Nimepokea taarifa za kushambuliwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Mh. Freeman Mbowe, kwa mshtuko na masikitiko makubwa.
Nitatoa kauli rasmi saa 7 mchana (EAT), 6 mchana (CET) na 4 asubuhi (GMT) kupitia live stream kwenye FB na Twitter.
Chanzo: Ukurasa...
Kama uwanja utakuwa fair na wapinzani hasa Chadema hawatatumia ujanja ujanja wakati wa kupiga kura basi CCM itashinda viti vyote vitatu yaani Rais, mbunge na diwani saa 4 asubuhi.
Ikumbukwe 2015 wale Friends of Lowassa walifanya ujanja ujanja mwingi mfano mzuri ni jimbo la Kawe, Kinondoni...
Zaidi ya miaka 42 iliyopita simu ya kwanza ilipigwa kutumia simu ya mkononi, simu hiyo ya kwanza ya mkononi ilitengenezwa na kampuni ya Motorola.
Ilikuwa mwezi wa 4 tarehe 3 mwaka 1973 walijaribu kupiga simu kwa kutumia simu hiyo ya kwanza ya mkononi iliyokuwa inafahamika kwa jina la Motorola...
Mkuu wa wilaya ya Hai mh Ole sabaya amewataka wakuu wa vyuo na wale wa High schools kuhakikisha wanawasajili wanafunzi wote watakaoripoti vyuoni/shuleni tarehe 1/6/2020 kumpelekea orodha zao tarehe 2/6/2020 kabla ya saa 4 asubuhi.
Ole sabaya amesema wanafunzi watakaoripoti baada ya muda huo...
Wizara ya Afya ya Brazil imetangaza maambukizi mapya 11,687 ya CoronaVirus na kufanya nchi hiyo kuwa na jumla ya maambukizi 376,669
Pia vifo 807 vimeripotiwa, na kufanya idadi ya waliofariki kwa CoronaVirus kufikia 23,522. Brazil inatajwa kuwa nchi ya pili duniani kwa kuwa na maambukizi...
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ametoa ripoti ya Uchunguzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii na kueleza mambo kadhaa yaliyogunduliwa na Kamati teule ya Uchunguzi
Amebainisha kuwa Kamati imegundua uwepo wa Mapungufu katika mfumo wa kimuundo, kiutendaji na uendeshaji wa kitaaluma katika upimaji wa...
KINU CHA MAMA
Mussa N. Abubakari
UTANGULIZI.
Hii ni bunilizi tu. Usijaribu kugeuza maoni kuwa ukweli na kuharibu maisha ya watu.
ZINDUKO;
Moja ni jibu,
Ngono hutibu.
1. Romantic Star
Alishuka. Akasimama, kisha akaangalia kushoto na kulia. Erick Kupaza alifurahi kurudi nyumbani kwao. Sio tu...
Rais Uhuru Kenyatta ametangaza kufungwa kwa mipaka yake na Mataifa ya Tanzania na Somalia kuanzia usiku wa leo kwa siku 30 zijazo
Rais Kenyatta amesema kuwa ni madereva wa magari ya kubeba mizigo pekee ambao wataruhisiwa kuingia nchini Kenya baada ya kupimwa COVID19 na kupatikana kuwa hawana...
Mji wa Nakonde unaopakana na Tunduma iliyo Tanzania unapata maambukizi mapya ya COVID 19 ndani ya saa 24 zilizopita kuliko mji mkuu wa Lusaka kwa mujibu wa wizara ya afya ya Zambia.
Wakati haya yakiendelea kwa upande wa Tanzania tunaarifiwa kuwa waziri wa afya yupo katika hatua za mwisho...
Inafakamika kila baada ya miaka kadhaa kutokana na njia ya mwezi angani kuna wakati mwezi kupita karibu sana na na Dunia. Hali hiyo ya mwezi kupita karibu na Dunia ndiyo inayoitwa mwezi mpevu sana ambapo mwezi huonekana kwa karibu na kwa uku wa zaidi kuliko nyakati nyingine.
Tukio hili...
Tukiwa bado tunaendelea na kupiga nyungu tusisahahau kuendelea kuchukua tahadhari nyingine dhidi ya adui yetu Corona.
Kwa kuwa kila mtu kazaliwa, basi kuna siku moja katika mwaka huwa inajirudia kwa maana ya tarehe na mwezi. Kwa wale wenzetu mliopo kwenye mahusiano, najua inapofika siku kama...
Chadema imesema ni wakati sasa wa Runinga ya taifa kuwatumikia Wananchi kwa kuwapa fursa ya kufuatilia Ibada mubashara wakiwa majumbani mwao.
Hayo yamesemwa na mbunge wa Geita na Naibu waziri kivuli mh Upendo Peneza alipoongea na waandishi wa habari jijini Dodoma.
Upendo amesema Waislamu...
Kupitia TBC1, nikiwa katika ofisa moja muda huu, nimeona habari kuwa vilabu na baa sasa kufungwa saa tatu usiku.
Swali ni je, kufungwa saa tatu usiku kutasaidia?
Tuko serious kweli?
Sijui ule mwanga ulikuwa na ishara ya nini kwa anaejua maana lilikuwa jua kali lilowaka wa muda wa dakika 10 mpk 15.
Nina imani wakazi wengi wa Dar es Salaam wameuona
======
TAARIFA KWA UMMA
KUHUSU MWONEKANO WA ANGA KUWA NA RANGI NYEKUNDU AU CHUNGWA KATIKA BAADHI YA MAENEO NCHINI.
Dar es...
RC Makonda ametembelea kituo cha daladala Makumbusho na kuzungumza na wadau wa kituo hicho wakiwemo madereva, makondakta, wafanyabiashara na abiria wanaosubiri kusafiri.
Makonda ameahidi zoezi la kupuliza dawa mitaani litakuwa endelevu na kuwataka wananchi wawe na nidhamu kwenye swala zima la...
Basi la Kampuni ya Bilo Sports linalofanya Safari zake za Bukoba kwenda Dar Es Salaam limeshikiliwa na Askari polisi kwa madai kuwa Moja wa abiria wake anahofiwa kuwa na Virusi vya Corona hivyo kwa Muda Wote huo hakuna Abiria aliyeruhusiwa kushuka ndani ya Basi
Mabadiliko katika bunge la bajeti linaloanza Machi 31, Dodoma:
Hakuna maswali kwa waziri mkuu
Bunge litaanza saa 8 mchana hadi saa 12 jioni
Maswali na majibu yatatumwa kwenye 'tablets' za wabunge
Kura za kupitisha bajeti zitapigwa kwa mafungu
Waandishi wachache wataruhusiwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.