Masikio Masikio
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 1,840
- 3,375
Ukiangalia kwenye maisha kuna watu hawana habari na Mungu hata kidogo na wanamaisha mazuri biashara zao zinazidi kukua kila uchwao mfano mzuri ni wana-science wako mstari wa mbele kumpinga Mungu ila kila siku wanazidi kuvumbua vitu
Njoo kwa sisi ambao tunaomba kila siku wengi wetu maisha yetu ni ya kawaida sana tunajizuia kwenye kutenda dhambi ila maisha bado ni magumu tunaombea sana biashara zetu, kazi zetu ila hata promotion kupata ni kwa mbinde
Ukweli ni kwamba Mungu anabariki mtu yeyote bila kujali matendo yake ya mwilini kwa hiyo usijidanye kwamba kusali sana ndo kutakupa maisha mazuri unatakiwa uondoe hiyo dhana
Unapataje baraka za Mungu kwa wewe ambaye umeamua kumtumikia Mungu, kumbuka wapo wengi wanaomtumikia Mungu ila hawazioni baraka kwenye kumtumikia Mungu
UPENDO
Mtumikie Mungu kwa sababu tu unampenda hiyo ndo iwe motives yako ya kwanza
UNYEYEKEVU
Baraka za Mungu unazipata kwenye maisha yako kupitia unyenyekevu, unaweza ukawa unasali sana, unafunga sana, wewe ni mwema lakin kama huna unyenyekevu kwa Mungu ni kazi bure
Mfano;- unapokutana na changamoto kwenye maisha yako kupitia unyenyekevu hakikisha unamshukuru Mungu na hakikisha au-mdharau Mungu na Mungu atakuonyesha njia au suluhisho la changamoto unayoyopitia
Mfano 2: kuna watu wengi wanataka kuujua utukufu wa Mungu lakin ghafla wanaamua kuwa wapagani atheist na wanakua mstari wa mbele kupinga uwepo wa Mungu nakuhakikishia Mungu ataondoa amani ndani yako na kila mda ukisikia habari zake utakua unajisikia vibaya sana hio ni laana