DC na Mkuu wa Takukuru Wilaya ya Tanganyika matatani kwa Rushwa

kinusikwetu

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
1,444
2,000
Wadau hongereni kwa kazi hii kitu imevuma Sana Leo kwa wahusika hao kuvuta 60 mil toka kwa makarani wa pamba huko Wilaya ya Tanganyika hebu wajuvi mtupe nyama inakuwaje hii kitu maana Hawa jamaa inaonekana watu wa dili na kutakuwa na chain ndefu tu ya Kula mlungula
najua humu great thinker mtapambanua, povu ruksa
 

kinusikwetu

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
1,444
2,000
IMG-20210416-WA0009.jpg
 

kinusikwetu

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
1,444
2,000
Mama ameanza vizuri Sana inji hii watu walikuwa wanavuna Rushwa kweupee....mama tuma vijana wako watiifu geti zote za TFS Katavi, Kigoma hasa pale Uvinza mjini, Kalenge, Basanza, Chagu, Kuna dili nyingi Sana na nyara za Serikali zinapitishwa mchana kweupe Tiss wapo, PCCB wapo Tena mita 100 toka getini wanajifungia tu ndani Kula upepo, Uhamiaji wapo hivi vyombo navyo havijitambui Mimi ni dereva wa roli napita Kila wiki hii Wilaya ni kichaka Cha uhalifu ndo maana hata maendeleo ni ni sifuri weka wachapa kazi panga pangua watu wasifanye kazi kwa mazoea, Tanganyika na Uvinza ni pua na mdomo wakulima na Wafugaji wanatoa Rushwa kwa lazima taarifa zikapelekwa lakini wahusika wanafumba macho nao itakuwa wachumia tumbo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom