sababu

The Black Liberation Army (BLA) was an underground Black Power organization that operated in the United States from 1970 to 1981. Composed entirely of Black Panthers (BPP) who served as members of both groups, the organization's program was one of war against the United States government, and its stated goal was to "take up arms for the liberation and self-determination of black people in the United States." The BLA carried out a series of bombings, killings of police officers and drug dealers, robberies (which participants termed "expropriations"), and prison breaks.

View More On Wikipedia.org
  1. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kipanya anatufafanulia sababu ya watu kuutaka ubunge kwa hali na mali

  2. Shark

    JamiiForums Tanzania Sababu ya Senzo kuacha kazi Simba S. C. hizi hapa

    Sababu hizi hutoweza kuzisikia kwa Senzo wala MO mwenyewe. Labda wawe wamelewa ndo wanaweza kuropoka, lakini sio wakiwa wazima na akili zao. Hii ni kutokana na Jinsi sababu yenyewe ilivyokaa. Kuna Mdada, Binti, M Mama anaitwa BARBARA. Huyu ni "msaidizi" wa MO, lakini inawezekana kabisa ni zaidi...
  3. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Membe afurahishwa na uteuzi wa Wagombea Ubunge wa CCM, awakaribisha ACT-Wazalendo wale waliokatwa

    Mgombea urais wa ACT-Wazalendo Bernard Membe amesema amefurahishwa sana na uteuzi wa wagombea Ubunge wa CCM na kuwapa pole wote waliokatwa kwa sababu walikuwa karibu naye. Membe amewakaribisha wale waliokatwa kujiunga na ACT-Wazalendo ili safari iendelee. Ameandika katika akaunti yake ya...
  4. W

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu hawezi kuboresha afya, elimu na huduma za jamii sababu familia yake inaishi Ubelgiji

    Ndugu zangu, ''Ukweli mchungu'', hata ukimsikiliza Tundu Lissu yeye anazungumzia ''mikataba'' ''sheria'' huku waziwazi akipuuza uboreshwaji wa elimu, afya, huduma za jamii na miundombinu ya msingi. Hii si bahati mbaya, familia yake inapata huduma za afya, elimu na malazi kutoka Ubelgiji. Leo...
  5. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Sababu kuu tano (5) za kizazi cha sasa kupitia changamoto nyingi na jinsi ya kuondoka kwenye changamoto hizo

    Kitu pekee tunachojifunza kwenye historia ni kwamba hakuna tunachojifunza kwenye historia, hiyo ni kauli aliyowahi kuitoa Mwanafalsafa Hegel. Ni kauli nzito na inayopaswa kutufundisha mengi, lakini kama Hegel alivyoeleza, haitufundishi chochote. Iko hivi rafiki, hakuna kitu kipya kinachotokea...
  6. JF Member

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sababu ya kushindwa kuungana kwa ACT-Wazalendo na CHADEMA

    Nimefuatilia kwa ukaribu na kufahamu sababu nyingi sana zinazofanya ACT-Wazalendo na CHADEMA kuchelewa kuamua kuungana na kuunga mgombea mmoja wa Urais ama hata kutoungana kabisa. Kwa sasa nitaweka hapa chache ila nikipata mda nitaandika Zaidi. 1. Sababu kubwa kabisa ni nani asimame kati ya...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Nape: Hata kama jina langu litakatwa sitakufa njaa kwa sababu nina elimu ya uhakika

    Mbunge mtetezi wa jimbo la Mtama Nape Nnauye amesema haogopi jina lake kukatwa kwa sababu amesoma vizuri na ana elimu ya uhakika. Akiongea kupitia ukurasa wake wa Twitter Nape anasema yeye siyo mnafiki na yeyote atakayemletea " za kuleta" kwenye kampeni za Ubunge atamshughulikia hapo hapo...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa aeleza sababu mabalozi kurudishwa nchini

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametaja sababu ya baadhi ya mabalozi kurejeshwa nyumbani muda mchache baadaya uteuzi kuwa ni kutokana na kushindwa kufanya chochote katika kutangaza utalii wa nchi. Majaliwa aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam kwenye hafla iliyoandaliwa na viongozi wa dini...
  9. Mwanamayu

    JamiiForums Tanzania Nimewahi kupiga kura mara moja tu, na sitarudia tena- vyote ni haki yangu ya Kidemokrasia, na sababu ya msingi ninayo

    Mwaka 2010 nilipiga kura kwa mara ya kwanza, sio kwa sababu umri ulikuwa umefika, ila kwa sababu ya ku-test kinga ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) katika masuala ya Urais kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (ibara ya 74). Matokeo ya Urais hayahojiwi wala kuchunguzwa katika...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM haina uwezo wa kumuondoa mgombea yeyote kwa sababu ya kutoa rushwa, labda iwe kwa sababu nyingine

    Huu ndio ukweli wa wazi kabisa, kwamba kauli za polepole kwamba waliotoa rushwa watafundishwa adabu zichukuliwe kama porojo za kunogesha mazungumzo yake tu, hazina ukweli wowote na hata kwa cheo alichonacho hana mamlaka ya kumuengua mtu yeyote kwa tuhuma zozote (soma majukumu wa katibu mwenezi...
  11. Zacht

    JamiiForums Tanzania Kusikia aibu kwa kitu alichokifanya mtu mwingine sababu ni nini?

    Habari wakuu, Kabla sijaenda moja kwa moja kwenye swali langu naomba nijieleze nilivyo Mimi binafsi sipendi kabisa kuhaibika huwa najiepusha sana na mambo ambayo yanaweza kumuaibisha mtu, kuongea hata vitendo Imeafika steg hadi nikienda toilet nakagua mara nyingi kama choo kisafi baada...
  12. Z

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sioni sababu ya kufanya mikutano na kuwatukana wengine wakati wa kutafuta wadhamini

    Mchakato wa kupata tiketi ya kugombea Urais ni kwamba unatakiwa upitishwe na chama na baada ya kupitishwa na chama unaenda kutafuta wadhamini katika mikoa ya Tanzania bara na visiwani Zanzibar. Kilichotakiwa ni kupata wadhamini kwa wanachama wa chama chako na hii haiitaji kupiga makele mengi au...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Je, hii ndiyo Sababu ya wanamuziki wakubwa wa Tanzania kuwa na Walinzi Binafsi?

    Hakika ukishangaa ya Mussa utayaona ya Firauni! Wahenga walinena! Na Mimi pia narejerea usemi usemao "Usiache Mbachao kwa Msala Upitao" Ama kwa hakika alichokifanya mwendesha shughuli Adam Mchomvu pale Uwanja wa Uhuru kwa kumramba teke watoto wa mjini wanasema"Mtama" mwanamuziki Mbasha siku ya...
  14. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Serikali mpo wapi Wananchi tunanyanyaswa bila sababu? Yanga tumewakosea nini sisi?

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Siku nyingine ya maumivu makubwa kwangu.mi mwaka huu ntakufa tu kwa presha. Mikia mmekuwa wahuni na wakatili sana. Sijapata ona watu wakatili kama nyinyi. Mmemchukua Morrison mmemchukua Bwalya.tumemtafuta sisi siku zote. Midfielder kisheti, mchezaji wa Chipolopolo. Sisi Yanga ndo...
  15. Titicomb

    JamiiForums Tanzania UHAKIKI VYETI: Tanzania tunaendeleza baadhi ya itifaki na michakato iliyopitwa na wakati tunapoteza muda bila sababu

    Kuna baadhi ya michakato (processes) na itifaki (protocols) ambazo tulirithi toka kwa wakoloni na awamu zilizopita ilikuwa muhimu wakati ule sababu office automation haikuwepo. Kwa sasa hali ni tofauti baada ya maendeleo makubwa ya teknolojia ya mawasiliano. Kuwadai watu wanao omba kazi au...
  16. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Fahamu sababu zinazolazimisha vituo vya habari kuomba kibali TCRA kuweza kurusha matangazo kutoka vituo vya nje

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imeeleza sababu tatu za kutaka vituo vya utangazaji nchini vinavyojiunga na vituo vingine vya kanda, nje ya nchi na raia wa kigeni kuwatembelea kupata kibali kabla ya kufanya hivyo. Kwa mujibu wa tangazo lililotolewa kwenye gazeti hili jana, na Mkurugenzi...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Hizi hapa Sababu zinazoifanya Tanzania Itambe na kutembea kifua mbele dhidi ya majirani zake

    MOSI Makampuni mengi ya kusafisha madini yalikuwa nchi jirani na yameajiri watu wengi. Mfano wa makampuni hayo ni makampuni ya kukata Tanzanite waliyokuwa wanaitegemea kutoka Tanzania. Hivi sasa Tanzania imedhibiti utorashaji wa madini ya Tanzanite, hivyo ukidhibiti utoroshaji na ukaanza...
  18. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania GE2020 Zijue sababu kuchelewa vikao Kamati Kuu ya CCM kupitisha Wagombea wa Ubunge

    Ratiba za kichama hapa Makao Makuu Dodoma zinaonesha kuwa vikao vya Kamati Kuu wa CCM almaarufu kama CC vilipaswa kufanyika tarehe 7 na 8 ya mwezi huu. Hata hivyo, hadi sasa hakuna kikao cha Kamati Kuu kilichoketi hapa Dodoma au hata Dar es Salaam. Ajenda kuu ya kikao hicho ni kupitisha majina...
  19. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania GE2020 Zitto Kabwe: Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ikiwaengua wagombea wa upinzani kwenye Urais & Ubunge kwa sababu za kubumba, Hapatakuwa na Uchaguzi

    Zitto kaandika kupitia ukurasa wake wa Twitter. NEC wachukue tahadhari sana wasifanye huu upuuzi ambao haujawahi kufanywa katika uchanguzi wowote mkuu huko nyuma tangu mfumo wa vyama vingi uanze. Kwa muktadha wa hii tweet ya Zitto Kabwe, NEC ikifanya hivyo inaweza kulipasua taifa vibaya sana!
  20. Surya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sababu ya kuendelea kuwa na rafiki huyu wa kike imepotea kabisa

    Nisiseme jambo lolote nje ya mada yangu acha niende moja kwa moja kwenye tukio lenyewe.. nitaeleza sifa baadhi za msichana mwenyewe na mahusiano yetu yalivyo. Huyu msichana ni jirani yangu wa miaka mingi tu, sikua na ukarbu nae sana hapo nyuma lakini pia nina share nae marafik baadhi wa kiume...
Back
Top Bottom