DIWANI wa Kata ya Kijichi halmashauri ya Manispaa wa Temeke kutoka Chama cha Mapinduzi (CCM), Elias Mtarawanje (29), amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Temeke akikabiliwa na mashtaka mawili likiwamo la kupokea rushwa ya Sh. Milioni moja kutoka kwa Yusuf Omary.
Diwani huyo amefikishwa...
Mahakama ya Wilaya ya Kongwa, imemhukumu Ofisa Tabibu wa wilaya hiyo, Martine Ndahani, kifungo cha miaka sita jela baada ya kupatikana na hatia ya kumshawishi mwananchi ampe rushwa ya Sh. 100,000 ili mgonjwa wake aongezwe damu.
Hukumu hiyo ilitolewa jana na Hakimu Mfawidhi wa Wilaya hiyo...
Jumapili ya leo najaribu kuvirejea viapo mbalimbali nilivyowahi kuapa na ahadi mbalimbali nilizoahidi kuzitekeleza.
Miongoni mwa hizo ni ahadi nilizoahidi wakati napokea kadi yangu ya uanachama wa CCM kutoka kwa mwalimu JK Nyerere katika Uwanja wa Samora mjini Iringa.
Hizi ahadi zimekaa vizuri...
Habarini za huku.
Leo nimeona niandike jinsi gani watumishi wa mamlaka ya mapato TRA kitengo cha ukusanyaji mapato wa uwanja wa ndege airport jinsi wanavotumia vyeo vyao vibaya kujipatia hela kwa njia kandamizi na kwa kuomba rushwa nje nje.
Wafanyabiashara hupendelea kupanda Ethiopian...
UNAJUA MADHARA YA KIUCHUMI YA KUWEKEZA NJE YA NCHI?
Nchi za kiafrika zimelalamikiwa mara kwa mara kujihusisha na rushwa na kutumia fedha hizo kuwekeza kwenye makampuni au benki zilizoko nje ya nchi
Rushwa, ipo kila sehemu duniani. Kuna uwezekano mkubwa rushwa kuwa nyingi katika nchi...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na ambayo Mheshimiwa Magufuli hajajulishwa ni kampuni isiyo rasmi inayomilikiwa na mtu mmoja, kutoka Dodoma mwenye mke kutoka Kigoma akishirikiana na watu wa UDART-wachache kuingiza omba omba vituoni ili kuomba na mapato hayo hugawana wahusika.
Sasa ukifika...
"Mmoja amlima barua mwenzake ili makao makuu waingilie kati" barua imeambatanishwa.
Hali inazidi kuwa tete Wilaya ya Bunda baada ya Viongozi wa CCM wilaya kushutumiana kula rushwa za Mtia Nia Zury Nanji maarufu kama Mwanza Huduma.
Viongozi hao wamefikia hatua mbaya ya kushutumiana na kuomba...
Kuna kiongozi wa CHADEMA amewahi kusema bungeni juu ya mwenendo wa kushughulikia mambo ya wizara ya uvuvi kwa operations. Pamoja na waziri Mpina kuitetea wizara yake, kumbukumbu yangu inaonesha hakuna operation ambayo imewahi kufanikiwa bila matatizo kwa wananchi, bahati mbaya wanaoendesha...
Kusema kweli mimi mkiristu kisa cha Ramadhani Ntunzwe kimenisikitisha
Mwenye MB zako nisimwage chumvi Ona hapa[emoji116][emoji116][emoji116]
Hii issue ikianza hivi natoa pongezi kwa Ramadhani kwa uvumilivu
VIDEO: Hivi ndivyo mfanyabiashara aliyetajwa na Magufuli
Baadae ikafuata hii mpaka...
TAARIFA KWA UMMA KUPITIA VYOMBO WA HABARI
IMETOLEWA JIJINI DAR ES SALAAM
MACHI 20, 2020
WATUMISHI WAWILI WA TAKUKURU
WASIMAMISHWA KAZI KUPISHA UCHUNGUZI.
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa — TAKUKURU inapenda kuufahamisha umma kwamba, watumishi wake wawili akiwemo Mkuu wa TAKUKURU Mkoa...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Kitengo cha Kupambana na Rushwa ya Ngono, imesema imejipanga kuanza kutoa elimu mtaa kwa mtaa ili kuhakikisha inawafikia watu wa rika zote.
Mkurugenzi wa Idara hiyo, Janeth Mawinza, aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam alipofungua kikao...
Jana mida ya saa sita mchana ofisini kwa Kamishna mkuu wa TRA alipokea taarifa kutoka kwa watumishi mwenzake sio wa mamlaka ila mtumishi wa umma akimueleza kwamba kuna wateja walitaka kumuona, wana maswala yao ya kikodi wakidai kwamba wamewakadiria kodi kubwa kuliko wanavyopaswa kulipa kwa hiyo...
Arusha. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Arusha imewakamata askari watano akiwamo mmoja wa Uhamiaji kwa tuhuma za kuomba na kupokea rushwa.
Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Arusha, Frida Wikesi akizungumza na Mwananchi leo Februari 11, 2020 ofisini kwake amesema polisi hao...
CCM imetoa onyo kwa wagombea wake wote wa uchaguzi mkuu kwamba yoyote atakayepatikana akitoa rushwa atafungiwa maisha yake yote kushiriki uchaguzi kupitia chama hicho.
Hii ni hatua muhimu sana katika kudhibiti wale wote wenye nia ya kununua nafasi za uongozi.
Source Mtanzania Jumapili
Kama ilivyoripotiwa na mkuu wa Wilaya ya Hai, Ole Sabaya kuwahusisha wafanyabiashara wa mabasi siku chache zilizopita, uchunguzi umebainisha taarifa za Mkuu wa Wilaya hazikuwa na Ukweli.
My take ; Ole Sabaya unapaswa kuomba msamaha na kuwalipa faini uliowatuhumu
Chanzo: ITV
Pia soma > Hai...
Poleni kwa ukimya wa siku kadhaa, tulikuwa na majadiliano na wanasherua kadhaa kupata ushauri wa namna ya kuwa salama iwapo tutaamua kuweka ushahidi ambao unaweza kuambatana na ku-reveal identity. Tuko pazuri! Niwashukuru sana wanajamvi wanaozidi kutuma salamu za pole na wengine kutuma evidence...
TAARIFA KWA UMMA KUPITIA VYOMBO VYA HABARI
IMETOLEWA JIJINI DAR ES SALAAM
JANUARI 22, 2020
TAKUKURU YAFANYIA KAZI RIPOTI YA UKAGUZI WA VYAMA VYA USHIRIKA: YABAINI KASORO NA KUFANIKIWA KUREJESHA FEDHA JUMLA YA SHILINGI BILIONI 4 KUTOKA KWA WATUHUMIWA
Ndugu Waandishi wa Habari,
Awali ya yote...
Kwa majibu wa China Global Television Network (CGTN )mwaka 2020 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Johnn Pombe Magufuli anaonekana ni Rais wa pekee sana na ni miongoni mwa Maraisi Watano bora (5) Afrika kutokana na njia yake ya pekee ya kuleta mageuzi katika Nchi yake. Mambo hayo 10 ni...
Katika hali ya kushangaza Tabibu Msaidizi Eliud Humbo anashikiliwa na Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) baada ya kufanya upasuaji asio na ujuzi nao
Humbo ambaye andaiwa kumfanyia Upasuaji wa ngili mgonjwa mmoja ambaye alipewa rufaa ya kwenda hospitali ya mkoa
Mkuu wa Mamlaka...
Tulisema tangu awali kwamba huyu mama anatumwa na ngazi za juu kuna waliotubishia, sasa mambo ni hadharani.
Amekusanya aliowaita wazee wanaoishi kwenye mazingira magumu kwenye ukumbi wa Royal Tughimbe eti kwa lengo la kuwalipia bima ya afya! Alikuwa wapi miaka yote kufanya haya? Anagawa rushwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.