Uncle bright
JF-Expert Member
- Feb 9, 2023
- 1,040
- 4,080
utasiki Nala imepata tuzo flani, Nala imepata sponsors, Nala imealikwa Marekani ama Ulaya kwenye kikao cha Tech.
Ajabu ni kwambai hata wewe ukijiuliza ni lini mara ya mwisho umetumia Nala unaweza ukasugua sana kichwa.
Kwangu nachoona ni kwamba kijana Fernandez alisomea shule hizi International schools za mitaala international (achana na hizi international za mchongo zinapiga pepa za Necta), wanafunzi kibao ni watoto wa mabalozi wa nchi, watoto wa ma ceo wa makampuni makubwa, watoto wa matajiri wanaojua kwamba kuna shule nzuri kuzidi hizi saint francis na Feza zenye elimu ya kikoloni mpaka leo.
Kwa shule hizo naona zilimsaidia zaidi kujenga mazingira ya mafanikio yake ya sasa kuanzia kupata wafadhili, kupata connections, exposure, n.k. class mates waliochagua waajiriwe ni kawaida sana kuwakuta Inernational corporations kama WHO, UN, Google, Microsoft, n.k. hivyo pana connections nzito sana na information kupeana info muhimu ambazo hata ugoogle vp ni ngumu kuzipata, Hizi mambo za ufadhili ama kupewa tuzo za pesa ukiwa umesomea huko ni greese kwenye vyuma, n.k.
Huwezi kulinganisha na hawa IT waliosomea shule zenye exposure ndogo za kuweza kujimix na mataifa mengine, connections chache za kimataifa, uwezekano wa asilimia 0.01 kusoma nje, n.k.