rushwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. pombe kali

    JamiiForums Tanzania Mtindo mpya wa trafiki kula rushwa (picha)

    Pichani ni kaka mtanashati anayejifanya muuza magazeti, hapa ni mataa ya Morocco (Kinondoni) daladala zinazotoka maeneo ya Shoppers/Kawe/Msasani zinasimamishwa na Askari kisha kondakta anashuka na kumalizana na na huyo kaka muuza magazeti. Mheshimiwa alisema watoa taarifa tutalindwa hivyo...
  2. Volatility

    JamiiForums Tanzania Rushwa ya ngono vyuo vikuu

    Kiukweli, sikuwasikiliza kichele na mbogo sababu ni waongo waongo, hawa wawili walichangia sana kuharibu uendeshaji wa serikali kwa kufuata misingi ya utawala bora, wanatia kichefu chefu sana. Sasa sielewi kati yao ni nani aliyewasilisha taarifa ya rushwa ya ngono vyuo vikuu mbele ya Bi. Samia...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Nini hupelekea Rushwa kwenye Sekta ya Afya

    Chuo cha Basel kilifanya utafiti kwenye nchi tatu za Afrika Mashariki (Tanzania, Uganda na Rwanda) kuhusu Rushwa kwenye utoaji wa huduma ya afya. Ilibainika tatizo hilo limetokana na kusuasua kwa sekta ya afya katika nchi hizo na kusababisha upatikanaji wa huduma kuwa mgumu. Aidha kupatiwa...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Aliyeomba rushwa ya Sh50,000 akwepa kifungo kwa kulipa faini ya Sh1 milioni

    Ofisa mtendaji wa kijiji cha Ndedo kata ya Makame Wilayani Kiteto Mkoa wa Manyara, Yusuf Mrisho amehukumiwa kwenda jela miaka mitatu au kulipa faini ya Sh1 milioni kwa kosa la kuomba na kupokea rushwa ya Sh50,000. Hata hivyo, ofisa mtendaji huyo alilipa faini hiyo na kukwepa kifungo hicho...
  5. shafrael

    JamiiForums Tanzania Kupanda madaraja: Adui wa staff development katika awamu ya Serikali ya tano

    Mh. Rais, kwenye ualimu kuna program tunaita STAFF DEVELOPMENT. Kwamba kila mwaka kuwepo na utaratibu endelevu wa walimu kwenda kuendeleza taaluma zao ili kukuza ufanisi. Huko nyuma walimu walikuwa wanaenda masomoni na bado madaraja yao yanapanda kama kawaida, lakini serikali yako imekuja na...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yapata njia mpya ya kudhibiti rushwa kwa Askari Polisi , nchi zingine ziige

  7. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awataka TRA kuacha kubambikia wafanyabiashara kodi, asema wanakadiria kodi kubwa ili wapewe rushwa!

    Rais Magufuli ameitaka TRA kuacha kuwabambikia kodi wafanyabiashara na badala yake watoe makadirio ya haki. Rais Magufuli amesema tabia ya kubambika kodi inawafanya wafanyabiashara washindwe kulipa na kutafuta njia za kukwepa kabisa kulipa. Rais Magufuli amesema baadhi ya watumishi wa TRA...
  8. Mema Tanzania

    JamiiForums Tanzania Tuangazie rushwa adui wa maendeleo

    Tuangazie #Rushwa Rushwa ni aina ya ukosefu wa uaminifu au kosa la jinai linalofanywa na mtu, taasisi, au shirika lililopewa madaraka, kujipatia faida haramu au kutumia nguvu vibaya kwa faida binafsi. Rushwa inamaliza imani, inadhoofisha demokrasia, inakwamisha, maendeleo ya uchumi na...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Katibu wa CCM Mkoa wa Morogoro, Shaka Hamdu Shaka asimamishwa kwa tuhuma za rushwa

    Anatuhumiwa kushiriki rushwa wakati wa mchakato wa kumpata Meya wa Manispaa hiyo. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa CCM Mh Magufuli akiwa ziarani Mkoani humo. ==== Katibu CCM asimamishwa kwa rushwa, Magufuli asema… KATIBU wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Morogoro, Shaka Hamidu Shaka...
  10. Jembe Jembe

    JamiiForums Tanzania Waliomteka mfanyabiashara, kuomba rushwa wakiri mashtaka

    Askari polisi watatu pamoja na raia sita akiwemo mfanyabiashara maarufu wa Madini a Tanzanite, Lucas Mdeme wanaotuhumiwa kwa makosa ya uhujumu uchumi wamekiri makosa kwa kuandika barua kwa DPP. Wameandika barua ya kukiri mashataka sita wanaokabiliwa nayo ikiwemo uhujumu uchumi, utakatishaji...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha miwa Kilombero na rushwa ni jipu kwa wakulima

    Habari wapendwa kumekuwa na sintofahamu ya uvunaji miwa Kilombero, bila rushwa hutoi miwa yako na hii ni kutokana na uongozi kutokuwa na usimamizi wa kutosha hasa inapofika kipindi cha uvunaji na nimegundua wanafanya hivyo makusudi ili kuweka mianya ya rushwa kwa wakulima. Mfano kama viongozi...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU yautambua mchango mkubwa wa JamiiForums katika kuendeleza mapambano dhidi ya Rushwa nchini

    Salaam Wakuu, TAKUKURU yautambua mchango mkubwa wa JamiiForums pamoja vyombo vya habari Nchini katika kuendeleza mapambano dhidi ya rushwa nchini. Tukio hilo limefanyika leo 28 Januari Jijini Dar Es Salaam wakati wa Uzinduzi wa Chaneli mpya ya TAKUKURU TV ya YouTube. Tukio lhili imeambatana na...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kushiriki katika kupambana na rushwa

    Kila mwananchi ana wajibu wa kushiriki katika kuzuia na kupambana na rushwa kwa kufanya yafuatayo; Kutoa taarifa Kila mwananchi ana jukumu la kutoa taarifa za vitendo vya rushwa kwa TAKUKURU au kwa vyombo vingine vya sheria au dola. Taarifa zinaweza kutolewa kwa njia ya simu, barua, barua...
  14. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania TBS mnaandaa mazingira ya rushwa ukaguzi wa magari?

    Tangazo la TBS lililotolewa majuzi, ati sasa ukaguzi wa magari used utafanyika hapahapa Bandarini linatia wasiwasi. Huu utaratibu ulikuwepo zamani na uliondolewa kutokana na urasimu wake na uchelewashaji mkubwa wa kukaguliwa mali ya mteja. Tukubali tusikubali palipo na urasimu na ucheleweshaji...
  15. kavulata

    JamiiForums Tanzania Rushwa kwa watumishi ipo lakini kula kwa uangalifu usikamatwe

    Kinachohalalisha kosa kufanyika ni kosa lenyewe na dhamira wakati wa kulitenda kosa. Kuna wakati rushwa inaombwa kwa nia njema ili mtumishi apate nguvu na moyo wa kutoa huduma. Rushwa inapofusha macho na masikio ya wanaoidai, na wakati mwingine rushwa inafunga midomo ya wanaoipokea. Lakini...
  16. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Matuta yote barabara kuu za mikoa yaondolewe; vivuko viwekwe vya chini ya barabara watu wakimbize magari wawezavyo bila vikwazo. Itapunguza rushwa pia

    India ina watu wengi mno duniani lakini barabara za mikoa ukiwasha gari unatimua mbio bila shida huoni tuta popote. Vijijini hata kuwe na wafugaji vipi barabara huwa na kivuko chini kipana tu cha kupitisha hadi mifugo kwa hiyo juu yanakuwa yanapita magari tu kwa spidi bila hofu ya kugonga kiumbe...
  17. hnp

    JamiiForums Tanzania Rushwa kwenye usaili

    Habari za saiz wadau, Hivi ni kweli swala la rushwa lipo wakati wa usaili wa kupata kazi? Yaani kwa mwajiri kwenda kwa mwajiriwa au kutoka kwa mwajiriwa kwenda kwa mwajiri? Mfano wa rushwa izo ni ngono na pesa ili mtu apate kuajiriwa, hii kitu bado ipo kweli wanaJF? Karibu tujadili.
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Trafiki anaswa na TAKUKURU akiomba rushwa ya ngono

    Askari wa kikosi cha usalama barabarani, Peter Albert Moshi anashikiliwa na Taasisi ya Kupambana Rushwa (TAKUKURU) mkoani Kilimanjaro kwa madai ya kuomba rushwa ya ngono kwa mama wa mtoto aliyegongwa na pikipiki ili aweze kukamilisha taarifa za uchunguzi wa ajali hiyo. Kamanda wa wa Takukuru...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania China: Bilionea ahukumiwa kunyongwa kwa rushwa

    Lai Xiaomin, mfanyabiashara mkubwa wa #China ambaye pia ni kiongozi wa Chama amehukumiwa kunyongwa baada ya kukutwa na hatia ya rushwa ya takriban Tsh Bilioni 643. Mahakama imesema alijihusisha na vitendo vya rushwa kwa miaka 10, tangu 2008 ambapo alikuwa anapokea ili kuwapa watu kazi...
  20. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Kifungo cha Miaka 15 gerezani kinaweza kumkabili "Mtoto wa Siri" wa Rais wa zamani wa Algeria kwa tuhuma za rushwa na ubadhirifu wa mali

    Mwaka mpya unaonekana kuanza vibaya kwa 'mtoto wa siri' rais wa zamani wa Algeria aliyeondolewa madarakani, Abdelaziz Bouteflika, anayejulikana zaidi kwa jina la Madame Maya baada ya upande wa mashtaka kuomba kifungo cha miaka 15 kutokana na tuhuma za rushwa na ubadhirifu wa mali zinazomkabili...
Back
Top Bottom