ndugu yangu serious huelewi sababu ya timu kucheza saa nane? ila unaelewa sababu ya mechi kuchezwa ijumaa, jumamosi na jumapili?Kwanza kwanin team icheze saa8 mchana??
Nikija kujibu swali lako Ni kua
Kuna mapato mengi zinapocheza timu hizi kwahyo wameona wakiweka mchana wat wengi hawataenda kuangalia
Sifahamundugu yangu serious huelewi sababu ya timu kucheza saa nane? ila unaelewa sababu ya mechi kuchezwa ijumaa, jumamosi na jumapili?
Unakuta timu inacheza saa nane mchana halafu inacheza Dodoma au dsm..Kwanza kwanin team icheze saa8 mchana??
Nikija kujibu swali lako ni kuwa Kuna mapato mengi zinapocheza timu hizi kwahyo wameona wakiweka mchana wat wengi hawataenda kuangalia
lakini madhara yakucheza kwenye jua kali si yanajulikana? Je, ni sahihi kluzidi kuzipandisha hizi timu mbili juu na kuzigandamiza hizi nyingine?Hii ipo kibiashara zaidi....Simba na Yanga ndio timu zenye wateja( mashabiki) wengi zaidi....na wateja hawa muda wao mzuri kuangalia mpira ni jioni na usiku....kuzipanga timu hizi muda wa mchana....kutapunguza mapato ya wadau....mfano wenye mabanda... kumbi za kuonyesha mpira na baa....watakosa wateja...utampata nani mchana...jua kali na wengine bado wako vibaruani....pia Azam TV mapato yake yatapungua.....mwisho anaweza kuaacha kurusha live.
lakini madhara yakucheza kwenye jua kali si yanajulikana? Je, ni sahihi kluzidi kuzipandisha hizi timu mbili juu na kuzigandamiza hizi nyingine?
Soccer ni biashara. Azam hawafanyi hisani kurusha mechi zote bila kuacha hata moja.Nimekuwa najiuliza hili swali muda mrefu inakuaje hizi timu ndogo zichezeshwe mchana wa jua kali na hawa jamaa (Simba na Yanga) wasicheze?
Je, ipo kwenye kanuni au ni utashi tu wa viongozi?
lakini unakubali kuna advantage ndani ya pitch kwa anayecheza jioni ukilinganisha na wa mchana? mbona tunalipa vifurushi na kwenye vibanda umiza kuangalia mechi za epl zinazochezwa saa nane? sisi tunakwama wapi?Soccer ni biashara. Azam hawafanyi hisani kurusha mechi zote bila kuacha hata moja.
Yanga na Simba zinavuta watu kununua vifurushi ili watu waangalie mpira. Hao ndiyo wacheze saa nane?
Kwanza tushukuru mgao ni sawa kwa timu zote!
Wakubwa hao potezea tu.Nimekuwa najiuliza hili swali muda mrefu inakuaje hizi timu ndogo zichezeshwe mchana wa jua kali na hawa jamaa (Simba na Yanga) wasicheze?
Je, ipo kwenye kanuni au ni utashi tu wa viongozi?
Iko wazi uende wapi wapo wakubwa zako .lakini madhara yakucheza kwenye jua kali si yanajulikana? Je, ni sahihi kluzidi kuzipandisha hizi timu mbili juu na kuzigandamiza hizi nyingine?
Does it sense nothing to your sense, it seems you're senseless.you really need to come to your sense.
Advantage haina mjadala.lakini unakubali kuna advantage ndani ya pitch kwa anayecheza jioni ukilinganisha na wa mchana? mbona tunalipa vifurushi na kwenye vibanda umiza kuangalia mechi za epl zinazochezwa saa nane? sisi tunakwama wapi?
Ndio maana kuna mdau hapo juu nimemuuliza tunakwama wapi ikiwa huko tunakokuita duniani kote kuna timu kubwa zinacheza mapema na biashara zinaenda kama kawaida. Huoni kwamba kwa utaratibu huu timu ndogo zitaendelea kuwa ndogo na kubwa kuwa kubwa kwa kuwa tu tunazifavour kubwa? Kama umewahi kucheza mpira unaijua adha ya kucheza kwenye jua kali hasa la saa nane. Kibiashara wanaweza kuwa sahihi lakini kwenye kuinua soka letu wanakosea.Duniani kote mpira ni biashara, ndiyo maana wawekezaji wengi wameweka pesa zao kwenye mchezo huo.
Hivyo, mapato ya malangoni na matangazo ndiyo chanzo muhimu cha pesa kwenye mchezo huo.
Kwa sababu hiyo, shirikisho la mchezo wa soka Tanzania TFF na wadhamini wake wakubwa Vodacom na Azam lazima watakuwa na makubaliano furani namna ya kuendesha ligi hiyo kwa sababu za kibiashara.
Na kwakuwa hata andiko lako hapo juu umeainisha kwamba Simba na Yanga ni timu kubwa, basi hizo ndizo zilizoshikilia biashara ya mchezo wa soka Tanzania.
Kwahiyo TFF, Azam na Vodacom ni lazima waangalie maslahi ya Yanga au Simba kucheza saa 8 au saa 10.