Chama changu pendwa cha Mapinduzi tunaumia sana kuona Rushwa inatawala kwenye chaguzi ndogo hizi Alafu na vyombo vya Usalama vinasema ni mambo yetu ya ndani yaachwe? Inaondoa kuaminika Kwa watu!
Acheni kutumia Rushwa kupitisha wagombea maana haina afya Kwa Taifa maana CCM ndo Chama tawala...
Nimeshuhudia pale KKKT Azania Front na Anglican church St Albans Jumatatu hadi Ijumaa Watumishi wa Serikal wanajaza Kanisa Asubuhi, Mchana na Jioni.
Hali hii nilizoea kuiona kwa wale Islam wanaoswali Swala 5 lakini sasa Wakristo ndio wanaongoza kwenda Ibadani
Hasa Wagalatia wa TRA, RITA na...
Hatua hiyo imefikiwa baada ya kudaiwa aliomba rushwa kwa mwekezaji wa madini ya dhahabu ili amtengenezee njia ya kufanikiwa.
Aidha, Rais wa Ghana, Nana Akufo-Addo amempeleka kiongozi huyo, Charles Adu Boahen kwa waendesha mashtaka ili kukabiliana na tuhuma hizo.
Inadaiwa Boahen aliomba Dola...
Ndugu wanabodi huwa nakerwa sana na hii tabia ya askari wa usalama barabarani kuchukuana na kondakta au dereva wa gari na kuenda kumalizana nyuma ya gari.
Utamaduni huu unafuga rushwa na kupelekea zoezi la ukaguzi wa magari kufanywa kisanii tu.
Naiomba serikali ipitishe Sheria mahojiano kati ya...
Askari wa Kiteto Koplo Ismail Ally Juma amepongezwa na kupewa cheti kwa kitendo chake cha kukataa shilingi milioni 5 kutoka kwa mtu mmoja aliyekuwa anasafirisha wahamiaji harama 11 wakitokea Ethiopia kuelekea Afrika ya kusini.
Koplo Ismail ni miongoni mwa askari 13 waliopongezwa na Kamanda wa...
Mbunge wa viti Maalum Grace Tendega aihoji serikali kujiondoa kwenye mpango wa uendeshaji kwa uwazi shughuli za serikali akisema jambo hilo lilikuwa ni silaha muhimu katika kupambana na rushwa.
Ripoti zimekuwa zikionyesha vitendo vya rushwa kuongezeka na ripoti ya CAG kutofanyiwa kazi kwa...
Ingekuwa ni amri yangu; huyu Afisa Elimu Taaluma (W) Magu angeondolewa mara moja kwa sababu ni mla rushwa aliyekithiri na ayependelea waalimu wa kabila lake (Wajita).
Amekula fedha kwa walimu wengi sana aliowaahidi kuwapa ualimu mkuu (hao nao wanastahili kushughulikiwa kwa sababu kutoa rushwa...
Sio kusema ni wote lakini hawa wanaofanya haya matukio ndio wanasababisha tuwaweke wote kwenye chungu kimoja.
Leo hii tu kuna kijana mwanafunzi wa chuo cha Saut huko Mwanza katoa ushahidi jinsi alivyopasuliwa korodani na Polisi waliokuwa wamelewa na kumpiga marungu ya kwenye korodani mpaka...
Rais Samia akipokea ripoti ya kikosi kazi ya wadau wa demokrasia ya vyama vingi amesema rushwa katika vyama vya siasa ni tabia.
Ametolea mfano baadhi ya vyama kuwalaza watu kwenye maeneo mazuri ili kupata kura za wajumbe.
Amesema kazi ya kupambana na rushwa ni ya kila mmoja na rushwa ipo...
Padre Dkt. Charles Kitima amesema nchi inahitaji kuweka wazi ripoti za mapato na kazi inazozifanya zinazogusa maisha ya watu ili kuwezesha wananchi kupima na kuiwajibisha Serikali na si wabadhirifu pekee.
Pia, Katibu Mkuu huyo wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania ameeleza kuwa wananchi...
CountCapone
Kabla ya mwaka 1961 hakukuwahi kuwa na nchi inayoitwa Tanzania kwenye ramani
1-1885 Ardhi ya Tanzania haikua na dola moja inayotawala bali jamii nyingi zilizogawanyika
1885-1919 Deutsch-Ostafrika (Afrika Mashariki ya Ujerumani
1919-1960 British East Africa Protectorate...
Rais wa Nigeria, Muhammadu Buhari anasema ni kwa sababu hiyo matukio hayo sasa yanachukuliwa kuwa sehemu ya ufisadi.
Amesema anaelewa wanafunzi wanapitia changamoto nyingi vyuoni akitaja baadhi ni kutakiwa kutoa fedha na rushwa ya ngono licha ya kuwa hakutaja takwimu za matukio hayo.
Ameweka...
Nimehojiana na dereva alivyokuwa anatoa rushwa kwa trafiki na kumshukuru Kinana kupunguza trafiki barabarani.
Unatoka Tanga kwenda Lushoto. Unatoa rushwa as follows
1. Ukitoka Tanga stend ya zamani kabla ya kufika Kange stend unatoa 2,000
2. Kange stend kabla ya kuanza safari ya L:ushotondoka...
Chama kilicho safi huwa kinakuwa na taswira nzuri kwenye jamii. Na huwa kinakuwa ndio kielelezo cha namna gani viongozi wanapaswa kupatikana na namna viongozi safi wanatakiwa kuwa.
Sasa kama Chama tawala kwenye chaguzi zake viongozi wanapatikana kwa rushwa. Vipi kwenye uchaguzi mkuu?
Nina mengi nimeyatafakari Kwa kina, sana ndani ya Juma Ili nikaona,nisubili lifike mwisho naweza kufa na vihoro moyoni mwangu, Bora nife na dhambi kuliko vihoro maana dhambi ntahojiwa Na muumba!
Suala la polisi kuua Kwanza Panya Road linafikilisha sana kimsingi vijana wa Rika dogo wameuawa na...
Sasa chaguzi zinafutwa hovyo
=====
Chama cha Mapinduzi (CCM), kimefuta chaguzi tano za Umoja wa Vijana wa chama hicho (UVCCM) kutokana na kukiuka Katiba, Kanuni na taratibu za uchaguzi.
Hayo yamesemwa leo Jumanne Septemba 27, 2022 na Katibu wa Halimashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi...
Aliyekuwa Waziri wa Sheria wa China, Fu Zhenghua amehukumiwa kifo baada ya kupatikana na hatia ya kupokea rushwa ya zaidi ya TZS Bilioni 72 akiwa mtumishi wa umma.
Hukumu hiyo yaweza kutekelezwa ndani ya miaka miwili au kuwa kifungo cha maisha baada ya miaka miwili kumalizika.
Pamoja na hukumu...
Ndugu zangu, Kuna mambo ya ajabu yanafanyika kwenye ajira za vibarua katika viwanda vya METL chini ya MO DEWJI. Kuna wanaojiita supervisors wa viwanda na wahusika wa kuajiri wafanyakazi na vibarua wamekuwa na utaratibu kuchukua rushwa ya Tsh. 50,000 hadi 100,000 kwa kila anayetaka kazi.
Kuna...
JESHI la Polisi nchini limesema video fupi inayoonekana ikisambaa katika mitandao ya kijamii ikimuonesha askari polisi akichukua fedha kwa raia wa kigeni, tayari ilishughulikiwa na askari huyo amefukuzwa kazi.
Akitoa ufafanuzi huo leo Septemba 14, 2022, Msemaji wa Jeshi la Polisi, Kamishina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.