Mji wa Nakonde ulio mpakani mwa Tanzania na Zambia wapata maambukizi ya COVID 19 ya kufuru! Ndani ya saa 24 watu 202 waambukizwa

G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
11,555
35,880
Mji wa Nakonde unaopakana na Tunduma iliyo Tanzania unapata maambukizi mapya ya COVID 19 ndani ya saa 24 zilizopita kuliko mji mkuu wa Lusaka kwa mujibu wa wizara ya afya ya Zambia.

Wakati haya yakiendelea kwa upande wa Tanzania tunaarifiwa kuwa waziri wa afya yupo katika hatua za mwisho kuondoka wizarani hapo baada ya kutokuridhishwa na mwenendo mzima wa serikali kukabili suala la COVID 19

IMG_20200512_195621.jpg
 
Hivi taaluma Ya my. Umy Ni Ya u doctor wa masawala Ya afya au ni level Ya elimu yake?
 
Ummy akiachia ngazi Magufuli atamteua Mwigulu. Wanaendana yani wote magarasa. Mwigulu alishauri tusipime kabisa na tusitaje data yoyote. Hahaha. Yani kazi ipo.

TISS kimyaa. Uzuri covid haijawahi kuni let down.
Imemdondosha mdogo wake yule boss wa usalama. Na wasipokuwa makini itakula pale top 3
 
Lete na takwimu za malaria huko

Tatizo akili ndogo hazijaelewa kuwa corona ni mafua tu
Wewe jamaa ni mpuuzi sana na sidhani kama ni miongoni mwa watu waliozaliwa na binadamu wewe itakuwa ulizaliwa na mnyama wa polini au ulipandikizwa mbegu kwenye mashine. kwani haujawahi kuwa na mchango wowote wenye akili ambao unaweza kutuondoa kwenye matatizo yanayolikabili ili taifa zaidi ya kuleta hoja za kijingajinga ambazo hazionyeshi kama wewe ni timamu kiakili. Nyooko kabisa.
 
Mji wa Nakonde unaopakana na Tunduma iliyo Tanzania unapata maambukizi mapya ya COVID 19 ndani ya saa 24 zilizopita kuliko mji mkuu wa Lusaka kwa mujibu wa wizara ya afya ya Zambia.

Wakati haya yakiendelea kwa upande wa Tanzania tunaarifiwa kuwa waziri wa afya yupo katika hatua za mwisho kuondoka wizarani hapo baada ya kutokuridhishwa na mwenendo mzima wa serikali kukabili suala la COVID 19

View attachment 1448228
Walichelewa kufanya maamuzi.
 
Back
Top Bottom