muhimu katika utumiaji wa vyombo vya usafiri. Ili kuhakikisha usalama wako pamoja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…