Ben Saanane kumuondosha muuaji wake kama Joseph Muscat kwa kumuua Daphne Caruana Galizia?

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
14,047
20,409
Waziri Mkuu wa Malta Joseph Muscat, nchi ambayo haijawahi kuwa na maandamano wala mkwamo wa kisiasa na ambaye amekuwa akipendwa pomoni ametupiwa mayai viza, yeye na wapambe wake na waandamanaji baada ya kugundulika kwamba alihusika kumuua mwandishi wa habari za kichunguzi mwanamama Daphne Caruana Galizia ambaye alikuwa akichunguza .

The same case ingekuwa hapa Tanzania, watu wanaua waandishi, wagombea na kadhalika halafu mmelala tu, sijui mtajibu nini kwa Mungu?

Kwa unafiki mkubwa mnakanyaga madhabahu ya Bwana na kwa kiburi eti uchaguzi ni huru na wa haki huku mkimtumia yule bwana wa ndoa za mitala "Jafo" kuhalalisha uchafuzi huu.

Mungu hadhihakiwi bwana Jafo, atatokea mwanamke mmoja atakubebesha mdudu, okay siemi mengi, namwachia Mungu na unafiki wako mapenzi yake yatimie kwako.
 
Dah roho yangu huniuma sana jinsi Ben saanane alivyotoweshwa na majahiri haya akiwacha ndg na jamaa zake wakimlilia mwanawao, at the same time walomteka wakiplead majukwaani ati tuendelee kuwaombea.

Kweli wanamdhihaki sana Mungu wetu wa haki tena hadharani.

Tunamuomba Mungu atendee kama walivyomtendea Ben, aamin
 
Muuaji wake huyu hapa,kazi kwenu kumuondosha
tapatalk_1574414219590.jpeg
 
Muuaji wake huyu hapa,kazi kwenu kumuondoshaView attachment 1273885
hii ni account FAKE ya KIGOGO.
Hii akaunti wewe mlamba nyayo wa LUMUMBA ndio umeitengeneza .

akaunti halisi ya KIGOGO ni Kigogo2014 na siyo Kigogo20I4

Nahisi nyie WALAMBA NYAYO NA WAUAJI mna Zero brain kama Bashitee, angalia hiyo "1" na "I" zinavyo tofautiana, haya kajipangeni tena mje kuddanganya wasukuma wenzenu

Mnateseka na Mbowe wakati mlishasema CHADEMA imekufa, sasa si mbaki na NLD, TPP MAENDELEO, NRA, CCK, JAHAZI ASILIA, CUF , TLP ambavyo mna ushirika navyo?

CHADEMA Imekufa kifo cha mende, bado tu mnahangaika na maiti?
 
Dah roho yangu huniuma sana jinsi Ben saanane alivyotoweshwa na majahiri haya akiwacha ndg na jamaa zake wakimlilia mwanawao, at the same time walomteka wakiplead majukwaani ati tuendelee kuwaombea.
Kweli wanamdhihaki sana Mungu wetu wa haki tena hadharani.
Tunamuomba Mungu atendee kama walivyomtendea Ben, aamin
Mmekosa hata waganga wa kienyeji??
 
Lakini si kuna habari aliungama kwa mmoja wa wale never miss Magogoni festivals naye akamuambia "chapa kazi" ukisamehewa na Mimi umesamehewa chini na juu?
Sina uhakika ni yupi ila nahisi ni mzee wa 'bapa'
 
Wewe umechukua hatua gani? Mikwara mingi nyuma ya keyboard mpaka dada Mange kachukia
Mtu Kama Mange we ulimfuata? Mange alikuwa na maslahi yake binafsi Sasa kwanini atujumuishe wengine baada ya kuona hajapata kitu?Mange huyu aliyeimba ngonjera 2015 halafu leo nijifanye namsapoti,never apambane na hali yake
 
Ni kweli kabisa,sio yeye tu kila damu ya yenye kuuliwa na mtu lazima uyo mtu mu aliyefanya ivyo nae kupewa adhabu na Mwenyezi Mungu
Damu hiyo humlilia mtu na vizazi vyake mpaka cha nne.

jiwe asishangae akawa na damu kama ziwa victoria
 
Iko siku mkijua afanyayo Mbowe mtamuweka kwenye Crusher asagwe mpaka abakie unga, mnajificha nyuma ya keyboard mkichnganya watu kwa uongo
Yapi agfanyayo zaidi ya nyie kumtuma Sabaya amvunjie mashsmba yake, Kumlazimisha NANDY atoe uroda, nlicheka sana.
Yani NANDY atoe uroda kwa mtu aliyeoza meno karibu mdomo mxima, pumbaf kweli, kuo mdomo labda apulizie perfume miezi miwili mfulilizo
 
Dah roho yangu huniuma sana jinsi Ben saanane alivyotoweshwa na majahiri haya akiwacha ndg na jamaa zake wakimlilia mwanawao, at the same time walomteka wakiplead majukwaani ati tuendelee kuwaombea.

Kweli wanamdhihaki sana Mungu wetu wa haki tena hadharani.

Tunamuomba Mungu atendee kama walivyomtendea Ben, aamin
Mama yake Ben Mpaka ameugua, tumbo la uzazi lina muuma akikumbuka changamoto za mimba ya Ben alafu mshamba mmoja kamuua na kumweka kwenye kiroba , Mungu atalipa tu
 
Wewe ambaye hujalala umefanya nini zaidi ya kutuletea huu umbeya wa Malta?

Uki-sneak your nose kwenye mambo ya watu gharama yake ni hiyo na hii ni duniani kote.
 
Back
Top Bottom