saa

  1. J

    JamiiForums Tanzania DC Ole Sabaya: Majina ya wanafunzi wa vyuo na kidato cha sita watakaoripoti yafikishwe ofisini kwangu tarehe 2/6/2020 saa 4 asubuhi

    Mkuu wa wilaya ya Hai mh Ole sabaya amewataka wakuu wa vyuo na wale wa High schools kuhakikisha wanawasajili wanafunzi wote watakaoripoti vyuoni/shuleni tarehe 1/6/2020 kumpelekea orodha zao tarehe 2/6/2020 kabla ya saa 4 asubuhi. Ole sabaya amesema wanafunzi watakaoripoti baada ya muda huo...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Brazili yaripoti maambukizi zaidi ya 11,000 ndani ya saa 24

    Wizara ya Afya ya Brazil imetangaza maambukizi mapya 11,687 ya CoronaVirus na kufanya nchi hiyo kuwa na jumla ya maambukizi 376,669 Pia vifo 807 vimeripotiwa, na kufanya idadi ya waliofariki kwa CoronaVirus kufikia 23,522. Brazil inatajwa kuwa nchi ya pili duniani kwa kuwa na maambukizi...
  3. Influenza

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Uchunguzi wa Maabara: Mashine moja ilikuwa na hitilafu. Upimaji wa COVID19 umehamishiwa katika Maabara mpya iliyopo Mabibo

    Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ametoa ripoti ya Uchunguzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii na kueleza mambo kadhaa yaliyogunduliwa na Kamati teule ya Uchunguzi Amebainisha kuwa Kamati imegundua uwepo wa Mapungufu katika mfumo wa kimuundo, kiutendaji na uendeshaji wa kitaaluma katika upimaji wa...
  4. Abubakari M N

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Kinu cha Mama

    KINU CHA MAMA Mussa N. Abubakari UTANGULIZI. Hii ni bunilizi tu. Usijaribu kugeuza maoni kuwa ukweli na kuharibu maisha ya watu. ZINDUKO; Moja ni jibu, Ngono hutibu. 1. Romantic Star Alishuka. Akasimama, kisha akaangalia kushoto na kulia. Erick Kupaza alifurahi kurudi nyumbani kwao. Sio tu...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kenya yafunga mipaka yake na Tanzania na Somalia. Zuio la kutotoka ndani laongezwa kwa siku 21

    Rais Uhuru Kenyatta ametangaza kufungwa kwa mipaka yake na Mataifa ya Tanzania na Somalia kuanzia usiku wa leo kwa siku 30 zijazo Rais Kenyatta amesema kuwa ni madereva wa magari ya kubeba mizigo pekee ambao wataruhisiwa kuingia nchini Kenya baada ya kupimwa COVID19 na kupatikana kuwa hawana...
  6. G Sam

    JamiiForums Tanzania Mji wa Nakonde ulio mpakani mwa Tanzania na Zambia wapata maambukizi ya COVID 19 ya kufuru! Ndani ya saa 24 watu 202 waambukizwa

    Mji wa Nakonde unaopakana na Tunduma iliyo Tanzania unapata maambukizi mapya ya COVID 19 ndani ya saa 24 zilizopita kuliko mji mkuu wa Lusaka kwa mujibu wa wizara ya afya ya Zambia. Wakati haya yakiendelea kwa upande wa Tanzania tunaarifiwa kuwa waziri wa afya yupo katika hatua za mwisho...
  7. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tukio la kijiografia la mwezi mpevu sana (Supermoon) litatikea Nchini Tanzania siku ya Alhamisi tarehe 7/5/2020 saa 13:45

    Inafakamika kila baada ya miaka kadhaa kutokana na njia ya mwezi angani kuna wakati mwezi kupita karibu sana na na Dunia. Hali hiyo ya mwezi kupita karibu na Dunia ndiyo inayoitwa mwezi mpevu sana ambapo mwezi huonekana kwa karibu na kwa uku wa zaidi kuliko nyakati nyingine. Tukio hili...
  8. Barakoa

    JamiiForums Tanzania Siku yako ya kuzaliwa halafu mpaka Saa Saba mchana hujaona ujumbe wowote wa kukupongeza kutoka kwa mpenzi wako...

    Tukiwa bado tunaendelea na kupiga nyungu tusisahahau kuendelea kuchukua tahadhari nyingine dhidi ya adui yetu Corona. Kwa kuwa kila mtu kazaliwa, basi kuna siku moja katika mwaka huwa inajirudia kwa maana ya tarehe na mwezi. Kwa wale wenzetu mliopo kwenye mahusiano, najua inapofika siku kama...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Chadema wataka Television ya taifa (TBC) iwe inarusha ibada mubashara siku za Ijumaa, Jumamosi na Jumapili ili kuepusha misongamano Ibadani

    Chadema imesema ni wakati sasa wa Runinga ya taifa kuwatumikia Wananchi kwa kuwapa fursa ya kufuatilia Ibada mubashara wakiwa majumbani mwao. Hayo yamesemwa na mbunge wa Geita na Naibu waziri kivuli mh Upendo Peneza alipoongea na waandishi wa habari jijini Dodoma. Upendo amesema Waislamu...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Baa na vilabu kufungwa saa tatu usiku; tuko serious?

    Kupitia TBC1, nikiwa katika ofisa moja muda huu, nimeona habari kuwa vilabu na baa sasa kufungwa saa tatu usiku. Swali ni je, kufungwa saa tatu usiku kutasaidia? Tuko serious kweli?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mwanga wa ajabu wa Jua leo Dar es Salaam saa 12:10 jioni, rangi ipo Kama nyekundu au Chungwa

    Sijui ule mwanga ulikuwa na ishara ya nini kwa anaejua maana lilikuwa jua kali lilowaka wa muda wa dakika 10 mpk 15. Nina imani wakazi wengi wa Dar es Salaam wameuona ====== TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MWONEKANO WA ANGA KUWA NA RANGI NYEKUNDU AU CHUNGWA KATIKA BAADHI YA MAENEO NCHINI. Dar es...
  12. J

    JamiiForums Tanzania RC Makonda atembelea kituo cha daladala Makumbusho. Ahimiza usafi, aruhusu bodaboda, Bajaji kuingia mjini

    RC Makonda ametembelea kituo cha daladala Makumbusho na kuzungumza na wadau wa kituo hicho wakiwemo madereva, makondakta, wafanyabiashara na abiria wanaosubiri kusafiri. Makonda ameahidi zoezi la kupuliza dawa mitaani litakuwa endelevu na kuwataka wananchi wawe na nidhamu kwenye swala zima la...
  13. Kichupa Steven

    JamiiForums Tanzania Basi la Bilo Sports lakwama kwa saa zaidi ya Mbili katika Mji wa Tinde

    Basi la Kampuni ya Bilo Sports linalofanya Safari zake za Bukoba kwenda Dar Es Salaam limeshikiliwa na Askari polisi kwa madai kuwa Moja wa abiria wake anahofiwa kuwa na Virusi vya Corona hivyo kwa Muda Wote huo hakuna Abiria aliyeruhusiwa kushuka ndani ya Basi
  14. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Bunge la bajeti litahudhuriwa na wabunge wasiozidi 150, sijajua sheria inaruhusu au huu uamuzi ni sahihi? Na bunge kuanza saa nane mchana

    Mabadiliko katika bunge la bajeti linaloanza Machi 31, Dodoma: Hakuna maswali kwa waziri mkuu Bunge litaanza saa 8 mchana hadi saa 12 jioni Maswali na majibu yatatumwa kwenye 'tablets' za wabunge Kura za kupitisha bajeti zitapigwa kwa mafungu Waandishi wachache wataruhusiwa
  15. Influenza

    JamiiForums Tanzania Coronavirus: Zanzibar yafunga Baa na Kumbi za Starehe, masoko mwisho saa 12 jioni

  16. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe kuongea na wanahabari saa 8 mchana wa leo tarehe 23 Machi 2020 kuhusiana na "gonjwa" la Corona

    Hii ni kwa mujibu wa ukurasa wa Twitter wa mh Lazaro Nyalandu. Don't go away.... Update.... Update.... clip ya speech yenyewe iko hapa Live: Freeman Mbowe akiongea na waandishi wa Habari muda huu jijini Dodoma - JamiiForums
  17. S

    JamiiForums Tanzania Mbowe kuongea na Waandishi wa Habari leo saa sita mchana

    Taarifa hii ilitolewa jana usiku (7:24 PM) na Mkurugenzi wa Mambo ya Nje na Mawasiliano wa CHADEMA, bwana Jon Mrema kupitia mtandao wa twitter: Kesho Jumatatu tarehe 16.03.2020 saa Sita Kamili mchana, ofisi za Makao Makuu ya Chama Kinondoni Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Freeman Mbowe...
  18. Magonjwa Mtambuka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Meru Kenya kunawaka moto saa hii

  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Wanandoa wadai fidia baada ya kanisa lao kuvunjwa saa 48 kabla ya ndoa yao

    Muhwezi Benson and Akankwasa Sophie Wamedai fidia ya Tsh milioni 376 kwa kanisa la ‘Church of Uganda’ baada ya kufuta ndoa yao iliyogharimu takribani milioni 471 kuiandaa Mwanasheria wa wanandoa hao alisema kuwa wateja wake wamekuwa na hali ngumu hivi sasa kisaikolojia na wameingia madeni...
Back
Top Bottom