Habari!
•Trafiki wanachukua pesa mchana kweeupe kwenye madaladala na Bajaji.
• polisi wa doria za pikipiki (tigo) nao wanachukua rushwa mchana kweeupe bila woga kutoka kwa bodaboda.
•Mahakamani nako rushwa iko waziwazi.
•Ofisi za halmashauri rushwa nje nje. Nenda pale depo ya Jiji karibu na...
Hakuna kitu kinakera kama kila saa na kila siku unakamatwa na traffic hata kama huna kosa watakutafutia visababu.
Hawa jamaa ni watu wa hovyo sana, ndo maana huishia kufa masikini, kinachowatesa ni njaa zao, wivu na roho mbaya dhidi ya wenye magari, kwani kuna mtu aliwatuma wafanye kazi za...
Wakuu kila siku nacheki pm yangu member nakuta massage na ujumbe watu kuomba niwapigie kura mm bila mm kusoma hata Uzi wake je hi si rushwa tu Kama rishwa zingine Kama mtu unajiamini na unauhakika na bandiko lako ya nn upitepite humu kuomba kupigiwa kura .
Mm huwa sipigi kura bila chochote kitu...
Haya nitakayoandika hapa natamani yafike mezani kwako kupitia jukwaa hili au nitaandika kwa kirefu na kukufikishia ofisini kwako na lengo la kufanya hivi ni zuri kabisa natumaini litapokelewa kwa mikono miwili.
Awali ya yote napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kulijalia...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi imetoa hukumu katika Shauri la Jinai Na. CC. 72/2021 dhidi ya Florence Noel Malilo (Kaimu Afisa Mtendaji Kijiji cha Mapili, Halmashauri ya Wilaya Mlele).
Mshtakiwa alishtakiwa kwa makosa ya kuomba na kupokea rushwa ya shs. 200,000...
Ukiangalia mtandao wa TAKUKURU kuna njia nyingi za mawasiliano ambazo wanazitaja kama njia mojawapo ya kutoa taarifa za siri kuhusiana na rushwa/ufisadi. Tumefanya majaribio tukiwa watu watatu kwa kuwapa taarifa tofauti nne; tatu zikieleza matatizo ya rushwa ktk idara za serikali na moja ndani...
Taarifa ya Ikulu imethibitisha kuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amekubali barua ya kujiuzulu kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi (ZAECA), Ahmed Khamis Makarani.
Hatua inakuja kufuatia maelekezo ya Rais Mwinyi...
Afisa Ardhi Msaidizi wa Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda, Japhet Noberth MweziMpya, amehukumiwa kwenda jela miaka 2 au kulipa faini ya TSH.200,000 kwa tuhuma za kuomba na kupokea rushwa ya TSH. 70,000
Katika Hukumu hiyo ya shauri la jinai Na. CC. 90/2022 iliyotolewa Agosti 30, 2022 na Hakimu...
TAKUKURU mkoa wa Katavi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa, Agosti 24, 2022 imefungua shauri la jinai Na. CC. 95/2022 dhidi ya Elisha Christopher Mashamba ambaye ni muongoza watalii katika hifadhi ya misitu ya Tongwe East - Nkondwe Waterfalls Camp.
Ameshitakiwa kwa makosa ya kuomba na...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) inawachunguza Mtendaji wa Kata ya Sinde, Hawa Kajula na Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Mlimani, Baita Sanga kwa tuhuma za kupokea rushwa kutoka kwa watahiniwa wa usahili wa kazi ya sensa ya watu na makazi
Mkuu wa TAKUKURU Mkoani humo, Maghela...
Kuna Wimbi kubwa sana la Vijana mtaani wanaomaliza masomo yao katika Ngazi mbalimbali za Elimu lakini vijana hao wapo mtaani wakihaha na Kuwaza ni lini watapata Ajira Rasmi, Ilhali wapo Vijana ambao walichukua Uamuzi wa Kujiongeza na kuthubutu kujiajiri kutokana na kile walichokipata wakati...
Haruyuki Takahashi ambaye ni Mjumbe wa Bodi ya Michezo ya Olimpiki ya Tokyo nchini Japan pamoja na watu wengine watatu wamekamatwa leo kwa tuhuma za kuchukua #Rushwa Tsh. Milioni 886.1.
Waendesha Mashtaka wamedai kiongozi huyo na wenzake walipokea pesa hizo kutoka kwa muuzaji wa nguo za...
Makao Makuu ya CCM - DODOMA,
Tunaomba mfuatilie suala hili kwa sababu linawaumiza wagombea wengi sana katika mkoa wa Ruvuma katika uchaguzi unaofanyika wa CCM.
Mfano wa wazi:
Kuna idadi ya watu waliojitokeza kugombea nafasi ya mwenyekiti wa ccm mkoa wa ruvuma na miongoni mwao yupo anayemaliza...
Habari za huko?
Kuna hii kauli naisikia toka zamani Sana kwamba kuwaongezea watumishi mishahara au motisha Basi kunapunguza tamaa za wao kufanya ufisadi.
Hebu tuchukulie kwa mfano kada Kama za udkatari au uaskari let's say mfanyakazi analipwa Million moja kwa mwezi na kila siku ana force apate...
Habari,
Nitatoa mifano angalau 3 kuthibitisha hoja katika title ya uzi wangu.
Mfano # 1
Diwani analipwa pesa ndogo, ilikuwa chini ya laki 4 labda kama mabadiliko yamefanyika majuzi. Huyo diwani anazidiwa mshahara na watumishi karibu wote katika kata yake, atakuwa na uzalendo kweli? Huyo diwani...
Habari wadau,
Huku mafunzo ya sensa yakiendelea katika wilaya ya Chemba kuna mchezo mchafu unafanyika hasa kwa wakufunzi walio katika kada ya elimu(Maafisa elimu kata) kwani walichokifanya ni kuwapa walimu wakuu USIMAMIZI WA MAUDHUI ikiwa hawakuomba kazi hiyo mtandaoni. Mfano mzuri ni kituo cha...
99.9999% ya wote walioshinda, wameshindwa kwa nguvu kubwa ya rushwa(kuhonga) kwa wajumbe na siyo nguvu ya kura za wajumbe makini.
Rais Mstaafu Kikwete ameteuliwa na Jumuiya ya Afrika Mashariki kuwa kiongozi wa uangalizi wa uchaguzi mkuu nchini Kenya na huku nyumbani mimi GENTAMYCINE niliamua...
Kwa mujibu wa Toleo la 10 la Global Corruption Barometer (GCB) – Africa, watu wengi barani humo wanaona Rushwa imeongezeka katika Nchi zao
Vilevile, idadi kubwa ya Wananchi katika Mataifa mbalimbali Afrika wanaona jitihada za kupambana na tatizo hilo bado haziridhishi
Ili kukabiliana na...
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema rushwa imekithiri na kuota mizizi katika Taasisi ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu Muhimbili (MOI) kiasi cha madaktari kuombana rushwa wenyewe kwa wenyewe.
Ummy aliyasema hayo juzi, alipozindua bodi mpya ya wadhamini wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.