Natafuta kazi ya aina yoyote ile sababu sina Elimu

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
May 3, 2020
2,416
3,911
Habari ndugu zangu, kwa jina naitwa Mkogoti ni mzaliwa wa mkoa wa Mara nina shida na Ajira, yani natafuta kazi ama kibarua maana sina Elimu yoyote ya kuniajiri ofisini.

Maisha ni magumu sana kwa upande wangu MUNGU ndo anajua ninavyopitia sina maneno mengi ya kusema ila niseme tu.

Natafuta kazi naomba nipate msaada kwenu.

Nb: nina matatizo ya kubeba au kunyanyua vitu vigumu.
 
Mingi tu si za home lazima nifanye
1. Kiwango cha chini cha mshahara unachoweza kukubali kukipokea?
2. Makaazi ni mkoa upi?
3. ME au KE?
4. Umri ni kwenye fungu lipi?
A. Chini ya 18​
B. 18 - 30​
C. 30 - 45​
D. Zaidi ya 45?​
 
Mkuu mbona unataka kufanya kazi nyepesi hivyo? Inamaana kazi ulizoainisha hapo ndizo hizo hizo unazoweza kufanya pekee? Mzee inamaana hata zege lilikushinda?

Mungu akupe hitaji la moyo wako.
 
Mkuu mbona unataka kufanya kazi nyepesi hivyo? Inamaana kazi ulizoainisha hapo ndizo hizo hizo unazoweza kufanya pekee? Mzee inamaana hata zege lilikushinda?

Mungu akupe hitaji la moyo wako.
Zege utaniua asee nina matatizo siwezi beba vitu vizito
 
1. Kiwango cha chini cha mshahara unachoweza kukubali kukipokea?
2. Makaazi ni mkoa upi?
3. ME au KE?
4. Umri ni kwenye fungu lipi?
A. Chini ya 18​
B. 18 - 30​
C. 30 - 45​
D. Zaidi ya 45?​
1. 60,000

2 Mara

3. ME

4 18-30
 
Kwa kazi ulizo na ujuzi wa kuzifanya na kwa kiwango cha mshahara ulicho radhi kukipokea, umeshaenda kuomba kazi wakakunyima?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom