rushwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar kuwasimamisha kazi watakaotuhumiwa kwa rushwa ili kupisha uchunguzi

    Rais wa Zanzibar amesema Kuanzia sasa kiongozi atakayetuhumiwa kwa rushwa, atamsimamisha kazi kupisha uchunguzi na uchunguzi ukikamilika na kukutwa hana hatia, atarejeshwa kazini bila kupoteza stahiki zake "Suala la maadili na usimamiaji wa haki za binadamu limepewa kipaumbele na serikali...
  2. Mbahili

    JamiiForums Tanzania Rushwa na Tanesco

    WanaJF habari za asubuhi Baada ya Serikali awamu ya tano kutoa offer ya umeme wanayodai ni sg 27,000/- maeneo mbalimbali, hawa wanaotumwa kuja unganisha huwa wanataka uwape na pesa pia, wanadai si rushwa ila ni wajibu wa kazi yao hasa Maeneo ya Arusha kabla ya kuunganishiwa umeme wamehalalisha...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Hizi bahasha wanazopewa waandishi habari baada press release ni mafuta tu au ni takrima?

    Nimefanya utafiti kuhusu namna waandishi wa habari wanavyouza weno wao kwa makundi ya watu wenye fedha na taasisi mbalimbali. Mtanisaidia kukosoa ila Hali ipo hivi kwa kifupi. 1. Kila Waandishi wahabari wanapoitwa kwenye tukio lazima uone wakisaini bahasha za kaki na waandika majina...
  4. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Aina kadhaa za rushwa,hata wanaojifanya kupinga rushwa,wanatoa rushwa

    Kuna Aina nyingi Sana za rushwa. Fedha Mapenzi Vyeo Ahadi. Tanzania tuna Rais anaepinga rushwa kwa vitendo. Je, Rais huyu ameweza kuzuia rushwa ya fedha kwa baadhi ya VIONGOZi wa kisiasa kutoka vyama vya Upinzani? Je, Rais wetu huyu kipenzi ameweza kuzuia rushwa ya vyeo kwa VIONGOZi wa...
  5. D

    JamiiForums Tanzania DED Manispaa ya Morogoro mbona Devotha Minja ulimuweza, unashindwa nini kupambana na mchwa wala rushwa za leseni za biashara?

    Maafisa biashara wanaofunga maduka ya wafanyabiashara wasio na leseni za biashara au ambaio leseni zimeisha wanachukua rushwa ya TZS 20,000. Ukishindwa wanafunga duka mpaka utakapo wapelekea wanakuja kufugua. DED fanya kazi kama Mhe. Magufuli pita Kata zote walizopita maafisa biashara wako...
  6. domokaya

    JamiiForums Tanzania Kuisafisha CHADEMA na tuhuma za 'usanii' na rushwa ya ngono, Wajumbe Kamati Kuu wajitokeze ku-declare interests

    Sintofahamu inayoendelea katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimegubikwa na sarakasi na nadharia nyingi. Moja ikiwa viongozi wa kamati kuu wanafanya usanii kwa kujidai kuwafukuza wabunge wale 19 uanachama wakati walifahamu fika mchezo mzima na walikuwa wakifahamu wale wabunge...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI yafafanua kasoro za majina ya walimu walioitwa kwenye ajira 13,000 za Magufuli

    Serikali yaanika sababu kasoro majina kwenye ajira za walimu SERIKALI imeeleza sababu zilizochangia kuwapo kwa kasoro mbalimbali kwenye majina ya ajira za walimu 13,000 zilizowekwa kwenye tovuti hivi karibu. Hali hiyo ilizua mjadala na maswali mengi katika mitandao ya kijamii, huku ikibainisha...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Rushwa imeifikisha pabaya TAMISEMI. Je, hawa viongozi wanaoiongoza wanapaswa kuwepo hapo?

    Barua ya wazi kwa sekretarieti ya ajira na TAMISEMI Ndg, Viongozi wenye dhamana inayohusiana na AJIRA hususani Ajira za ualimu Mimi kama Mtanzania wa kawaida mwenye akili timamu na ambae pia ni Mdau wa ELIMU Naiomba Ofisi yako iweze kutoa ufafanuzi kuhusu baadhi ya majina ya waajiriwa wa Kada...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Yajue Makosa ya Rushwa yaliyoainishwa katika Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, Namba 11 ya 2007

    Rushwa ni fedha au kitu chochote chenye thamani kinachotolewa na kupewa mtu mwenye madaraka juu ya jambo Fulani ili mtoaji apate upendeleo. Kwa mujibu wa Sheria ya kuzuia na kupambana na Rusha (PCCB Act) ya mwaka 2007 imeharamisha makosa kadhaa ya Rushwa na kuyataja kuwa ni makosa ya jinai...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hongereni sana TAKUKURU ( PCCB ) kwa Kuvitaja Vyuo Vikuu vya UDSM na UDOM ndiyo Vinara wa Rushwa ya Ngono

    TAKUKURU YABAINI VYUO VYA UDSM NA UDOM KUWA VINARA WA RUSHWA YA NGONO NCHINI Habari Kamili Gazeti la Nipashe la Leo ukurasa wa Pili. Nashukuru sana Chuo Kikuu changu bora na tukuka kabisa cha SAUT hakina huu Uhuni na Upuuzi na ndiyo maana kinatoa Geniuses tupu Tanzania.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Rushwa nje nje, Serikali litupie jicho hili

    Kumeibuka wimbi la matapeli Dodoma ambao wanajifanya wenyewe ni wafanyakazi wa TAMISEMI wanaitaji sh. 700,000 mpaka 1,000,000 ili mwalimu alioomba nafasi aweze kupata kazi na kupangiwa mjini au hata kijijini na baadae watamtoa huko alipo lakini cha muhimu apate kwanza. Inawezekana mtu au...
  12. Replica

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai aumizwa na chama cha siasa kutoleta Wabunge wa Viti Maalum, adai zingekuwa nafasi za wanaume wangelishafika

    Mapema leo spika Bunge, Job Ndugai alizielezea kamati za bunge na kusema wataziunda bunge lijalo kwa sababu serikali itakuwa imeshatengenezwa, pia akaongelea vyama ambavyo bado havijaleta wabunge japo wana fursa hizo hasa wabunge wa viti maalum ambapo makundi yaliyo bado ni matatu, mengine...
  13. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU kuwashitaki watu 4 kwa Rushwa na Uhujumu Uchumi, watatu ni waliokuwa wafanyakazi wa Bandari (TPA) pamoja na mfanyabiashara 1

    Watuhumiwa watatu ambao walikuwa wafanyakazi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA) tayari wamefukuzwa kazi Mtu wa nne ni mfanyabiashara na Mkurugenzi wa kampuni M/S Ntinyako Company Ltd. Iliyokuwa ikipewa zabuni ya usambazaji wa vifaa vya ujenzi na miundombinu ya maji katika Bandari ya...
  14. Shadida Salum

    JamiiForums Tanzania Rushwa ya ngono ni nini?

    Kwa mujibu wa kifungu cha 25 cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ya mwaka 2007(PCCB Act, 2007); Rushwa ya ngono ni pale ambapo mtu aliye katika mamlaka na katika kutekeleza mamlaka yake akitaka au akiweka upendeleo wa ngono kama kigezo cha kutoa ajira, cheo, haki, au huduma ya upendeleo...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Je, una taarifa zozote za Rushwa?

    Je, una taarifa zozote za Rushwa? Iwapo utakutana na tukio la Rushwa mwananchi una wajibu wa kuwasilisha taarifa za tukio hilo katika mamlaka inayohusika na kuzuia na kupambana na Rushwa TAKUKURU. Wasiliana na wakuu wa mamlaka hiyo kupitia namba zifuatazo; 1.Arusha…………………0738 150 063...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Ni lini Lissu aliongoza mapambano dhidi ya rushwa?

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ninaomba kwa wafuatiliaji wa mambo watuwekee hapa rekodi ya matukio ya mgombea wetu Tundu Lissu akiongoza vita dhidi ya rushwa na wala rushwa hapa nchini iwe ni ndani ya chama chake au Serikalini. Lengo ni kutaka kutuondoa wasiwasi sisi wapiga kura kwamba...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Utafiti rushwa ya ngono wa TAKUKURU haukufanyika kisayansi

    Mimi ni mmojawapo wa watu waliosoma kwa undani taarifa ya Utafiti (si uchunguzi) ya Rushwa ya Ngono katika vyuo vikuu vya Dar es Salaam na Dodoma iliyotolewa na TAKUKURU. Ni jambo la kufurahisha kuona taasisi za serikali zinajua umuhimu wa kufanya tafiti ili kufikia malengo yake. Hivyo huu ni...
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU waonesha Rushwa ya ngono ilivyokithiri vyuoni

    MBINU inayoongoza kutumiwa na baadhi ya wahadhiri, kushawishi wanafunzi wa vyuo vikuu watoe rushwa ya ngono ni tishio la kuwapa alama za chini kwenye mitihani, imefahamika. Mbinu nyingine wanayotumia wahadhiri hao ni kujiunga kundi moja la whatsapp na wanafunzi na wahadhiri; na vitisho...
  19. Securelens

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ni Jemedari kweli wa Vita ya Ufisadi na Rushwa-Jua fedha, majengo, na vitu vingine kibao vilivyorejeshwa Serikalini. Big up JPM

    Moja ya kazi nzuri aliyofanya Mheshimiwa Rais Magufuli ni kupiga vita ufisadi na rushwa kwa vitendo. Mashauri makubwa ya ufisadi 407 yamepelekwa mahakama ya mafisadi na mashauri 385 yamesikilizwa. Aidha kupitia Takukuru mashauri 2,256 yalifunguliwa ambapo mashauri 1,926 tayari yametolewa uamuzi...
Back
Top Bottom