rushwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Kati ya Rushwa hizi mbili, Rushwa ipi ni mbaya zaidi

    1) Mtu ana Mali yake mbovu, na anajua kwamba ni mbovu, anahonga ili itoke haraka. 2) Mtu ana Mali yake safi kabisa, na anajua kwamba ni safi kabisa, anahonga ili itoke haraka.
  2. X_INTELLIGENCE

    JamiiForums Tanzania Ofa ya kiwanja kwa atakayenisaidia kujiunga na Polisi

    kwa mara nyingine nakuja kwenu ndugu zangu, ndugu yenu nimehangaika sana kutafuta nafasi kwenye majeshi yetu bila mafanikio, kiukweli nina nia ya dhati kabisa ya kulitumikia taifa letu, nimehangaika kutafuta nafasi jkt miaka 8 mfululizo bila mafanikio, nimehangaika kutafuta nafasi za polisi...
  3. Ndokeji

    JamiiForums Tanzania Nchi imeanza kurudi nyuma kwa kasi ya ajabu, bila rushwa TANESCO hawafungi umeme

    Nimekuwa nikiripoti Mara nyingi jinsi nchi yetu inavyokwenda kwa sasa tumeanza kurudi nyuma , Huduma zimekuwa mbovu ukiende kwenye ofisi kupata huduma customer care mbaya wahudumu wanakujibu ovyo. Mfano Mzuri ni shirika letu la Tanesco Maeneo Mengi watu wanalalamika, likiwemo eneo letu...
  4. Kamamaa

    JamiiForums Tanzania SoC01 Jamii ya wala rushwa ndio inatengeneza viongozi wala rushwa

    Rushwa. Kila mmoja anapozungumza huona huonekana kama kitu kilichopo mbali sana naye. Mara nyingi inapozungumzwa rushwa inawahusu vigogo au watu walio na nyadhifa katika taasisi mbalimbali. Inawezekana kuwa sahihi lakini ukweli ni kwamba asilimia kubwa ya wanajamii ndio wanaotengeneza viongozi...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Achukua rushwa ili Mwanafunzi asiende Shule

    DODOMA - JULAI 19, 2021 TAARIFA KWA UMMA KUPITIA VYOMBO VYA HABARI ACHUKUA RUSHWA ILI MWANAFUNZI ASIENDE SHULE Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Dodoma leo Julai 19, 2021 inatarajia kumfikisha katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma Bw. Maliselo Kapampa Saveli (29) na...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Chato: Wauguzi wahamishwa kituo madai kuomba wagonjwa rushwa 90,000/-

    WAUGUZI wawili wa Kituo cha Afya cha Bwanga wilayani Chato mkoa wa Geita, wamehamishwa, kwa kutuhumiwa kuomba Sh. 90,000 kwa wagonjwa waliokuwa wamelazwa. Wanadaiwa kuomba fedha hizo kwa wagonjwa ili kuitumia kama nauli kwenda kufuata damu katika vituo vingine vya afya kutokana na kituo...
  7. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Tunataka kurudishwa Misri tulipolishwa makombo na mifupa huku nyama ikiliwa na wachache

    Mtume Musa baada ya kuwatoa waisraeli Misri aliua sana. Mungu pia aliua sana, alifikia hatua akataka kuwaua Waisraeli wote akamwahidi Musa akisema nami nitakufanya wewe Taifa kubwa na lenye nguvu kuliko wao. Kwanini? Kwasababu walikuwako "hardliners" na waliobobea waliokuwa wakifaidi makombo ya...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Rais wa zamani wa Mauritania ahukumiwa kwenda jela kwa rushwa

    Rais wa zamani wa Mauritania, Mohamed Ould Abdel Aziz, amehukumiwa kifungo cha jela na jaji anayehusika na uchunguzi wa rushwa. Rais huyo alikuwa chini ya kifungo cha nyumbani katika siku za nyuma. Aziz ambaye aliongoza taifa hilo la kaskazini magharibi ya Afrika kuanzia mwaka 2008 mpaka 2019...
  9. beth

    JamiiForums Tanzania Katibu Baraza la Kata jela miaka mitatu kwa rushwa

    Mahakama ya wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu imemhukumu Katibu wa Baraza la Kata ya Binza wilayani humo, Daud Willison Elias kwenda jela miaka mitatu au kulipa faini ya Sh 500,000 baada ya kupatikana na hatia ya kuomba rushwa ya Sh 50,000. Hukumu hiyo ilitolewa Jana na Hakimu Mfawidhi wa Mahakama...
  10. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Rushwa ni halali Tanzania? Askari wa barabarani wanachukua rushwa bila kificho wala hofu

    Habari wanakamati? Naomba kuuliza kaswali kadogo tu. Hivi nchi hii ya Tanzania rushwa si kosa tena? Polisi kwenye vituo vyao wako busy kuchukua rushwa bila haya. Barabarani pia wanachukua rushwa kwa bodaboda, watu wa bajaji na daladala kweupe. Ukitaka kuhakikisha haya panda daladala ujionee...
  11. aka2030

    JamiiForums Tanzania TBS bila rushwa gari lako halitoki bandarini

    Viongozi husika mtazame hili sula sasa imekuwa too much ukiagiza gari kwenye ukaguzi bandarini TBS lazima waandike dosari eti ukarekebishe ndio wakupe kibali lakini hata urekebishe vipi bado watakosoa Hawa watu wameanzisha kamfumo hako lengo uwape rushwa tu na rushwa wanajia nyingi za kupokea...
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Rushwa, ufisadi na wizi wa mali za umma Tanzania hautakoma mpaka pale Serikali itakapoamua rasmi nchi hii iendeshwe Kijamaa

    Habari waungwana! Kwa mujibu wa katiba yetu Tanzania ni nchi ya kijamaa. Ukisoma sura ya kwanza utaliona hili. Ila misingi ya ujamaa ni kuwa mbali na rushwa, ufisadi na wizi wa mali za umma jambo ambalo tuko kinyume nalo. Wizi upo Ufisadi upo Rushwa ipo na Unyonyaji upo. Unyonyaji ndio baba wa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Bunge/Waziri Mkuu: Limulikwe genge la kifisadi, rushwa linalojiita ni kamatakamata ya magari jijini Dar kwa visingizio vya kudhibiti uhalifu barabara

    Waheshimiwa wawakilishi, viongozi wa taifa, hoja hii inafikishwa kwenu kwa kile kinachoonekana kuwa hakina mfuatiliaji jijini Dar. Hiki ni ile kero inayowasibu madreva wa magali binafsi inayosababishwa na genge la kamatakamata ya magari barabara za mitaa ya jiji. Hili genge huibuka na kupotea...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wafanyabiashara mkoa wa Arusha dhidi ya Mtumishi wa TRA anayekula rushwa wazi

    Wanabodi salaam Hii ni barua ya wafanyabiashara mkoa wa Arusha wakilalamika bwana mmoja, huyu jamaa bado yupo enzi zile za pontio plato za kutishia watu ili ajipatie fedha, anakufanyia upepelezi feki ili iwe rahisi kukufanya utoe fedha Taarifa za uhakika huyu bwana ana ukwasi mkubwa na...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ajira za Walimu: Kigezo cha kujitolea ni kichaka cha rushwa, upendeleo na udanganyifu. Rais Samia kimulike

    Kumekuwa na upendeleo wa dhahiri katika ajira za ualimu kwa siku za hivi karibuni. Utakuta imetangazwa ajira ya waalimu wa hesabu na fizikia lakini majina yakitoka unakuta wa Biology wamo! Utakuta imetangazwa waalimu wanaotakiwa ni wale waliomaliza masomo mwisho 2017, lakini unakuta waliomaliza...
  16. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania CCM na Rushwa ni Samaki na maji

    UKIMKUTA MAMBA NCHI KAVU NI KWA AJILI YA KUOTA JUA NA KUTAGA MAYAI LAKINI ASILI YA MAISHA YAKE NA MAWINDO NI MAJINI: Ndugu Wana CCM na Watanzania, Wahenga wa kale walisema, Sikio la kufa huwa halisikii dawa, ni swala la muda tu, na ukitaka kujua ugumu wa kuvunja ndoa ya wana ndoa walioishi...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Dalili za Rushwa: Magari binafsi ya Traffic yanapotumika kukamata magari

    Ni kawaida siku hizi kuona askari wa usalama barabarani wakiwa na magari yao wemeyaweka vichakani wakisimamia sheria za barabarani au wakifanya kazi ya kukamatakamata. Magari haya unaweza kuyakuta mbali tena yakiwa nje ya mji. Swali la kujiuliza. Nani anaweka mafuta haya magari kuyawezesha...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Exclusive: Wachezaji Wawili Waandamizi wa Mtibwa Sugar FC na Dodoma Jiji FC wanithibitishia kuwa 100% Ligi Kuu ya Tanzania inanuka Rushwa

    Namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kuweza kunifanya GENTAMYCINE niwe najua Kujichanganya na kila aina ya Watu, Kukubalika na kujenga nao Urafiki hivyo kusaidia Kazi yangu ya 'Kufukunyuwa' Mambo kuwa rahisi. Wadau wa Soka ( Mpira ) tukiwa tunasema kuwa kuna Rushwa Kubwa inayopelekea Timu Shiriki...
  19. T

    JamiiForums Tanzania TARURA Arusha (Wrong Parking) Wala Rushwa

    Hawa jamaa wakikukamata kwa kosa la kupaki gari vibaya (wrong parking) ukienda kulipa ofisini kwao (zilipo ofisi za TEMESA/UJENZI), wanaomba rushwa waziwazi bila kificho wala aibu. Dau lao ni 30k (faini ni 50k). Mpokeaji ni mama mmoja anaye-register magari yanayoingia kwao.
  20. K

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya za walimu: Rushwa imetawala ili upate kazi

    Kwa sasa kama huna connection hizi ajira mpya za walimu utazisikia hewani tu Watu wamekuwa wazi kabisa, toa milion mbili upate kazi Hii haikubaliki, watanzania wamejazana online kuapply kumbe wengine wamepeleka application mkononi Viongozi wanaohusika na hili je hawaoni rushwa hii ya...
Back
Top Bottom