The Black Liberation Army (BLA) was an underground Black Power organization that operated in the United States from 1970 to 1981. Composed entirely of Black Panthers (BPP) who served as members of both groups, the organization's program was one of war against the United States government, and its stated goal was to "take up arms for the liberation and self-determination of black people in the United States." The BLA carried out a series of bombings, killings of police officers and drug dealers, robberies (which participants termed "expropriations"), and prison breaks.
Sasa si siri tena anatafutwa mchawi ndani ya CCM,kila uchwao utasikia Chakubanga na Bushiri wanalalamika ,wakipiga makelele kila kona ya Tanzania kuwaonya CCM wasiojulikana.
Jamani hivi yupo asiezielewa sababu ya CCM kukataliwa na wananchi walio wengi, Chakubanga na Bushiri wanajikuta wanazidi...
Utangulizi;kuna Mali za Serikali na
Mali za chama,Chanel ten na TBC
In Mali ya serikali.
1.itakuwa inaonyesha hotuba mbalimbali za marais waliotangulia na viongozi wengine.
2.Maisha binafsi ya viongozi baada ya kustaafu.
3.Mambo mbalimbali yaliyofanywa na viongozi ktk kuleta maendeleo.
4.Nyimbo...
Miongoni mwa mambo ya kustaajabisha ya awamu ya tano ni sheria mpya zilizotungwa pamoja na marekebisho ya sheria za zamani waliyoyafanya.
Kuna muda ukikaa utafakari unashindwa hata kuelewa hawa watu wanafanya haya kwa lengo la kumkomoa nani? Kuna baadhi ya sheria ni za ajabu kwelikweli hadi wao...
Baada ya kuingia madarakani serikali ya awamu ya tano mwaka 2017 ililitangazia Taifa na dunia azma yake ya kurekebisha sekta ya madini nchini hususan dhahabu.
Ikaunda tume Mbili za Osoro na Mruma, zikaja na matokeo ya kitafiti na maazimio yaliyotikisa nchi.
Miongoni mwa matokeo hayo ni amoja...
Vyombo vingi vya habari viliacha kabisa kuandika au kutangaza habari za mikutano ya kampeni ya Tundu Lissu baada ya kuona hawaoni waandike nini kwani hanadi sera
Sasa Kitengo cha habari cha CHADEMA pia wamenyoosha mikono juu wanaeleza tu sana mafuriko ya wanampokea Lissu sio alichosema sababu...
Jana Tarehe 18/09/2020 Mgombea wetu wa Urais Tundu Lissu alikuwa na ratiba ya kufanya Kampeni katika Mkoa wetu wa Katavi maeneo ya Majimoto katika jimbo la Kavuu Wilaya ya Mlele na Mpanda MJINI katika jimbo la Mpanda.
Hakika viongozi wetu (Musa Masanja Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Magharibi...
Kichwa cha habari chajieleza, uchaguzi mkuu wa mwaka huu kiukweli nje ya wasanii kujaza watu au watu kuja kushangaa mtu aliyepigwa risasi nyingi kwenye kampeni,ni uchaguzi ambao kampeni zake hazivutii wala kusisimua kabisa.
Hii imepelekea viongozi wa nafasi za Urais wa hivi vyama viwili...
Watu wengi sina hakika kama wanaliona hili ila Muziki wa Bongo fleva kwa kifupi umeingiliwa, umechakachuliwa na too bad ni kama unakufa.
Nadhani wanaopenda muziki kama mimi wanapata tabu tu na hawana la kufanya.
Na katika hili Clouds media ( Hususani marehemu Ruge ) hawezi kuepuka lawama...
Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA, ZNZ) kinasikitishwa na kitendo cha udhalilishaji ambacho kimezuka hivi karibuni cha kuwachoma sindano watoto bila ya sababu.
Wakati nchi inaendeleza juhudi za kupambana kupinga vitendo vya udhalilishaji wa kubakwa, kulawiti...
Habari ndugu zangu wana JamiiForums.
Katika uzi huu nitaelezea sababu zinazofanya Magufuli apendwe na watanzania wengi zaidi.
Mimi mwenyewe binafsi najikuta sana navutiwa na mwanasiasa mchapakazi Dkt Magufuli kama ilivyo kwa watanzania wengine hili hata wanasiasa wa vyama upinzani wanalijua na...
S.hikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums.
Ndugu zangu watanzania;
Hivi mnajua, kuna mtu anaweza asikupe pesa kwa sababu hana kwa wakati huo, lakini akakupa ushauri wa maana wenye thamani mara 3 zaidi ya pesa uliomuomba?
This is my true story
=========
Siku moja nikiwa chuo kikuu...
2015 kuliundwa UKAWA na vyama vilivyounda UKAWA vikakubali kutoweka mgombea Uraisi vimuunge mkono mgombea mmoja tu wa CHADEMA, Lowasa na CUF ilimtoa Duni Haji ajiunge CHADEMA kama mgombea mwenza kumpa nguvu zaidi ya kura Lowassa za Zanzibar na za waislamu.
Vyote vikakubaliana kuwa kwa kuwa...
Familia ya Kirui ililazimika kutumia trekta kuusafirisha mwili wa mpendwa wao kutoka hifadhi ya maiti kutokana na hali mbovu ya barabara iliyosababishwa na mvua kubwa.
Mwili huo ulikuwa unasafirishwa hadi kijiji cha Kapsita kwa ajili ya mazishi jinsi Citizen TV ilivyoripoti Ijumaa, Septemba 11...
Katibu mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally amesema suala la mgombea kupitishwa bila kupingwa ni la Kikatiba na kwa maana hiyo CCM ni mnufaika au muathirika tu wa kanuni hiyo pale inapotumika.
Naye Askofu Bagonza amesema ni dharau na mateso makubwa kuwaongoza watu ambao hawajakuchagua.
Maendeleo...
Baada ya miezi 6 ya kukaa majumbani, wanafunzi nchini Sudan Kusini wanarejea darasani kuanzia Jumatatu, Waziri wa Habari wa nchi hiyo amesema.
Hatua hiyo ya Sudan Kusini inafuatia uamuzi wa Baraza la Mawaziri kuondoa katazo lililowekwa mwezi Machi na Rais Salva Kiir la kufunga shughuli zote za...
Ukweli ni kwamba, ujio wa Wakenya kujumua vitunguu ulifaidisha wakulima. Kitunguu ilipanda mpaka laki tatu. Wakulima wanejenga nyumba na kununua magari.
Sasa huyu jamaa yetu ugomvi wake na Wakenya umeleta balaa badala ya heri. Jamaa hawaji tena huku. Bei ya kitunguu ineshuka sana. Bei ya...
Naibu rais William Ruto amesema kwamba Kenya haitashuhudia machafuko tena kwa sababu ya siasa kama ilivyokuwa mwaka 2007.
Akihutumbia mkutano wa hadhara mjini Kisii siku ya Alhamisi, Ruto alisema kwamba baadhi ya wanasiasa walikuwa wakitumia vitisho kudai kwamba huenda kukazuka machafuko mwaka...
Napenda kuwapa ushauri wana JF wenzangu.
Mjitahidi kulinda privacy zenu huko Facebook, Instagram, Twitter n.k. Kuna watu wakiipata tu namba yako wanakudukua kiulaini.
Nimewahi kufanya research na kugundua ni rahisi sana kumdukua mtu kwenye mtandao wa kijamii ikiwa tu utaijua namba ya simu...
Ni dhahiri shahiri kwamba kutokana na mwenendo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu 2020 zinazoendelea Upinzani unakwenda kuendeleza kushindwa vibaya kwa mara nyingine. Sababu za kushindwa vibaya uchaguzi huu katika ngazi zote (Urais, Ubunge, Uwakilishi na Udiwani) ni nyingi ila mimi nitagusia chache...
Akiwa katika mkutano ulioongozwa na Makamu wa Rais mama Samia Suluhu huko Mchinga Lindi, Rais mstaafu ameongea kiutani kuwa
"Watu walikuwa wanasema mama huyu [Salma Kikwete] kaachwa ndiyo maana anahangaikia Ubunge. Nyie shemeji zangu mnataka kuninyang'anya mke? Mie sijamuacha."
Maendeleo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.