rushwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JF Member

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua Rushwa inafanyaje kazi, angalia Nape na Makamba wanavyochaguliwa huko Dodoma

    Licha ya Nape kushindwa kabisa kwenye bando na anwani za makazi, na January kufeli kabisa kwenye umeme, uashangaa wanavyoenda kuchaguliwa huko kamati kuu! Rushwa ni mbaya ila inawaneemesha hawa vijana.
  2. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Rushwa inadumaza maendeleo ya soka letu

    Kumekua na kawaida ya maamuzi yenye utata ambayo yanainufaisha timu moja au timu kuwa katika kiwango duni sana siku ya mechi na kupelekea kufungwa kirahisi sana vitu ambacho vinahusishwa sana na rushwa Unakuta coastal union anaikazia azam na kufungwa kwa mbinde sana alafu mechi ijayo anapigwa...
  3. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Harufu ya Rushwa CCM Mkutano Mkuu

    Chama cha Mapinduzi kimetangaza Tarehe 7 na 8 Disemba ni Mkutano Mkuu wa Taifa wa ambao utakuwa na jukumu la kuwachagua viongozi wapya ngazi ya Taifa suala la rushwa limeonekana kuitia doa CCM. Tayari malalamiko yameanza kutolewa kwa baadhi ya wagombea kudaiwa kutoa hadi milioni 5 kwa kila...
  4. ryan riz

    JamiiForums Tanzania Lugha chafu, dharau na rushwa kwenye huduma za kijamii, hospitali, idara ya maji, TANESCO na ofisi nyingine za Serikali hata hili serikali mshindwa?

    Kwanini haya masuala yamerudi kwa kasi kwa hawa watoa huduma? Mbona mengine hata hayaitaji fedha kutasimamia lakini wananchi wanakumbana na hii janga la kudharauriwa, kunyanyapaliwa, kukejeli, kutojaliwa na wala kutoheshimiwa... na ukitaka ukwepe hayo yote basi TOA RUSHWA.. Tunaenda wapi sasa...
  5. K

    JamiiForums Tanzania CCM jikiteni: Kupunguza rushwa na Katiba

    Mimi nashauri CCM badala ya kupoteza muda kusifia kinafiki mngetumia muda kwenye vitu viwili 1. Rushwa ambayo inarudi kwa kasi 2. Muwe na mapendekezo yenu kwenye katiba badala ya kutumia muda na nguvu kuzuia mchakato. Kwenye katiba tumieni mijadala na ipinzani kujadili mambo ambayo...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rushwa ya Ngono 'inavyobemenda' Masomo na Ajira nchini

    “RUSHWA ya ngono ipo, lakini haizungumzwi maana inachukuliwa kama jambo la kawaida na lisilozungumzwa hadharani. Vyuoni, ipo kutoka kwa mwalimu wa kiume kwenda kwa wanafunzi wa kike, au kutoka kwa mwanafunzi wa kike kwenda kwa mwalimu wa kiume.” Ndivyo anavyosema Mkurugenzi Mtendaji wa Chama...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Serikali kuweni makini na rushwa na ufuatiliaji

    Rushwa inarudi kwa kasi Tanzania na inasikitisha sana. Serikali na viongozi wakuu kama wenyewe sio wala rushwa inabidi wafanye ufuatiliaji wa vitu vya wananchi. Nitatoa mifano hapa 1. Kama ni mfanyakazi wa serikali tujiulize ni kwanini card za NIDA zinachelewa? Ukiangalia vizuri hakuna tatizo...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU hii Rushwa Kubwa na ya aibu katika Soka la Tanzania kwa sasa hamuioni au mnaifurahia ije Kutugharimu?

    Leo nasema (naandika) hapa wazi wazi kabisa kuwa Ligi Kuu ya Tanzania NBC Premier League imeshaharibiwa kwa Rushwa zilizovuka Viwango ambavyo GENTAMYCINE siogopi na sioni Aibu kusema kuwa zimechochewa na Utajiri wa hawa Matajiri Watatu Gharib na GSM yake, Yusuf na Azam yake na Mo na Mohammed...
  9. Sir robby

    JamiiForums Tanzania CCM ihalalishe rushwa kwa kuwa imeshindwa kuidhibiti

    Wadau habari, Moja ya ahadi za Mwana- CCM ni hii Rushwa ni Adui wa Haki Sitapokea wala kutoa Rushwa. Ahadi hiyo imethibitika kushindikana ndani ya CCM kama Chama Tawala na SERIKALINI kwa sababu viongozi wote wa Serikali, Bunge na Mahakama pamoja na majeshi yetu ni wanachama wa CCM japo kwa...
  10. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Kuhusu rushwa polisi

    Salam Kume kuwa na malalamiko mengi kuhusu rushwa kwa polisi kwamba wanaomba rushwa sana kuliko kawaida Mimi nataka kuwa ambia sababu za moja kuu inayo wapelekea wao waombe rushwa Nuture ya kazi yao inawakutanisha na client wao kwa kiasi kukubwa na ukitaka kujua hilo angalia taasisi za...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rushwa ndani ya chaguzi za CCM ni janga la Taifa

    Chama cha Mapinduzi (CCM), kinaendelea na mchakato wa uchaguzi wa ndani, ambao hivi sasa umefika katika hatua ya uchaguzi wa viongozi wa kitaifa wa jumuiya zake za vijana, wazazi na wanawake. Hata hivyo, uchaguzi uliokamilika wa chama hicho tawala katika ngazi za chini kuanzia matawi, kata...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Aliyekosa Uenyekiti CCM adai Uchaguzi ulitawaliwa na Rushwa

    Nasoro Duduma aliyepata Kura 448 amesema uchaguzi huo uligubikwa hila zilizofanywa na baadhi ya WanaCCM hali iliyosababisha wajumbe kubadilika ghafla na kumchagua Joseph Masunga kwa Kura 621. Amesema uchaguzi huo ulikuwa na vyombo vikubwa vya uangalizi hivyo anaamini hila zote zilizofanywa...
  13. BestOfMyKind

    JamiiForums Tanzania Mwaka mmoja wa mzee Kinana madarakani, vijana wanagawana rushwa hadharani

    Mnakumbuka uchaguzi wa 2015 pale Dodoma kuna mtu alikamatwa na brifkesi la noti karibu na ukumbi wa CCM? Kipindi kile rushwa ilikuwa jambo la kawaida sana ndomana watu walikua na ujasiri ule, na juzi watu wamegawana rushwa kwenye chaguzi za ndani za CCM. Nyakati zote hizi mbili zina uhusiano...
  14. Sir robby

    JamiiForums Tanzania Rushwa kwenye chaguzi CCM zinatia kinyaa

    CCM imejikita kwa kutumia makada wake kina Kibajaji, Msukuma, Kigwangala na Kihongosi kumsema na kumtukana balozi Bashiru badala ya kuzijibu hoja zake kwa umakini. Wakati huo huo CCM ipo kwenye uchaguzi wa viongozi wake nchi nzima uchaguzi uliotawaliwa na utoaji wa rushwa wa kutisha kwa...
  15. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Rais wetu Samia, turudishie Lukuvi Wizara ya Ardhi. Kwa sasa ni mateso, kiburi na rushwa iliyokithiri

    Rais wetu mpendwa Mama Samia ikikupendeza tunakuomba sisi wananchi wako wanyonge uturudishie mnyonge mwenzetu Mh. Lukuvi, alipamudu alipanyoosha nidhamu ilikuwepo haki ilikiwepo heshima ilikiwepo uwajibikaji ulikuwepo usikivu ulikuwepo. Aidha kama hili litakushinda tuwekee dawati hapohapo...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Rushwa na biashara vinarudi Tanzania

    Nimetoka Tanzania juzi na mara ya mwisho kwenda Tanzania ilikuwa 2019. Kwa maono yangu. 1. Biashara zinaanza kurudi kwa kasi na watalii wameongezeka sana. 2. Rushwa inarudi kwa kasi sana hasa NIDA na Police traffic. Mfano NIDA kuna watu wanasubiri miaka miwili card bila kuwaambiwa sababu...
  17. escrow one

    JamiiForums Tanzania Kama ulihisi UVCCM Simiyu ni kiboko, hebu angalia hawa UVCCM Mkoa wa Mara wakigawana rushwa hadharani

    Hii video nimeiona sehemu ikabidi nipate uhakika kisha niipost. Hawa ni wajumbe wa Mkutano Mkuu wa UVCCM Mkoa wa Mara wakigawana Rushwa hadharani bila woga wala soni. Kama vijana wadogo wanalelewa hivi, je hiki chama kina nia kweli ya kutokomeza rushwa?
  18. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania CCM yafuta matokeo ya uchaguzi wa UVCCM mkoa wa Simiyu kwa kilichodaiwa ni kuwepo kwa dalili wazi za rushwa

    Chama Cha Mapinduzi kimefuta matokeo ya uchaguzi wa Umoja wa Vijana (UVCCM) mkoa wa Simiyu kwa kilichodaiwa ni kuwepo kwa dalili wazi za rushwa. Dodoma. Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimefuta matokeo ya uchaguzi wa Umoja wa Vijana (UVCCM) mkoa wa Simiyu kwa kilichodaiwa ni kuwepo kwa dalili za...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Rushwa na biashara vinarudi Tanzania

    Nimetoka Tanzania juzi na mara ya mwisho kwenda Tanzania ilikuwa 2019. Kwa maono yangu 1. Biashara zinaanza kurudi kwa kasi na watalii wameongezeka sana 2. Rushwa inarudi kwa kasi sana hasa NIDA na Police traffic. Mfano NIDA kuna watu wanasubiri miaka miwili card bila kuwaambiwa sababu...
  20. britanicca

    JamiiForums Tanzania CCM yangu Tujitafakari juu ya Rushwa

    Chama changu pendwa cha Mapinduzi tunaumia sana kuona Rushwa inatawala kwenye chaguzi ndogo hizi Alafu na vyombo vya Usalama vinasema ni mambo yetu ya ndani yaachwe? Inaondoa kuaminika Kwa watu! Acheni kutumia Rushwa kupitisha wagombea maana haina afya Kwa Taifa maana CCM ndo Chama tawala...
Back
Top Bottom