Katibu Mkuu Taifa CHADEMA, John Mnyika ataongea live kupitia kituo cha ITV asubuhi

Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
18,857
7,615
Kijana mwenye akili nyingi,hekima, busara na upeo wa hali ya juu, John John Mnyika, Katibu mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kesho Jumatano tarehe 29.01.2020 saa tano asubuhi atakuwa hewani akitoa darasa la siasa, demokrasia na maendeleo.
Madini ya Mnyika hayapaswi kupitwa na kila Mtanzania anayejitambua.
Usikose
Screenshot_20200128_152609.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hicho kipindi kitakuwa na watazamaji wengi sana japo ni mida ya kazi. Ahakikishe anaongelea kuhusu tume huru ya uchaguzi na jinsi ya kuipata, na mapendekezo hiyo tume huru iweje. Kisha aombe tena vipindi vingine kwenye televisheni nyingine kasoro Chanel 10 na TBC1 ili apate vipindi vya kutoa somo. Na atangaze kabla ya muda wa hivyo vipindi ili tusikilize anachoongea, hasa upatikanaji wa tume huru ya uchaguzi.
 
Kijana mwenye akili nyingi,hekima, busara na upeo wa hali ya juu, John John Mnyika, Katibu mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kesho Jumatano tarehe 29.01.2020 saa tano asubuhi atakuwa hewani akitoa darasa la siasa, demokrasia na maendeleo.
Madini ya Mnyika hayapaswi kupitwa na kila Mtanzania anayejitambua.
Usikose View attachment 1338293

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii si ya kupitwa, kesho nikae off tu nikapate chakula cha ubongo.
 
jimbo limemshida anakimbilia mambo ya kichama

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Nikutajie wabunge walioshindwa kwenye majimbo yao?
1. Kangi Lugola- Mwibara haina maji safi na Salama
2. Ridhiwani Kikwete- Chalinze haina maji safi na salama
3. Simbachawene- Kibakwe haina maji safi wala barabara
4.
5
6
7
8

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom