sababu

The Black Liberation Army (BLA) was an underground Black Power organization that operated in the United States from 1970 to 1981. Composed entirely of Black Panthers (BPP) who served as members of both groups, the organization's program was one of war against the United States government, and its stated goal was to "take up arms for the liberation and self-determination of black people in the United States." The BLA carried out a series of bombings, killings of police officers and drug dealers, robberies (which participants termed "expropriations"), and prison breaks.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sababu kuntu 5 za kwanini Rais Magufuli atashinda tena Uchaguzi huu

    Na Bwanku M Bwanku Dirisha la kampeni kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani limefunguliwa na tayali vyama mbalimbali vya siasa vimeanza kazi ya kupita maeneo mbalimbali ya wananchi kunadi sera na mipango yao ili wachaguliwe Oktoba 28 Kuelekea uchaguzi huu yako mambo ya...
  2. Fantastic Beast

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yaanza kutoa matokeo ya rufaa za Udiwani na Ubunge zilizokatwa na wagombea katika Uchaguzi Mkuu wa 2020

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeanza kutoa matokeo ya rufaa za udiwani na ubunge zilizokatwa na wagombea katika Uchaguzi Mkuu wa 28 Oktoba 2020. Leo tume imetoa matokeo ya rufaa 55 kama ifuatavyo: 1. Imekubali rufaa 15 na kuwarejesha wagombea katika kinyang'anyiro cha uchaguzi. 2. Imekataa...
  3. Sadock Kabuko

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sababu kwanini CCM itashinda kwa kishindo

    Wakuu Heshima Kwenu. Kwa hali ya siasa na kampeni zinavyoendelea ni wazi kabisa CCM itashinda kwa kishindo, kwa CCM mpya chini ya Dkt Magufuli CCM imesukwa vya kutosha iko imara na kwa uchaguzi huu CCM itashinda kwa kishindo zipo sababu kadhaa zitakazopelekea CCM kushinda kwa kishindo...
  4. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Hii ndo sababu Mahakama kuonekana kichaka cha Wanasiasa hasa CCM

    Amani iwe nanyi wana Tanzania! Moderators naomba msiunganishe wala kufuta huu uzi! Maana ni wa kipekee Leo nimemsikia Jaji Mkuu akiongea na majaji na mahakimu huko Morogoro. Kilichonishangaza ni maneno aliyosema Eti wajaji na Mahakimu hasa kwenye kutoa haki wawe makini ili mahakama isionekane...
  5. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Je, kuna sababu gani ndugu wa mume kuchukia anaposaidia ndugu wa mke wake?

    Nadhani sio peke yangu nimeshuhudia hivi vitu maana vishazoeleka sasa. Hii hali hutokea sana pale Kaka anapokua na pesa nyingi na kuoa au anapoanza kuzikamata baada ya kuoa. Unakuta ndugu, kaka, dada na wadogo zake mwanaume wa aina hii huanza kuleta upinzani pale wanapoona ndugu au familia ya...
  6. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tume ya uchaguzi na CCM wainajisi katiba, Deo Mwanyika hastahili kuteuliwa wala kugombea ubunge kwa sababu ya kesi ya kukwepa kodi

    Tuweke rekodi sawa, Deo Mwanyika alihukumiwa kwa kukwepa kodi. Michango ya NSSF ya Deogratius Mwanyika, aliyekuwa Rais wa migodi ya Pangea, North Mara Exploration na Bulyanhulu, imelazimika kulipa sehemu ya fidia ya makubaliano maalum kwa Serikali baada ya kukiri kufanya makosa. Fedha kiasi...
  7. Dam55

    JamiiForums Tanzania Wazo huru: Hii ndio sababu ya CHADEMA kuchangisha michango ya mfuko wa Kampeni (nyuma ya panzia)

    Kwanza naomba nitangulize kuomba radhi wale wote ambao nitawakwaza kwa wazo langu hili, Ila naomba tu ileleweke kuwa nimetumia tu haki yangu ya kikatiba kutoa maoni. Kwa kifupi sana ni kwamba kilichopo nyuma ya hii changia changia inayo endeshwa na CHADEMA kutunisha mfuko wa kampeni ina kitu...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Barua Maalum kwa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dr Shein: Usikubali damu za wananchi wako wa Zanzibar zimwagwe sababu ya dhulma

    Mheshimiwa Dkt. Shein: Nakusalimia kwa salamu ya Amani, Amani ya ALLAH iwe nawe Barua hii ni kutoka kwa mwananchi na naanza kwa jina la Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehma. Usikubali damu ya Wazanzibari imwagike chini ya uangalizi wako. Unafahamu vizuri historia ya nchi yako, harakati za watu...
  9. G

    JamiiForums Tanzania TBC watimuliwa mbio na CHADEMA baada ya kukata mara kwa mara matangazo ya uzinduzi wa kampeni Mbagala Zakhiem

    Kinachofanyika ni kwamba muongeaji akianzankuigusa Serikali na taasisi zake wao wanazima matangazo na watangazaji kujitia waongeaji na wachambuzi. Hili nililitegemea.
  10. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hitaji la katiba ya JMT ibara ya 98, kifungu kidogo cha 1(b) ndiyo sababu kuu ya kuenguliwa wagombea ubunge wa ACT Wazalendo, Pemba

    Mada ya uzi huu si ngeni kwetu sisi Watanzania. Nina uhakika wengi (kama si wote) tunaIfahamu vyema hii kitu lakini ni wakati muafaka kuweka msisitizo hususani kutokana na mazingira tuliyo nayo sasa kuhusiana na mwenendo wa teuzi za wagombea urais, ubunge na madiwani kwenye uchaguzi wa mwaka...
  11. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Chama pinzani (Democrats) chakiri Joe Biden hawezi ku-debate na Donald Trump kwenye kampeni za urais 2020

    Wapinzani (Democrats) Hatimae wameuona Mwanga baada ya safari ndefu kwenye handaki, sasa ni dhahiri hata kwao kwamba Kumsdinda Trump kwa kumtumia mgombea wao Joe Biden ni kama kumchuna ngozi kupe, Haiwezekani, Ni wazi katika hio video Nancy Pelosi amekiri kwamba Mgombea uraisi kwa tiketi ya...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Nahisi hii ni moja ya sababu ya sisi vijana kulalamika kuhusu ugumu wa maisha humu mtandaoni

    Nina imani wengi wetu humu JamiiForums tumetoka kwenye familia za kawaida, nikimaanisha kuwa tumeishi na wazazi wetu kwenye nyumba za tofali hata kama zilikua za kupanga, tumekua tukiwa na uhakika wa Milo mitatu kwa siku, kila siku, na ada ya shule haikusumbua sana wazazi. Vijana wengi tumeishi...
  13. BAVICHA Taifa

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

    Taarifa kwa Vyombo vya Habari na Umma Mgombea wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mhe. Tundu Lissu, akiwa pamoja na Mgombea wa Kiti cha Makamu wa Rais, Mhe. Salum Mwalim Juma Mwalim, muda huu wanaelekea Ofisi za Tume ya...
  14. Restitius Respicius

    JamiiForums Tanzania Changamoto haikimbiwi, inakabiliwa

    Kila changamoto inapokuja kwenye maisha huwa inakuja kwa sababu maalumu na siyo kwa bahati mbaya, kwa hiyo hutakiwi kuikimbia changamoto inayokukabili na badala yake unapaswa kuikabili changamoto yako kwa akili, hekima na utashi wa hali ya juu sana kwa sababu; 1. Kila changamoto inakuja...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nape Nnauye ateuliwa kuwania Ubunge jimbo la Mtama peke yake baada ya wagombea wengine kukosa baadhi vya vigezo

    APITA BILA KUPINGWA UBUNGE MTAMA Lindi: Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Mtama mkoani Lindi, Samuel Warioba Gunza amemtangaza Nape Nnauye mgombea ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi kuwa mgombea pekee wa jimbo hilo. Pia soma => Uchaguzi 2020 - Nape Nnauye anaelekea kupita bila kupingwa...
  16. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM itaendelea kushinda kwa sababu ya uimara wake na udhaifu wa wapinzani

    *UCHAGUZI TUNASHINDA KWA TECHNICALITIES NA KWA KURA.* Na Elius Ndabila 0768239284. Wakati mchakato wa uchaguzi ukiwa unaendelea, basi ninataka niwakumbushe mbinu za ushindi kwenye chaguzi zozote za kidemokrasia. Uchaguzi wa kidemokrasia Unaweza kuwa na mbinu nyingi za kushinda hasa sheria...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amekosea sana kuagiza magari ya kesi za Uhujumu Uchumi yapewe Taasisi za Serikali

    Raisi Magufuli amefanya kosa kubwa sana kuagiza kwamba magari yaliyotaifishwa kuhusiana na kesi za uhujumu uchumi yagaiwe kwa taasisi za Serikali kwa sababu mbili kubwa zifuatazo; Haya magari mengi ni ya zamani sana, zaidi ya miaka 10, na mengi yalinunuliwa kama used vehicles. Wamiliki binafsi...
  18. Nzwangendaba

    JamiiForums Tanzania GE2020 Msemaji Tume: Kila Mgombea aliyefika kwa wakati Kupokelewa Fomu zake

    Afisa wa Tume anayehusika na habari na Mawasiliano, punde ametoa ufafanuzi kumtu Kupitia TBC1 kuhusu wagombea waliowaiting room kuwa, kuchelewa kwa baadhi ya wagombea kuingia chumba maalum cha uteuzi/kupokelewa fomu zao kunatokana na zoezi la uhakiki wa fomu zenyewe na uhakiki wa wadhamini. Tume...
  19. Kulupango

    JamiiForums Tanzania Sababu za kisiasa za kutokea kwa Vita vya wenyewe kwa wenyewe

    Kundi fulani kukataliwa kwa kisiasa, kama vile utiaji mgongo kwa makusudi ikiwemo ukosefu wa haki za kisiasa, kunatoa motisha nyingine inayofaa ya kuamua kufanya vurugu. Machafuko mengi hutokea kama vikundi (lakini huwa ni vikundi vya kisiasa ambavyo vinataka uhuru wa utawala kwenye serekali...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Serikali inastahili pongezi kukarabati reli ya Tanga na Arusha, lakini tunawakumbusha huduma hii haikufa kwa sababu ya tatizo la reli, tusibweteke

    Ni mambo machache ambayo huwa naipongeza serikali ya raisi Magufuli, na suala la kukarabatiwa kwa reli ya kwenda mikoa ya kaskazini, hususa Tanga, Kilimanjaro (Moshi) na Arusha litakuwa mojawapo. Hongereni sana. Hata hivyo, nataka kumkumbusha Raisi Magufuli na serikali yake, na mashabiki wake...
Back
Top Bottom