sababu

The Black Liberation Army (BLA) was an underground Black Power organization that operated in the United States from 1970 to 1981. Composed entirely of Black Panthers (BPP) who served as members of both groups, the organization's program was one of war against the United States government, and its stated goal was to "take up arms for the liberation and self-determination of black people in the United States." The BLA carried out a series of bombings, killings of police officers and drug dealers, robberies (which participants termed "expropriations"), and prison breaks.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Viti Maalum wanamaliza hela za wananchi bila sababu

    Kwa msaada wa wiki pedia Viti maalum vya wanawake ni nafasi bungeni zinazotolewa kwa utaratibu unaopatikana katika nchi mbalimbali na unaolenga kuongeza idadi ya wanawake na athira yao katika bunge na mabaraza na kwa njia hiyo katika siasa ya nchi hizo kwa jumla. Kuna nchi nyingi za dunia...
  2. JamiiForums Tanzania Kuna sababu gani huwezi pata TIN number mpaka ufike miaka 18?

    TIN number ni muhimu na bado sijaona sababu yoyote ya mpaka ufike 18. Wataalamu naomba sababu kwanini mpaka 18 years ndio upate.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Sababu zifuatazo zinaweza kumfanya mteja avuliwe ufalme

    Mteja ni mfalme ila kuna wakati naye huzingua na kujikuta kajivua au kuvuliwa ufalme wake na kuonekana kenge tu. Sababu zinaweza kuwa hizi. 1. Mteja anayeona duka linafanya SALE ila bila aibu anaomba apunguziwe tena bei. 2. Mteja ambaye baada ya kupewa bei hujibu "nyie bei ghali sana kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Sababu za CHADEMA kutaka katiba mpya ndio sababu za CCM kukataa katiba Mpya

    Wakuu, ukweli uko wazi CCM hawaitaki katiba mpya kwasababu ndio anguko lao la kiutawala, pia uwepo wa tume huru ndio msumali wa mwisho kwenye jeneza lao la utawala wa ulaghai. Muungano huu ni feki na hauna faida kwa watanganyika zaidi ya kuwalalia na kuwanyonya, Kinana hajaweza kujibu hoja...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Night Clubs kufa sio kwa Tanzania tu, Dunia nzima night club culture inakufa kwa sababu kizazi Z hakipendi Clubs

    Watu wengi wamekua wakijiuliza kwa nini siku hizi night clubs zinakufa sana, mfano Maison na nyinginezo hapa Tanzania. Ukweli ni kwamba night Clubs Dunia nzima zinakufa kwa sababu kizazi Z ambao ndio walipaswa kua wanaruka majoka usiku kucha hakipendi kwenda night Clubs. Sababu nyingine ni...
  6. JamiiForums Tanzania Sababu halisi kwanini ni ngumu sana kwa Mbantu kufanikiwa kwenye biashara

    Hata hivyo, miongoni mwa wabantu wapo baadhi ya wabantu ambao wamefanikiwa ku walk out of this curse. Mfano wachagga, wakinga etc. Ila wengi wa wabantu hawawezi kabisa kufanikiwa kwenye biashara. Sababu kuu ni hii hapa chini: Wabantu wanapokuwa wanafanya biashara huwa wanashindwa...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Sababu ya kuisapoti Israel!! Ikiwa chini ya Palestina itageuzwa kuwa dola ya kisasi, ubaguzi na ukandamizaji wa kidini, yalishatokea Iran, Iraq, n.k

    Kumbuka lengo la kushambulia Israel ni kuua waisrael wote, ndicho kitachotokea Israel ikitekwa na Palestina, Hawa watu wakivamia huwa ni chinja chinja tu kujaribu kuua waisrael wote kwa kiasi wanachoweza, Hata watanzania wenzetu walioenda kusoma huko walikutwa kwenye ardhi ya Israel na wakauawa...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Natoa Siri, moja ya sababu ya Vita vya Ukraine ni kama yanayotokea sasa muungano Zanzibar na Tanzania bara

    Nataka Kusema, mgogoro uliopo Sasa kati ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar unaweza kuja kuleta madhara baadae kama ilivyokuwa madhara makubwa ya vita ya Ukraine na Russia, ambazo awali zilikuwa nchi moja na Mtawala wa Soviet union aliye na asili ya Ukraine kufanya maamuzi ya kupendelea...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali na CCM wawaeleze Watanzania bara/ Watanganyika sababu na faida za muungano kwa hoja nzito

    Raia wengi wa Tanzania bara au kama wengine wanavypenda kujiita Watanganyika ni kama vile hawaelewi faida za muungano, hawafahamu wananufaika vipi na huu muungano. Kila mara ambapo hoja za muungano zinaibuliwa wanachama wengi wa chama tawala huwa wanapenda kusema tutaulinda muungano na kurudia...
  10. JamiiForums Tanzania Bado zipo sababu kwa familia ya Lissu kuishi Ulaya? Je Lissu haoni kuwa jambo hili linampunguzia uzito kisiasa?

    Najua, Wengi wenu badala ya kujikita kwenye hoja, mtanijadiri na tena siyo tu kunijadiri, ila ni kwa kutoa matusi! Ni kweli hatuwezi kuwa na mtazamo sawa, na hii inakuja ili kutufanya tuonekane ni wanadamu na mambo yetu ili yawe sawa, tunahitaji kuwa na migongano ya kifikra na hatimaye kwenda...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Tanzania wasome Historia ya Kijographia kujua chanzo cha Mgogoro wa Morocco na Algeria

    Kwamba sehemu hiyo ya Sahara ilikuwa sehemu ya Algeria. Wakati Sahara ya Magharibi ilikuwa koloni la Uhispania, ilivyoondoka ndio ikaiachia sehemu hiyo Kwa Morocco na Mauritania. Baada Mauritania waliiacha sehemu waliojikatia na Morocco akajitwalia sehemu yote. Hivyo waandishi wetu wanatakiwa...
  12. JamiiForums Tanzania Watu wanadhani umri wangu ni mkubwa tofauti na umri wangu halisi, je sababu yaweza kuwa nini?

    Nimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika. Huwa najiuliza sababu ni nini, kama umbo la mwili sina umbo kubwa kivile. Labda wadau mnipe mawazo yenu maana hii...
  13. JamiiForums Tanzania Baadhi ya sababu za kukataa kuoa, hoja zangu ni katika mtazamo wa kukataa kuuishi Ujinga na Upumbavu

    Shalom, Kama mdau wenu mimi Wadiz naandika yafuatayo katika Hali ambayo naamini ndiyo ipasayo katika hoja mbalimbali zenye mashiko na kulinda uhalali wa baadhi ya wenye kukataa kuoa. Na katika hili sipo hapa kusema msioe bali iwe ni afya kujadili na kutambua haki ya kila mtu kupanga na...
  14. JamiiForums Tanzania Sababu ya watu kuogopa kutoa ushahidi kwenye baadhi ya matukio aliyo shuhudia live na wengine baadhi hukimbia kabisa

    Natumaini wote mko poa ndg wana JF,, lakini poleni sana kwale wote wenye changamoto yoyote ya kiafya au maisha kwa ujumla poleni sana Mungu awasaidie mkae sawa 🙏 Ndg zangu nimeamua kuandika uzi huu kutokana na mambo yanayo fanyika kwenye jamii zetu haya mambo yanaumiza sana😭 mitaani kumekuwa na...
  15. JamiiForums Tanzania Wanaofanya tuchepuke ni wadada wanao tukataa bila sababu

    Mtu kama Mzigua90 akinikubalia ntachepuka ili iweje? Kazi yangu itakuwa ni kutafuta hela na kumletea, nayeye kazi yake itakuwa kuhakikisha napata raha. Nasema uongo ndugu zangu?
  16. JamiiForums Tanzania Je, hii inaweza kuwa ni kwa sababu za kisiasa, imani za kishirikina au ustaarabu?

    Tukiwa kwenye kampeni, walikuwepo wagombeaji wa kike na kiume. Katika baadhi ya maeneo huko vijijini, sehemu za kulala zilikua chache ukilinganisha na wingi wa wagombeaji na waongoza msafara. IIilazimu mahali fulani wagombea zaidi ya moja kulazimika kulala chumba kimoja. Na hii haikua tabu kwa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Wanaokuacha kwenye Mahusiano, wengi wao walishapanga hivyo hata kabla ya kufanya kosa hilo…

    Wanaokuacha kwenye mahusiano wengi walipanga hivyo hata kabla ya hilo kosa wamelotumia kama sababu Mara nyingi anayeachwa anakuwa na msongo wa mawazo na kujiona asiye faa kwenye hii Dunia na wengine huenda mbali mpaka kujiona wasio na thamani yoyote, je nawe umewahi kuwa hivyo baada ya kuachwa...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia mifuko ya hifadhi ya jamii haifi kwa sababu ya kulipa mikupuo yote kama ulivyodai, bali ubadhilifu wa mifuko hiyo

    1. Ripoti za CAG zinasema kuna ubadhilifu katika mifuko hiyo, kujiingiza katika miradi ambayo ni non productive. 2. Kibaya zaidi wafanyakazi wanajikopesha mabilioni bila riba na hawarudishi. 3. To crown it all serikali imechota fedha nyingi bila kuzirudisha. 4. Mama Samia, Rais wetu...
  19. JamiiForums Tanzania Mwendokasi kutotumia njia ya Jangwani na Mkwajuni sababu ya Mafuriko

  20. JamiiForums Tanzania Shetani ananiandama bila sababu za msingi

    Nimehamia mtaa wa pili baada ya sinto fahamu iliyotokea mtaa wa kwanza ambapo mke wa mtu alinizoea sana mpaka watu wakahisi vinginevyo, kuepusha shari nimehamia mtaa wapili, huku nilipo hamia kwenye chumba cha upande wa kulia kuna subwoofer yamaana, upande wa kushoto subwoofer ya kuunga unga ila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…