Kwa walioolewa: Ulikutaje Nyumba au Chumba chako uliporudi kutoka Safari ambayo ulienda peke yako bila Mwenza?

Kyambamasimbi

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
570
1,229
Nilibahatika kumsindikiza dada mmoja kwake na mizigo yake akiwa amerudi safari. Sasa ile namsaidia kuiingiza vitu ndani, sebuleni nilichokiona ni hatari!

Kweli sisi wanaume ni wachafu ila yule jamaa noma, gamboot na tope zake ndani, soksi juu ya meza, chupa za soda chini ya meza, mabuibui, yaani sio mchezo.

Sasa hapo ni sebuleni, chumbani sijui kulikuwaje! Wanawake mna mchango.
 
Sifa ya mwanamme wa kweli ni ukiingia kwake ukute kuchafu na vitu viko disorganized.

Ukienda anakokaa mwanamme pekee yake ukakuta ni kusafi na kumepangiliwa vizuri ujue huyo si mwanamme kamili ni mwanamke mwenzio.
 
Mwaka Jana nilisafiri masika nkaenda kulima bush, basi nkakaa kama wiki mbili, Ile narudi usiku nimechoka balaa nikajitupa kitandani na viatu nkaanza kuota kama nipo mtoni naskia sauti za vyura, ila Ile sauti ikawa kama inatokea kichwani mwangu, dakika Moja nyingi nkakurupuka Kumbe frog yupo chini ya kitanda.

Yaani wenge lote la usingizi likakata nikawa najiuliza kaingilia wapi au ni wa kutumwa, nikagundua alipitia chini ya mlango palipokuwa na uwazi.

Sasa mawazo yakazidi kuwa kama kaingia chura, nyoka atashindwaje, nikatoka nikaenda lala Kwa mshkaji kesho yake nikafanya famigesheni huwezi amini Ili kuwa kama zoo ya wadudu maana walitoka wengine hata siwafahamu.
 
Sifa ya mwanamme wa kweli ni ukiingia kwake ukute kuchafu na vitu viko disorganized.

Ukienda anakokaa mwanamme pekee yake ukakuta ni kusafi na kumepangiliwa vizuri ujue huyo si mwanamme kamili.
Acha uongo...wengine amani ya moyo hutimia tukivaa nguo nadhifu, tukinukia vizuri,....na sehemu tunapoishi iwe safi kuanzia chooni mpaka chumbani
 
Mwaka Jana nlisafiri masika nkaenda kulima bush,basi nkakaa kama wiki mbili,Ile narudi usiku mechoka balaa nkajitupa kitandani na viatu nkaanza kuota kama nipo mtoni naskia sauti za vyura,ila Ile sauti ikawa kama inatokea kichwani mwangu,dakika Moja nyingi nkakurupuka Kumbe frog yupo chini ya kitanda.
Yaani wenge lote la usingizi likakata nkawa najiuliza kaingilia wapi au niwa kutumwa,nikagundua alipitia chini ya mlango palipokuwa na uwazi.
Sasa mawazo yakazidi kuwa kama kaingia chura ,nyoka atashindwaje,nikatoka nkaenda lala Kwa mshkaji kesho yake nikafanya famigesheni huwezi amini Ili kuwa kama zoo ya wadudu maana walitoka wengine hata siwafahamu.
Mkuu ulikuwa unaishi pembezoni ya mto au majaruba..?
 
Mimi sio mchafu lakini ni disorganized haswa. Nashukuru nilipata mwanamke ambaye ni organized.
Nilivompeleka kwa wazee mara ya kwanza, maza alimuuliza wazi, umewezaje ku deal na how disorganized this nigga is?

Actually mojawapo ya vitu naenjoy kwa mama chanja ni hicho. Tumegawana, yeye kazi za kutumia nguvu nyingi hafanyi, mimi huko ndio nyumbani.
 
Hongera zake shemeji yetu picha ya tafadhali tumjue😂
Mimi sio mchafu lakn ni disorganized haswa.
Nashukuru nlipata mwanamke ambaye ni organized.
Nlivompeleka kwa wazee mara ya kwanza, maza alimuuliza wazi, umewezaje ku deal na how disorganized this nigga is?
Actually mojawapo ya vitu naenjoy kwa mama chanja ni hicho.
Tumegawana, yeye kazi za kutumia nguvu nyingi hafanyi, mimi huko ndio nyumbani.
 
Sifa ya mwanamme wa kweli ni ukiingia kwake ukute kuchafu na vitu viko disorganized.

Ukienda anakokaa mwanamme pekee yake ukakuta ni kusafi na kumepangiliwa vizuri ujue huyo si mwanamme kamili.
Mnakalilishana ujinga huu na wengine wanaishi na kuishia nao mwisho wa siku unakutwa na lundo la machupa ya maji ya uhai chumbani umeyajaza mikojo na kindoo kimejaa mimavi unaenda kupimwa akili kumbe ulilishwa ujinga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom