Pale Amsterdam Lawyers watakaposhawishi jumuiya za Kimataifa kufanya uchunguzi wa kupotea Ben Saanane, Azory, Kanguye, kupigwa risasi Lissu na MKIRU

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
13,502
51,098
Kama kuna watu wanaojidai ni "wasiojulikana" wakae mkao wa kula. Kama wanadhani dunia imesahau haya matukio basi wakae wakijua kuwa muda wowote kinaweza kunuka juu yao.

Dunia imeducument vizuri hayo matukio, ni bora waachane na michezo hiyo ya uonevu kwa sababu kadri watakavyoendelea kuyafanya ndivyo jinsi dunia inavyozidi kutunza kumbukumbu na siku moja jumba bovu litawaangukia!.

Wanasheria husema kuwa sheria huwa ni kipofu lakini huwa inaweza kuona gizani (Justice is blind but it can see in the dark).

Matendo yale ya kihuni walidhani wao watakuwa safe, hakuna mtu wa kuwagusa. Lakini ukweli ni kwamba watu wa kuwagusa wapo, nao ni jumuia za kimataifa kwa kushirikiana na wazalendo wa nchi hii!.

Siku azimio la uchunguzi dhidi ya matukio hayo likitoka, hawana pa kukimbilia, watasakwa popote pale walipo wafikishwe kwenye mkono wa sheria!.

Haki ya mtu, damu ya mtu havipotei, vitaendelea kulia na kutaka haki yake!.

Kaini Kaini, umefanya nini?, Damu ya ndugu yako inanililia!.
 
Yaani law firm ya Netherlands iipeleke mbio taifa kubwa kama Tanzania, that's a joke? Au sababu ni wazungu ndio maana mnapagwa , mipaka ya kazi zao unaijua, kuna law firm inaweza kucross country na ku attack serikali, au ku command goverment, hacheni utoto. Kwani hiyo ni mahakama ya kikataifa au?
 
Mwambie huyo!.. mpe vidonge vyake.. aliropoka mlevi mmoja huko..😂😂
 
Mnajidanganya sana kama mnafikiri hii Dunia inajali achilia mbali hata kujua kama kuna Tanzania, watu wanafikiria corona lockdown na mwanguko wa chumi zao ninyi mnaleta utoto, kwa taarifa yako tu watu zaidi ya 150 000 (laki mja na nusu) hufa kila siku hapa Duniani, hata leo hii mpaka kufikia saa 23:59 watu > 150 000 watakuwa wamefariki, ...
 
Yaani law firm ya Netherlands iipeleke mbio taifa kubwa kama Tanzania, that's a joke? Au sababu ni wazungu ndio maana mnapagwa , mipaka ya kazi zao unaijua, kuna law firm inaweza kucross country na ku attack serikali, au ku command goverment, hacheni utoto. Kwani hiyo ni mahakama ya kikataifa au?
Kuzaliwa kijijini ndani ndani Sana shida mtu Hadi anakanyaga chuo kikuu hajawahi ona mzungu akimuona anakuwa Kama bwege

Kila kitu mzungu mzungu mzumgu!!!
Amsterdam Amsterdam Amsterdam!!! Ni ushamba Fulani unachangia
 
Yaani law firm ya Netherlands iipeleke mbio taifa kubwa kama Tanzania, that's a joke? Au sababu ni wazungu ndio maana mnapagwa , mipaka ya kazi zao unaijua, kuna law firm inaweza kucross country na ku attack serikali, au ku command goverment, hacheni utoto. Kwani hiyo ni mahakama ya kikataifa au?
Unapoteza muda wako na hawa wapuuzi, Tanzania tuna safari ndefu sana, mzungu kwao ni juu ya kila kitu ndio maana kina bongo zozo ni macelebrity.
 
Yaani law firm ya Netherlands iipeleke mbio taifa kubwa kama Tanzania, that's a joke? Au sababu ni wazungu ndio maana mnapagwa , mipaka ya kazi zao unaijua, kuna law firm inaweza kucross country na ku attack serikali, au ku command goverment, hacheni utoto. Kwani hiyo ni mahakama ya kikataifa au?

Nchi zao ni democracies, senators na representatives wanasikiliza kauli na ushawishi wa wapiga kura wao!. Movement ya kutaka haki juu ya akina Azory, Ben Saanane, na wengineo ikianzishwa, ikashika moto then wasiojulikana watachomoka huko waliko na wataface justice!
 
Yaani law firm ya Netherlands iipeleke mbio taifa kubwa kama Tanzania, that's a joke? Au sababu ni wazungu ndio maana mnapagwa , mipaka ya kazi zao unaijua, kuna law firm inaweza kucross country na ku attack serikali, au ku command goverment, hacheni utoto. Kwani hiyo ni mahakama ya kikataifa au?
Naibu Rais wa kenya Rutto, alipelekeshwa the Hague na law Firm ya wapi mpuuzi wewe?
 
"Amsterdam Lawyers " hawa wapuuzi nimewachoka nasubiria mtu wao ale cha mbavu box la kura watu tupumzike.

Zaman kitisho kilikua icc saiv wamekua wao ki law firm cha uchochoroni kinawapa matumain feki baadhi ya watu
 
Naibu Rais wa kenya Rutto, alipelekeshwa the Hague na law Firm ya wapi mpuuzi wewe?
Sasa kuna kesi imefunguliwa ICC dhidi ya serikali ya Tanzania kukiuka haki za binadamu, hacha kushobokea ngozi wazungu wewe, hawana habari na wewe wanaangalia maslahi yao.
 
Kwa mfano.

Usisahau Zimbabwe familia ya Mugabe haina shida yoyote bado wanaponda raha.

Wanalia na njaa ni wananchi wakawaida tu.

Labda wafungwe mahakamani au wanyongwe kama Husein.

Vinginevyo nchi ikiwekewa vikwanzo utaanza kukiona cha moto wewe kabla ya wakubwa.
 
Wasiojulikana watulie tu kama wananyolewa wakileta fyoko, kampeni inaanzishwa ya kutaka uchunguzi huru wa matukio hayo ufanywe, then waone kama hawajachomolewa kama digidogi kwenye vishimo na viota vyao wanavyotamba navyo!
Kampeni itaanzishwa na nani, na huyo advocate wa Lissu wa uholanzi? Bro google iko bure kabisa, bando unayo sasa badala ya kupoteza muda wako na mambo ya kipuuzi si bora ufungue akili kidogo kwa kujisomea kidogo.Unajiabisha humu.
 
Sasa kuna kesi imefunguliwa ICC dhidi ya serikali ya Tanzania kukiuka haki za binadamu, hacha kushobokea ngozi wazungu wewe, hawana habari na wewe wanaangalia maslahi yao.

sasa wewe mbona unaunga mkono matendo ya wasiojulikana!. Hutaki haki itendeke kwa akina Azory, Ben saanane na wengineo?
 
Back
Top Bottom