Kuna nini ndege za ATCL safari za ndani?

Watu8

Platinum Member
Feb 19, 2010
71,002
94,026
Hivi ninavyoandika abiria wa ndege za ATCL kwenda Arusha, Bujumbura, Dodoma wapo stranded Terminal II ya JKNIA kwa sababu ya kutokuwepo kwa ndege zinazoenda maeneo hayo...

Taarifa zisizo rasmi toka kwa wafanyakazi wachache waliopo hapa wanatoa excuse sijui **** shida kwenye runway lakini ndege za PW zinaondoka vizuri tu kwani abiria wake wanaitwa kwenda ku-board (mathalani PW ya BKB kupitia MWZ)...

Ndege ya Arusha imesogezwa hadi saa 10 alasiri toka saa 7 mchana, ya Dodoma imesogezwa mnele hadi saa 4 usiku toka alasiri hii, na Bujumbura nayo imesogezwa usiku huko...

Ajabu ni kwamba hakuna meneja, wala mfanyakazi yeyote ngazi ya juu aliyepo uwanjani kutoa taarifa yeyote au kufanya mchakato wa kufaulisha wasafiri kwenye mashirika mengine ambayo yanaweza yakawa yanaenda maeneo tajwa.
20240122_143303.jpg
IMG-20240122-WA0014.jpeg
 
View attachment 2879550View attachment 2879551
OK nikusaidie tu siku nyingine jkiwa stran ded no 1
Airport manager
2.country manager
3.conmercial manager
4.director....commmmm
Sasa ukigoogle wala uumizi kichwa na hawa mkuu 1 mpk 3 unapata jibu sahiii....

5..ukifikisha 2 hrs unatakiwa uwe umepewa chakula kama n mchana ama asbh ama jion

6...ntarudi baadae fata procedure kwa nn??
1.direwct wengi n wahuni wadanganyifu wakisikia sim wanafanganya kama hawajapata info

6b.... ......managers wengi wa commercial n waoga awajibu wasndishi wa habari wala wateja

Ukirekodi hawa Airport manager nk yaan hata mahakaman unawanyoosha
 
Hakuna hata mmoja ambaye namba zake zipo counter...
 
Mko wachache, mnasubirishwa muunganishwe na flight ingine.

Ndivyo inaonekana mkuu...

Maana baada ya kuanza process ya ku-board abiria wote wa Chuga wamepewa boarding pass za KIA (Kilimanjaro)...

Hivyo kuna kupoteza muda tena wa kutoka na shuttle KIA hadi Arusha mjini...

Safari ya masaa 2, inageuka kuwa safari ya masaa 6+...
 
Hivi ninavyoandika abiria wa ndege za ATCL kwenda Arusha, Bujumbura, Dodoma wapo stranded Terminal II ya JKNIA kwa sababu ya kutokuwepo kwa ndege zinazoenda maeneo hayo...

Taarifa zisizo rasmi toka kwa wafanyakazi wachache waliopo hapa wanatoa excuse sijui **** shida kwenye runway lakini ndege za PW zinaondoka vizuri tu kwani abiria wake wanaitwa kwenda ku-board (mathalani PW ya BKB kupitia MWZ)...

Ndege ya Arusha imesogezwa hadi saa 10 alasiri toka saa 7 mchana, ya Dodoma imesogezwa mnele hadi saa 4 usiku toka alasiri hii, na Bujumbura nayo imesogezwa usiku huko...

Ajabu ni kwamba hakuna meneja, wala mfanyakazi yeyote ngazi ya juu aliyepo uwanjani kutoa taarifa yeyote au kufanya mchakato wa kufaulisha wasafiri kwenye mashirika mengine ambayo yanaweza yakawa yanaenda maeneo tajwa.
View attachment 2879550View attachment 2879551

Nilishauri hapa; hayo mandege ya Abiria 78 wangecharge tu 120,000 hadi 150,000 route zote wangepata faida mara tatu ya sasa na hivyo kuweza kuziendesha.
Wanasubiri hadi ije fast jet nyingine ndio waanze kulia lia kuwa wanakosa Abiria sababu ya Ushindani....Mbona kwa sasa ambapo hakuna ushindani hawapati?
 
Hivi ninavyoandika abiria wa ndege za ATCL kwenda Arusha, Bujumbura, Dodoma wapo stranded Terminal II ya JKNIA kwa sababu ya kutokuwepo kwa ndege zinazoenda maeneo hayo...

Taarifa zisizo rasmi toka kwa wafanyakazi wachache waliopo hapa wanatoa excuse sijui **** shida kwenye runway lakini ndege za PW zinaondoka vizuri tu kwani abiria wake wanaitwa kwenda ku-board (mathalani PW ya BKB kupitia MWZ)...

Ndege ya Arusha imesogezwa hadi saa 10 alasiri toka saa 7 mchana, ya Dodoma imesogezwa mnele hadi saa 4 usiku toka alasiri hii, na Bujumbura nayo imesogezwa usiku huko...

Ajabu ni kwamba hakuna meneja, wala mfanyakazi yeyote ngazi ya juu aliyepo uwanjani kutoa taarifa yeyote au kufanya mchakato wa kufaulisha wasafiri kwenye mashirika mengine ambayo yanaweza yakawa yanaenda maeneo tajwa.
View attachment 2879550View attachment 2879551
 
Attachments

  • 5606643-b6509eb80b1a606b05498a0144693a0d.mp4
    6.9 MB
Back
Top Bottom