Zijue sababu 10 za wanawake walioolewa kuchepuka

Mkamanga junior

Senior Member
Jul 27, 2018
159
250
Ukweli ni kwamba wanawake wengi walioolewa huchepuka, na tafiti zinaonyesha 97 % ya wanawake waliopo kwenye mahusiano wamewahi kuchepuka.

Sasa Leo nakuletea sababu za wake za watu kuchepuka
1: Kazi
Wanawake wengi huingia katika tamaa ni kutokana utengano uliopo kati ya mume na mke, unaotokana na kazi. Umbali uliopo unao sababishwa na kazi yaani mke Dar na mume Songea. Wanawake wengi wamejikuta wakianzisha mahusiano mapya.

2: Kutafuta kupata cheo.
Katika maisha hakuna mfanyakazi asiyependa kuwa na cheo. Sasa wanawake wengi wanapoonyeshwa nia ya kusaidiwa kupanda cheo,wapo tayari kutoa mbadala .mwanaume ana njia 3 za kupanda cheo,ndugu kama hana ndugu,atatumia rafiki,kama hana rafiki atatumia fedha. Lakini mwanamke ni tofauti sana

3. Charity
Kuna wageni mbalimbali wanakuja maofisini toka sehemu mbalimbali, sasa katika hali ya kawaida tu utakuta mdada anaonyesha mapokezi ya hali ya juu ,yaliyopitiliza.hadi kumsababishia mgeni kuingia katika tamaa, mwisho wa siku kuombana namba za simu na mwanamke hujikutakuta kaanzisha mahusiano

4.Masomo
Mwanamke akienda kujiendeleza kimasomo hupenda kuanzisha kampani mpya atakayoshirikiana nayo katika masomo.sasa hapo sipendi kuzungumzia sana kwa sabababu kinachotokea huko mavyuoni ndugu msomaji unajua

5. Tamaa ya fedha
Kundi sio wengi sana, ila wako baadhi kila wanapoona nguo mpya, mtindo mpya wa kusuka, wigi mpya halafu fedha hana na anataka aonekane kazini kila wiki kavaa nguo mpya .lazima ataingia katika kuanzisha mahusiano mapya

6. Marafiki
Wanawake wengi wamejikuta wakiingia katika kuanzisha mahusiano mapya kwa sababu ya marafiki. Wengi hawapendi kwenda lodge na hua wangongewa kwa hao marafikia zao.ukiona mke wako ana urafiki na mwanamke ambaye anaishi peke yake shtuka.

7. Kutafuta sehemu ya kuondoa stress
Ndoa nyingi zina shida ya wanandoa kukosa furaha, makwazo n.k. sasa kuna kipindi mwanamke anatafuta sehemu ambayo itampa faraja wakati wa makwazo. Hivyo huanzisha mahusiano ambayo ataitwa baby, mpenzi, maneno ambayo yatampa faraja

8.Kupata fursa za kikazi kama kuhudhuria semina,warsha, makongamano na mikutano
Wanawake wengi wanapenda kutumia fursa zinazojitokeza. Hivyo yupo tayari kumrubuni boss wake ili apate fursa za kikazi zinazoonekana mbele yake. Ukiona mkeo anasafiri sana kikazi jua tu huna mke hapo

9. Safari zinazo ambatana na boss au wanaume wengineo.
Wanawake wengi wamejikuta wakiingia katika mtego wa mapenzi kwa kusafiri pamoja na boss wake au wanaume wengineo. Unaitwa njoo kwanza chumbani kuna vitu vya kuweka sawa kabla ya kuingia ukumbini kesho, jua tu unaenda kuliwa hapo, boss kashasimamisha

10. Utani uliopitiliza
Wanawake wengi wamejikuta wameingia katika mahusiano kwa sababu tu ya kuwa na utani uliopitiliza na baadhi ya wanaume. Na wanaume wakatumia chance hiyo hiyo kupata wanacho kihitaji. Mwanamke ambaye yupo serious muda wote ni ngumu sana kumuanzishia habari za mapenzi.

Nb. Wake za watu no kundi la pili linalofuatia kwa uzinifu ukiachilia mbali lile la wauza baa na wanaofanya kazi kwenye malogde.
Wanawake watumishi wengi muda wao wa uzinzi ni Massa ya kazi kuanzia saa 3-9. Saa 9:30 ameshajirudia home, halafu anampigia simu mumewe upo wapi baba,Mimi nipo nyumbani .halafu mwanaume anajisifu mke wangu sio mtembezi. Wakati anacheza na akili zako tu.

Tuonane wiki ijayo nitakuja na mada zijue sababu za wanaume walio oa kuchepuka
 

IFRS

JF-Expert Member
Dec 19, 2014
2,665
2,000
Hapa pa masomo hapa, ukishamuona mke wako uwezo wake wa akili ni average, akitaka kujiendeleza huko shule atatafuta msaada tu. kama ana hela Kuna vipanga wanafanya assignment kwa malipo, Kama hela hakuna kutakua na njia mbadala ya malipo.
Nakumbuka nilipokua chuo nasomea uhasibu.Sasa mimi nilimaliza form six kwa comb ya PCM na Mungu alinisaidia kujua sana Math.

Sasa nilikula sana hela za in-service (wafanyakazi waliokuja kujiendeleza)
Kipindi cha supplementary naitwa kwa hela.

Nakumbuka mmoja alijifungua kipindi cha supplementary akawa hawezi kuja chuoni sababu mtoto bado mdogo ilibidi aniombe niwe namfundishia kwake ingawa mume wake alikuwa ananichekea kinafiki
 

wiser1

JF-Expert Member
Aug 6, 2015
2,156
2,000
Hakuna sababu nzito! Hapo. Ila kuchepuka ni feelings tu, unakutana na mtu, mkigongana macho ishakuwa balaa hasa Mimi!; na najua macho ya hisia za ndani kwahyo sipati shida hata mwaka unaweza isha bila mahusiano na mtu huyo ila siku tukikutana hakuna kuongea ni vitendo. Hawa wanatokea Mara moja moja baada ya miaka mingi!

Just feelings!; no more! Hizo sababu zingine hapo ni uzembe tu wa wanawake jaman!
 

yuzazifu

JF-Expert Member
Oct 6, 2018
5,129
2,000
umeelezea vyema bt kuna ke wanapitia mazingira yote ulotaja na hawachepuki, pia si kweli 97% za ke walioolewa wamewahi chepuka
 

kawoli

JF-Expert Member
Feb 20, 2014
6,606
2,000
Hapa pa masomo hapa, ukishamuona mke wako uwezo wake wa akili ni average, akitaka kujiendeleza huko shule atatafuta msaada tu. kama ana hela Kuna vipanga wanafanya assignment kwa malipo, Kama hela hakuna kutakua na njia mbadala ya malipo.
Unanikumbusha mbaaaaliii. Chuo mwaka wa pili na tatu niliishi utafikiri nilikuwa nimeajiriwa kwa kuwafanyia watu assignments
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom