Cunch
Senior Member
- Apr 19, 2014
- 162
- 142
Habari wadau,
Huku mafunzo ya sensa yakiendelea katika wilaya ya Chemba kuna mchezo mchafu unafanyika hasa kwa wakufunzi walio katika kada ya elimu(Maafisa elimu kata) kwani walichokifanya ni kuwapa walimu wakuu USIMAMIZI WA MAUDHUI ikiwa hawakuomba kazi hiyo mtandaoni. Mfano mzuri ni kituo cha FARKWA.
Uhusika wa walimu wakuu hawa ilikuwa ni WASAILI tu na kuikweli wamekuwa wakileta shida katika kuelewa matumizi ya Application ya sensa kwenye mafunzo kutokana na uelewa mdogo.
Wameingizwa kwenye semima na sasa wamepewa USIMAMIZI WA MAUDHUI na wahusika WALIOOMBA nafasi hiyo kuachwa kama makarani.
Pia katika suala la mitihani wakuu hawa wamekuwa wakitoa rushwa kwa wakufunzi na kukesha kwenye makazi ya wakufunzi wakipewa majibu ya mtihani na kuelekezwa namna ya kujibu maswali ya kujaza dodoso la sensa na inajulikana wazi.
Hii inaonesha ni jinsi gani wakufunzi wanavyotumia madaraka yao vibaya.
MAMA ANNA MAKINDA NA WAHUSIKA WENGINE LIANGALIENI HILI MAANA RUSHWA IMEKITHILI KATIKA MAFUNZO HAYA.