Tanzania Safari Channel bora kabisa inayothaminisha nchi na muda wa mtazamaji

Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
22,606
29,754
Dokta Ayubu Ryoba anastahili kongole kwa ubunifu huu wa channel inayoweza kuangaliwa na dunia nzima ikielezea uzuri, historia na hadhi ya nchi yetu.

Nimekuwa nafuatilia vipindi vya channel hii ya utalii nimejikuta naeleimika sana kuhusu uzuri wa nchi yangu na hata kuna maeneo ambayo si rahisi mtu kufiriki yapo Tanzania.

Nawahamasisha Watanzania wenzangu, tujipe muda wa kuchungulia Channel hii ambayo inapatikana DSTV channel 292.

Channel hii ya Tanzania Safari inafaa sana hata kutazamwa na wanafunzi wa shule kwenye vipindi vya historia na Jiografia.

USHAURI
Nawashauri waandaaji wa vipindi kuzingatia local contents kwenye soundtracks za vipindi vyao. Kutumia vionjo vyetu vya muziki wa kabila mbalimbali itasaisia kuutangaza utamaduni wetu duniani. Pia ikumbukwe zana za asili za muziki zinatengeneza soundtrack nzuri mithili ya ochresta na wwtaalam hao tunao hapa nchini.

nashauri pia, local contents kwenye mavazi ya watangazai au wasimulizi. Hatupo nyuma kwenye fashion.

Nashauri pia, kuwepo na vipindi vya utamaduni wa lugha hususan nahau na misemo ya watu wa kale kwa minajili ya kukuza uelewa wa asili zetu

Ni uzalendo umenituma kuandika huu uzi.
Povu ruksa
 
Washaacha kurudia rudia vipindi?
Ndio kilichonishindaga hiki

Kila nikifungua channel nakuta yaleyale kila siku
 
Resources na kwa kuwa mwanzo wanaonesha nia, inabidi serikali iwekeze kwenye researches za vivutio vya utalii

Hata Nationa Geographics wanarejea rejea baadhi ya vipindi.
 
Dokta Ayubu Ryoba anastahili kongole kwa ubunifu huu wa channel inayoweza kuangaliwa na dunia nzima ikielezea uzuri, historia na hadhi ya nchi yetu.

Nimekuwa nafuatilia vipindi vya channel hii ya utalii nimejikuta naeleimika sana kuhusu uzuri wa nchi yangu na hata kuna maeneo ambayo si rahisi mtu kufiriki yapo Tanzania.

Nawahamasisha Watanzania wenzangu, tujipe muda wa kuchungulia Channel hii ambayo inapatikana DSTV channel 292.

Channel hii ya Tanzania Safari inafaa sana hata kutazamwa na wanafunzi wa shule kwenye vipindi vya historia na Jiografia.

USHAURI
Nawashauri waandaaji wa vipindi kuzingatia local contents kwenye soundtracks za vipindi vyao. Kutumia vionjo vyetu vya muziki wa kabila mbalimbali itasaisia kuutangaza utamaduni wetu duniani. Pia ikumbukwe zana za asili za muziki zinatengeneza soundtrack nzuri mithili ya ochresta na wwtaalam hao tunao hapa nchini.

nashauri pia, local contents kwenye mavazi ya watangazai au wasimulizi. Hatupo nyuma kwenye fashion.

Nashauri pia, kuwepo na vipindi vya utamaduni wa lugha hususan nahau na misemo ya watu wa kale kwa minajili ya kukuza uelewa wa asili zetu

Ni uzalendo umenituma kuandika huu uzi.
Povu ruksa
Wanachosha nakukera kurudia rudia vipindi
 
Back
Top Bottom