Siwalaumu wanaokimbilia chanjo kwa sababu hata namna bora ya kutumia barakoa hawajui!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,975
Ukiangalia watu wetu wengi hapa nyumbani barakoa wanayo moja kuna wakati anaivaa na wakati mwingine anaivua na kuiweka ama mfukoni au kwenye pochi.

Wale wanaotumia za " kujishonea wenyewe" ndio shida zaidi kwa sababu haifuliwi hadi week end.

Kwa utamaduni huu usitegemee watu hawa kuhoji chochote kuhusu ubora na uhalali wa chanjo.
Wao watang'ang'ania tu waletewe chanjo wakiamini kuwa ndio muarobaini wa Corona.

Maendeleo hayana vyama!
 
Kabisa, kuna watu mask wanazitumia Kama viziba macho ukiwa na usingizi (waliosafiri kwa ndege masafa marefu wanaelewa), wangine wanafunga mdomoni, yaani ni vituko...
 
Ukweli mchungu hili gonjwa tutaishi nalo na kulimudu kwa kinga za mwili.Wachache sana kati yetu tutaendelea kuwapoteza.
 
Hv nyie mataga mnashida mbona mnakuwa wajinga hv so hamtaki watu wapewe chanjo ili tufe au,serikali itoe chanjo iwe option anaetaka sawa asiyetaka sawa Basi lkn sio wajinga wachache watuamulie afya zetu
 
Back
Top Bottom