Sisi wakazi wa manispaa ya Iringa tumeambiwa jumatatu hakuna kwenda makazini wala mashuleni bali tukutane Samora kuanzia saa mbili asubuhi

dikteta2020

JF-Expert Member
Aug 14, 2018
595
3,990
Naam, tangazo limepita muda huu, hatimaye jumatatu tunakula bata. Hakuna shule wala kazi bali tukutane uwanja wa Samora.

Tumeambiwa kutakuwa na burudani ya kukata na shoka kutoka kwa Konde boy na wenzake. Mengine tutaelezwa tukishafika.

Nice and long weekend!
Acha tuserereke!
 
Wamachinga wa Iringa msisahau kumdai jiwe hela zenu za vitambulisho.
Jiwe aliwatumia polisi kuwapigeni hela.
Mumdai Jiwe NOAH zenu kwani ameishalipwa hela za MAKINIKIA!!! Amezoea kupeleka hela ya wananchi kwa MAYANGA!!!
 
Naam, tangazo limepita muda huu, hatimaye jumatatu tunakula bata. Hakuna shule wala kazi bali tukutane uwanja wa Samora.

Tumeambiwa kutakuwa na burudani ya kukata na shoka kutoka kwa Konde boy na wenzake. Mengine tutaelezwa tukishafika.

Nice and long weekend!
Acha tuserereke!
Kwan mnalazimishwa mkuu

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
 
Naam, tangazo limepita muda huu, hatimaye jumatatu tunakula bata. Hakuna shule wala kazi bali tukutane uwanja wa Samora.

Tumeambiwa kutakuwa na burudani ya kukata na shoka kutoka kwa Konde boy na wenzake. Mengine tutaelezwa tukishafika.

Nice and long weekend!
Acha tuserereke!

Nawahurumiasana watumishi walio chini ya TAMISEMI maana hao ndo wanyonge wa ccm.
Ili msipoteze ugali wa familia, nawashauri nendeni kumsikiliza, ila tar 28 oct mkafanye yenu kwenye sanduku la kura.
4.jpg
 
Naam, tangazo limepita muda huu, hatimaye jumatatu tunakula bata. Hakuna shule wala kazi bali tukutane uwanja wa Samora.

Tumeambiwa kutakuwa na burudani ya kukata na shoka kutoka kwa Konde boy na wenzake. Mengine tutaelezwa tukishafika.

Nice and long weekend!
Acha tuserereke!
Nyie nendeni tu kwenye tamasha hilo ambalo mgeni rasmi atakuwa rais wa jamhuri ya muungano, msikilizeni lakini akiwaomba chochote mwambieni tutampa Lissu.
 
Naam, tangazo limepita muda huu, hatimaye jumatatu tunakula bata. Hakuna shule wala kazi bali tukutane uwanja wa Samora.

Tumeambiwa kutakuwa na burudani ya kukata na shoka kutoka kwa Konde boy na wenzake. Mengine tutaelezwa tukishafika.

Nice and long weekend!
Acha tuserereke!

Baada ya kuuliza mwanachadema na mfanya kazi amekana, uwongo huo. Laa hawa jamaa kiwanda cha uwongo.
 
Naam, tangazo limepita muda huu, hatimaye jumatatu tunakula bata. Hakuna shule wala kazi bali tukutane uwanja wa Samora.

Tumeambiwa kutakuwa na burudani ya kukata na shoka kutoka kwa Konde boy na wenzake. Mengine tutaelezwa tukishafika.

Nice and long weekend!
Acha tuserereke!
Hongera kwa long weekend
 
Sawa
 
Wazee wa msleleko hahhaaa I wish niwe Iringa
 
Back
Top Bottom