kesi ya Jacob Zuma hiyo
South Africa's ex-president says he is ready for graft trial
JOHANNESBURG (AP) — Former South African President Jacob Zuma says he is ready for his trial on charges of corruption, racketeering, and money laundering.
Zuma appeared at the Pietermaritzburg High...
Ni furaha kuona kamanda wa taasisi nyeti ya kupambana na rushwa anakuja kutoka polisi akiwa anajua mifumo yote ya utoaji haki ndani ya jeshi la polisi kujawa na rushwa kuanzia barabarani, jinsi trafiki na polisi wanavyochukua rushwa mpka vituoni hakika tuna imani kubwa na kamanda aende kuweka...
Wadau
Nimeona kwa kipindi kirefu Sasa Taasisi ya TAKUKURU inapewa watu kutoka nje kuiongoza. Nina maswali kadhaa,
1. Taasisi hii ina professional discipline? Au wanajiendea endea tu? Maake inaongozwaje na Kila mtu ?
2. Internally ina succession plans? Kama wanayo hao waliotakiwa kuwa katika...
Ninawasalimu wanajukwaa wa JF
Wakati Mh.Rais akitembea na kauli mbiu ya kazi iendelee,wapo manaibu makatibu wawili wa Tume ya Utumishi wa Walimu(TSC) wa wilaya za Tanga Jiji na Mkinga Halmashauri kauli yao itakua wizi unaendelea. Wanafanya wizi wa dhahiri,unyanyasaji,uonevu na ukandamizaji wa...
Kama Kuna zoezi gumu na linaweza kuitia hasara serikali nikushindwa kusimamia suala la taasisi zinazosimamia maji nchini. Taasisi hizi zihujumu huduma ya maji kwa njia zifuatazo;
1. Ukiomba kuunganishiwa maji upati msaada huo au utaambiwa subiri mradi utakuja ufike kwako, lakini ukizungumza na...
Awamu ya sita inalo Jambo la kutafakari kuhusu mmomonyoko wa maadili unaoendelea Nchini. Tumewalea watu wachache wameafika mahali wananguvu kuliko Viongozi wa kitaifa. Tunaweza tukadhani tunapambana na wapinzani kumbe tunapambana kuuwa usawa katika jamii.
Tuna vyombo vya dola ambavyo kwa kiasi...
Kuna clip inaonyesha mama akipiga chapuo kujengwa kwa bandari ya Bagamoyo Kwa PP.
Naomba kuuliza wanajamvi yafuatayo:
1. Kwanini njia pekee ya kujenga bandari ya Bagamoyo iwe ni Kwa ubia pekee? Kwanini tusijenge Kwa mtindo wa reli ya SGR?
2. Je, Kenya nayo ikapunua bandari na msumbiji? Na...
Nisipokuta sehemu yoyote ile katika Kitabu anachoenda Kukizindua Keshokutwa (Jumamosi tarehe 8 May, 2021) Rais Mstaafu Mzee Mwinyi amekiri kuwa Awamu yake ndiyo 'Baba wa Rushwa' nchini Tanzania sitokinunua na nitakipuuza pia.
Mwenzake Rais Mstaafu (sasa Hayati) Mzee Mkapa nae katika Kitabu...
Ndani ya siku hizi mbili imesemekana eti walimu waliokuwa wanajitolea katika shule mbalimbali za Serikali ndio watapewa kipaumbele kwenye ajira. Hivyo majina ya watu hao yametumwa Tamisemi.
Ukweli halisi ni kwamba walimu waliojitolea kwa mwaka mzima hawafiki hata 1% ya waajiriwa mia sita wa...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ni kwamba kupata cheti cha kuzaliwa au kifo kutoka ofisi ya kutoa vyeti hivyo (RITA) Mkoani Arusha ni shughuli kubwa sana.
Ukifika mara ya kwanza unakuta foleni ndefu ya ajabu. Ukifanikiwa kuwakuta watendaji unapewa namba ya kulipia (Kontro namba)
ukisha...
Viongozi walioteuliwa na Mwenyekiti wa CCM ni ishara kwamba hakuna kiongozi ndani ya chama hicho.
Nianze na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, kwa kipindi chote alichokaa Ruvuma hakuna jambo unaloweza kusema amefanya lakiubunifu na lenye tija kwa mkoa huu. Leo hii unamteua akapange mipango ya chama, means...
Unaweza kudhania ni hadithi, lakini ndio ukweli wa mambo.
-
AFISA WA TAKUKURU AKAMATWA KWA KUOMBA RUSHWA YA SHILINGI MILIONI 50
Kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa – TAKUKURU Brigedia Jenerali John Mbungo, napenda kuufahamisha umma kwamba, Taasisi ya Kuzuia...
Askari Polisi saba wakiwemo watano wa kituo cha Polisi Usa Wilayani Arumeru Mkoani Arusha na wawili wa Kituo Kikuu cha Polisi Arusha wamefukuzwa kazi kwa fedheha kwa kosa la kushawishi na kuomba rushwa ya shilingi milioni 100.
Wiki iliyopita Kamanda wa TAASISI ya Kuzuia na kupambana na Rushwa...
Jana nilikuwa safarini mkoa wa Iringa. Njiani, ukipita Igingilanyi kwa mbele kuna askari polisi wawili walikuwa wanavizia magari yanayokwenda spidi wakiwa wameficha gari yao aina ya spacio.
Nilichoona ni kwamba mabasi yanapita kasi huku wakidondosha pesa. Hii ni aibu. Kuna haja ya kubadilika...
TAASISI ya Kuzuia na kupambana na rushwa Takukuru ,Mkoa wa Arusha,imewafikisha mahakamani wafanyakazi watatu wa halmashauri ya Karatu waliokuwa wakikusanya ushuru wa utalii katika mradi wa Laki Eyasi Cultural Tourism Program (LECTP) kwa kosa la kuisababishia hasara ya sh,milioni 11.4 halmashauri...
Wadau hongereni kwa kazi hii kitu imevuma Sana Leo kwa wahusika hao kuvuta 60 mil toka kwa makarani wa pamba huko Wilaya ya Tanganyika hebu wajuvi mtupe nyama inakuwaje hii kitu maana Hawa jamaa inaonekana watu wa dili na kutakuwa na chain ndefu tu ya Kula mlungula
najua humu great thinker...
"Ole Wao Wale Wanaotumia Nafasi Zao Za Umma Na Serikali Kuiba , Kuhujumu Uchumi Na Kupokea Rushwa ' Maana Salama Yao Ni kudra Za Mwenyezi Mungu , Labda Nisiwajue "
Hayo yalikuwa ni maneno ya mwamba Edward Moringe Sokoine.
Na mimi haya ndio maneno yangu ya mwisho hapa JamiiForums maana leo ndio...
Hakuna ubadhirifu uliofanywa na Rais aliyepita, ubadhirifu ulifanya na viongozi wasio kuwa na maadili wakiwemo Mawaziri, makatibu wakuu na maafisa suuri wengine katika sekta mbalimbali.
Kama tunataka kumuenzi JPM Basi tuwawajibishe wanaohusika Kama ambavyo angeafanya endapo angekuwa hai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.