Duka gani wanauza saa quality za uswiss (Swiss watches)?

Ubezea

JF-Expert Member
Jan 21, 2018
1,232
629
Wakuu umofia kwenu?
Nauliza hapa Dar duka gani naweza pata saa quality za brand za uswiss kama vile Rado, Patek Phillipe, Rolex ambazo zina quality?
 
Wakuu umofia kwenu,?
Nauliza hapa dar , duka gani naeza pata saa quality za brand za uswiss kama vile rado, patek phillipe, rolex ambazo zina quality
Patek Phillippe ni saa moja matata sana. Walikua na tangazo lao katika gazeti la The Times likisema;

For more than a century and a half Patek Phillippe has been known as the finest watch in the world. The reason is very simple, it is made differently. It is made using skills and techniques that many watch makers have lost or forgotten. It is made with attention to details very few people would notice, its made we have to agree with total disregard for time!

If a particular Patek Phillippe move requires four years of continuous work to bring it to absolute perfection, we will take four years.

The result will a watch that is unlike any other, a watch that displays quality from first touch and first look, a watch with a distinction

Generation after generation it has been loved and collected by those who are very difficult to please, by those who will only accept the best

Dah, mkuu nililipenda sana tangazo hili hadi nikalikariri lote tangu enzi hizo🤣🤣🤣
 
Unataka kupigwa tu, bongo hii kumejaa famba zile 1st class huku ukiambiwa hizo ni Org.
 
Nilishanunua tablet miaka ya 2013 duka 1 matata/ vitu vyake wanauza very expensive na tunaambiwa wanauza vitu org, cha ajabu siku TCRA wamezima simu feki za kichina na yangu ilikua mojawapo ya wahanga.

Since then kwenye kununua vitu org imekua bongo bahati mbaya.
 
Daah safi sana...znapatikana wapi sasa hapa dar?
Kuna duka linaitwa Babla's House of Watches lipo karibu na new Africa Hotel. Kuna connection na Switzerland nadhani nitakua nazo hizo saa katikati au mwishoni mwa December, nitatumia uzi huu kukutafuta nikiwanazo kama utakua hujapata
 
Huwez vaa saa OG labda uwe milionea hizo patek philipe sibchininya paundi elfu 20.

Hapa bongo tunavaa kopi tu. Hublot laki mbili sio kweli
 
Kuna duka linaitwa Babla's House of Watches lipo karibu na new Africa Hotel. Kuna connection na Switzerland nadhani nitakua nazo hizo saa katikati au mwishoni mwa December, nitatumia uzi huu kukutafuta nikiwanazo kama utakua hujapata
Na wewe una duka au ni online?
 
Mambo ya saa bwana,ni kama vile unavyoona mtu kanunua Range rover na mwingine ana IST lakini mkisema muende Mbeya wote mnafika,au mwingine ana IPhone 7 na mwingine ana Tecno kitochi lakini mkipigiwa simu wote mnapatikana,au mwingine ana mwanamke mkali sana yuko hivi na vile na mwingine wakwake wa kawaida tu lakini ikifika kwenye kuzaa wote wanazaa...
 
Unataka kupigwa tu, bongo hii kumejaa famba zile 1st class huku ukiambiwa hizo ni Org.
uko sahihi. nina ugonjwa saa pia. juzikati nimenunua TAG Heuer carrera kwa tsh 250k lakin ebay inauzwa 4200 usd na zinafanana kila kitu kwa mwonekano. pia Tissot PRC200 niliwai inunua tsh 200k wakat og ni usd 340. akitaka nitamwelekeza choices za kutosha zilipo dar.
 
mkuu naomba unielekeze
 
Back
Top Bottom