rushwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. beth

    JamiiForums Tanzania Mapambano dhidi ya Rushwa Afrika: Fedha zinazolenga kukabiliana na athari za COVID-19 zinawanufaisha Wananchi?

    Julai 11 ilipitishwa na Umoja wa Afrika (AU) kuwa Siku ya Mapambano dhidi ya Rushwa Barani humo. Kwa mwaka 2022, Maadhimisho yanafanyika Zanzibar leo Julai 12 yakiwa na Kaulimbiu "Mikakati na Mifumo ya Wazi ya Usimamizi ya Fedha za UVIKO-19" Tangu kuanza kwa janga la COVID19 kumekuwa na taarifa...
  2. beth

    JamiiForums Tanzania Katavi: Idara ya TAMISEMI yalalamikiwa zaidi na Wananchi TAKUKURU

    Malalamiko 57 ya Rushwa yalifikishwa TAKUKURU Mkoani humo kati ya Januari - Machi 2022. Aidha, katika kipindi hicho Malalamiko mengine 4 ambayo hayakuhusisha Rushwa yalipokelewa Uchunguzi wa Majalada 55 bado unaendelea, na Majalada mengine mawili Uchunguzi wake ulikamilika na Watuhumiwa...
  3. beth

    JamiiForums Tanzania Unazungumziaje Hali ya Rushwa Wilayani Temeke?

    Malalamiko 75 yalipokelewa TAKUKURU kati ya Januari - Machi 2022. Kati ya Malalamiko hayo, 49 yalihusu Rushwa na 26 hayakuhusiana na Rushwa Idara mbalimbali zilizolalamikiwa ni pamoja na Afya, Elimu, Ardhi, Watendaji wa Kata, TANESCO, Mahakama, Bandari, Mamlaka ya Mapato (TRA), Watu Binafsi...
  4. beth

    JamiiForums Tanzania Hali ya Rushwa Singida: TAMISEMI yaonekana kuwa tatizo, yapokea malalamiko mengi kuliko sekta zote

    Katika Taarifa/Malalamiko 100 yaliyopokelewa na Mamlaka kati ya Januari - Machi 2022, Taarifa 73 zilihusu vitendo vya Rushwa na 27 hazikuhusiana na Rushwa. Malalamiko yalihusu Sekta mbalimbali zikiwemo TAMISEMI (41), Elimu (12), Ardhi (12), Afya (9), Mahakama (6), Mazingira (3), Fedha (03)...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo mkiwaomba 'Rushwa' na Wakiwanyima ndiyo mnapandwa na Hasira na Kuwakamata mbona wakiwapeni hamtangazi Kuwashukuru?

    Basi la Friends linalofanya safari zake kutoka Uganda kwenda mkoani Mwanza, limekamatwa mkoani Geita na Kikosi cha Kupambana na Magendo cha TRA, likiwa limebeba shehena ya vipodozi hatari vilivyopigwa marufuku kuingia nchini, pamoja na bidhaa ambazo zinadaiwa kupitishwa mpaka wa Mtukula...
  6. Mag3

    JamiiForums Tanzania Wabunge walipe kodi, wabunge kutolipa kodi ni rushwa inayotolewa na Serikali

    Wabunge walipe kodi. Katika nchi nyingi ulipaji wa kodi ni majawapo katika sifa kuu kwa wagombeaji wa ubunge kuwa nayo ili wakidhi kuchaguliwa. Ni wazi kuwa kwa Wabunge wetu hawa kwa kutolipa kutolipa kodi wanakosa uhalali wa kuikosoa serikali pamoja na jukumu la kuhimiza ulipaji wa kodi. Sasa...
  7. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania Magufuli hakuwaogopa Mafisadi alikuwa hawakenulii Meno alikuwa jasiri mithili ya simba, kiongozi Jasiri aliyepinga Rushwa waziwazi

    Mafisadi kwa JPM Walitulizwa wakatulia wahuni na wajanja wajanja walinyoosha mikono waliteseka na walinyanyasika na sababu kubwa ni wizi wao Magufuli aliogopeka kwa majizi na maharamia ya nchi hii kuanzia kwa wenye vyeti feki mpaka Mafisadi wakubwa Wazalendo msihofu majizi na mafisadi...
  8. nyboma

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya uteuzi chini ya ofisi ya Rais inanuka rushwa ndio maana wateule wengi wa Rais hutapeliwa ovyo na watu wanaojinasibu hutoka ofisi ya Rais

    Uhuni huu enzi ya Hayati Magufuli haukuwepo ila naona umerudi kwa kasi baada ya Mama Samiah Suluhu kutwaa madaraka. Kwa ufupi ni kwamba mamlaka ya uteuzi chini ya ofisi ya Rais ikulu imejaa na inanuka rushwa, hili limedhilika kwa baadhi ya wateule wa Rais katika nafasi mbalimbali ikiwemo DC...
  9. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Rais Cyril Ramaphosa afunguliwa mashtaka ya rushwa na utekaji nyara

    Aliyekuwa mkuu wa kijasusi nchini Afrika Kusini Arthur Fraser amemshutumu Rais Cyril Ramaphosa kwa utekaji nyara na rushwa katika kesi ambayo ameisajili kwa polisi. Amesema kesi hiyo inahusiana na madai ya jaribio la wizi wa bilioni 9,316,000,000 mnamo 2020 katika moja ya mali za Rais huyo na...
  10. beth

    JamiiForums Tanzania Idara za TAMISEMI, Mahakama, Ardhi, Elimu na Afya zaongoza kulalamikiwa Mara

    TAKUKURU Mkoa wa Mara imepokea Malalamiko 139 ndani ya miezi mitatu (Januari - Machi 2022), na Idara zilizolalamikiwa zaidi ni pamoja na TAMISEMI (58), Mahakama (15), Elimu (14), Ardhi (13) na Afya (12) Katika Malalamiko hayo, 106 yalihusu Vitendo vya Rushwa na mengine 33 hayakuhusiana na...
  11. beth

    JamiiForums Tanzania Taarifa za Rushwa zakithiri Arusha, nini kinapelekea vitendo hivyo kushika kasi Mkoani humo?

    Matukio ya Rushwa yanaripotiwa kwa wingi Mkoani humo, na takwimu za Januari - Machi 2022 zinaonesha kati ya Taarifa 114 zilizopokelewa na Mamlaka, 91 zilihusu Rushwa Katika Taarifa hizo, Uchunguzi wa Majalada 63 unaendelea na mengine 28 Uchunguzi wake umekamilika. Taarifa nyingine 23...
  12. C

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU chunguzeni wanaopanga watu ajira za afya kuna rushwa inaendelea

    Ninaomba suala la hizi nafasi liangaliwe vizuri. Nilishangaa nafasi zilishajaa mapema lakini waliongeza siku ili watu waombe. Kwa sasa watu wanajitahidi kupeleka pesa ili wapate upendeleo. Na hata ucheleweshaji wa kutoa majina ya waliopata nafasi unafanyika ili ipatikane mianya ya watu...
  13. beth

    JamiiForums Tanzania Malalamiko ya Rushwa yamekithiri Mkoani Mwanza. Tatizo nini?

    Taarifa 132 zimepokelewa na TAKUKURU Mkoani Mwanza kati ya Januari - Machi 2022, na 89 zinahusu vitendo vya Rushwa huku 43 zikiwa hazihusiani na Rushwa Kwa taarifa 89 za Rushwa, Majalada ya uchunguzi yalifunguliwa ambapo Uchunguzi wa Majalada 22 uchunguzi wake umekamilika, na 67 uchunguzi bado...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Manyara: TAKUKURU yapokea malalamiko 64 ya rushwa, kuna kesi 26 Mahakamani

    Taasisi Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoani Manyara imetoa ripoti yake kwa muda wa miezi mitatu, Januari hadi Machi 2022. TAKUKURU imetoa elimuya rushwa na athari zake katika jamii, kwa askari wa Jeshi la Polisi eneo la Tengefu la Mirerani. Pia imefanya semina 31, mikutano ya...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Morogoro: TAKUKURU yapokea taarifa 52 za rushwa, yabainisha TAMISEMI imelalamikiwa zaidi

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoani Morogoro imetoa ripoti yake ya miezi mitatu kuanzia Januari hadi Machi 2022 ambapo imepokea taarifa 101, kati ya hizo 52 zilihusu rushwa.
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Iringa: TAKUKURU INAYOTEMBEA yapokelewa vizuri, yazuia rushwa katika minada

    Iringa: TAKUKURU INAYOTEMBEA yapokelewa vizuri, yazuia rushwa katika minada
  17. Bususwa

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TRA, TAKUKURU na Uhamiaji mko wapi?

    Nimekuwa mfanyakazi wa kampuni moja kubwa sana hapa Dsm kwa zaidi ya miaka Saba sasa, baadae nilipelekwa mkoani kwaajili ya kazi yangu hiyo hiyo,hapa sitataja Mkoa kwa sababu ya kuficha uhusika wangu kamili. Hii kampuni imekuwa na mambo ya ajabu sana, tumeajiriwa kwa jina la kampuni x, lakini...
  18. Amaru

    JamiiForums Tanzania WikiLeaks: Kikwete aliwaombea Jairo na January Makamba mafunzo US

    JK made a personal request to ambassador retzer for a management training of his closest aides, named january makamba and david jairo. This is why he hesitated remolving him from office. .and Requests Capacity-Building for State House Staff ---------------------------------------------...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tukisema Rushwa imetembea Dodoma Jiji FC hamtaki Kuamini

    Naomba kujua Kiungo tegemezi Mkandala kaumia wapi mpaka kaomba Kutolewa? Je, huyu Waziri Junior lege lege wa leo ndiyo yule ambaye hucheza na Simba SC kwa Kupambana sana? Huu Mpira walioucheza Dodoma Jjji FC Kipindi cha Pili walikuwa wapi Kuucheza Kipindi cha Kwanza? Hivi Kipa Makini anaweza...
  20. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Je, Ajira ya Tsh 34m kwa mwezi ilikuwa sawa na rushwa kwa Halima Mdee? Alikuwa sahihi kuikataa?

    Wakuu nimetuliza sana akili na kufikiria kauli ya Mbowe kwamba alimwomba aachie ubunge kwa madai kwamba tayari alishamtafutia ajira ya kulipwa USD 15000 kwa mwezi. Kuna maswali kadhaa nimejiuliza nikaona nilete thread hapa huenda tukapata majibu yaliyojaa facts toka kwa wafuasi wa Chama Cha...
Back
Top Bottom