Katika mazingira na suala muhimu ambalo linaisaidia sana CCM kuendelea kuwa madarakani ni ukomo wa Rais wa Tanzania na Rais wa Zanzibar kutokuisha mwaka mmoja/wakati mmoja kwa pamoja.
Ni ukweli kuwa ni vigumu sana katika chaguzi zetu za nchi za Afrika kuweza kumuondoa madarakani Rais anayetetea...
Felister Mkombo ambaye ni mama mjane anayeishi Namanyele huko Rukwa amemshukuru Rais Magufuli kwa kumfuta machozi kufuatia kuibiwa ng'ombe zake.
Felister anasema Mkuu wa wilaya na mkuu wa polisi wilaya wameshamlipa sh milioni 15 ambazo ni fidia ya ng'ombe wake kama alivyoagiza mtetezi wa...
viongozi wa Taasisi ya Mashauriano ya Kisheria kwa Nchi za Asia na Afrika (AALCO) ambao wanahudhuria mkutano wa 58 unaofanyika hapa nchini kwa siku 5 ukiwakutanisha wajumbe kutoka nchi wanachama 49 na mashirika mbalimbali.
Viongozi wa AALCO waliokutana na Mhe. Rais Magufuli ni Rais wa AALCO...
Rais Kenyatta amemteua raia mwenye umri wa miaka 91 kuwa mkurugenzi wa vijana na michezo.
Uteuzi huo umepingwa mahakamani na mwanaharakati mmoja kijana lakini Rais Kenyatta amesema hataubadilisha kwa kuwa vijana ni wabadhirifu wa fedha za umma hivyo amemteua huyo mzee ili fedha isiibwe na...
Rais Magufuli ambaye pia ni mwenyekiti wa chama tawala CCM amekutana na viongozi wa chama tawala cha kikomunisti cha China.
Viongozi hao kutoka China wamempongeza Rais Magufuli kwa namna CCM inavyoongoza kwa ufasaha serikali zake mbili ya Muungano na ya Zanzibar.
Source Eatv habari!
Juzi nilimsikia Mheshimiwa Rais Magufuli akisema amehamia rasmi jiji la vumbi Dodoma na kujiandikisha mtaa wa jirani na ofisi yake na makazi yake yalipo Ikulu ya Chamwino.
Lakini kwa siku za hivi karibuni nimekuwa nikimuona Mheshimiwa akiapisha watu Ikulu ya Dar es Salaaam, na leo amepokea...
Kuna waraka ulioandikwa hivi karibuni na Ofisi ya Rais Mstaafu.
Mie nilikuwa sijui, au sijui nimejichanganya, kumbe hata ukistaafu Urais unabaki na Ofisi ya Rais Mstaafu?
Kwa hiyo Tanzania tunazo ofisi 4 za Rais Wastaafu?
Na matumizi ya nembo ya Rais imekaaje hapo. Najaribu kuwaza kwa...
Mkazi wa Kijiji cha Nohli, Wilaya ya Bahi mkoani Dodoma akihifadhi mazao juu ya paa la nyumba kama alivyokutwa kijijini. PICHA: IBRAHIM JOSEPH (Nipashe)
Na. M. M. Mwanakijiji
Tumekuwa tukiona mara kwa mara Rais John Magufuli akiagiza utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo. Na tumeona...
Watumishi na viongozi wa umma, hasa wa wilaya ya Kilwa, mkoani Lindi wameobwa waige na kufuata nyayo za Rais Dkt John Magufuli za katika kushughulikia kero za kijamii.
Mzee Mohamed Auko (80) ambae ni miongoni mwa wafanyabiashara ndogondogo katika soko hilo alisema watendaji na viongozi hawana...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametengua kauli ya Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema ya kuzuia wananchi wa Ilala kuabudu katikati ya wiki, ameamuru wananchi waendelee na ibada kwa kufuata utaratibu.
Chanzo: #MwananchiUpdates
Kuna Mtu Siku nyingi sana aliwahi kuniambia kuwa...
Hongera sana Rwanda, kainchi kadogo kiasi cha mkoa lakini kanaskika na kutikisa...
Raisi wa Urusi, Vladmir Putin amesema kuwa nchi yake inaweza kuisaidia Afrika bila masharti ambayo huambatanishwa kwenye misaada ya mataifa ya magharibi.
''Tunaona jinsi mataifa ya magharibi yanavyotoa...
Rais Magufuli alitoa agizo la kuwataka DEDs wa halmashauri zilizo vijijini lakini wenyewe wanaishi mjini kuhamia maeneo yao ya kazi ndani ya siku 30 na mwisho ni tarehe 07/11/2019.
DED wa Tarime vijijini ameshafungasha virago na tayari yuko kijijini na amewataka watumishi wote kuwa wamehamia...
Wanabodi,
Naomba kuanza na lile angalizo langu la siku zote, kwenye mazuri napongeza, kwenye mabaya nakosoa, kwenye maovu nalaani, na kwenye mapungufu natoa ushauri wa bure.
Andiko hili ni la pongezi, hivyo kama wewe ni mmoja wa watu wa lile kundi ambalo linakereka kila rais Magufuli na awamu...
Waziri mkuu mh Majaliwa ameelekea nchini Urusi ambako atamwakilisha Rais Magufuli katika mkutano wa viongozi wakuu wa Urusi na wale wa Afrika.
Waziri mkuu atapata fursa ya kuzungumza na Rais Putin atakapokuwa nchini humo.
Chanzo: Channel ten!
Mimi nilichojifunza ni kuwa serikali ya sasa imeanza kubadilika kwenye nyanja ya mawasiliano kwa umma hasa namna ya kukabiliana na tuhuma na uzushi wa kwenye mitandao ya kijamii lakini pia kwenye kuvuja kwa siri za Ikulu.
Kwa jinsi ambavyo serikali/Ikulu imekabiliana na uzushi uliofanyika kwa...
Habari wanabodi,
Nimeshangazwa kuona Kanali (Mpambe wa Rais) akipigiwa saluti na IGP Sirro pamoja na Kamishna Mkuu wa Magereza..
Je, hii ina maana Cheo cha Kanali ni cheo kikubwa sana kuliko cheo cha IGP pamoja na makamishna wote wa vyombo vingine vya dola ukitoa JWTZ?
Na Je, cheo kikubwa...
TAARIFA
Mhe. Rais Magufuli leo tarehe 20 Oktoba, 2019 atawaapisha Mtendaji Mkuu wa Mahakama, Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI na Balozi.
Hafla ya uapisho huo itafanyika Ikulu Jijini DSM kuanzia saa 9:30 alasiri hii. Itarushwa mubashara kupitia Redio, Televisheni na Mitandao.
====
UPDATES: 1600hrs...
Nimefuatilia uvumi na mjadala mtandaoni kuhusu afya ya Mheshimiwa Rais wetu. Nina matatu ya kusema:
Mosi: Afya ya Rais wa nchi ni maslahi ya taifa na inapaswa kutofanyiwa soga. Afya ya Rais inahusika na maslahi ya nchi yetu ndani na nje. Tusiuendee uvumi huu kwa papara. Tuwe watulivu, tuipe...
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kumuwakilisha Rais Magufuli kuwa mgeni rasmi katika Mkutano wa 58 wa mwaka wa Shirika la Mashauriano ya Kisheria kwa Nchi za Asia na Afrika (AALCO) utakao anza Jumatatu Oktoba 21 hadi 25 jijini Dar es Salaam.
UPDATE:
Fuatilia LIVE coverage hapa:
Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila
==========
Heshima kwenu wakuu,
Heshima kwenu wakuu,
Kuna habari zinasambaa kwamba Rais wa Tanzania John Magufuli anaumwa wengine wanasema amekatiza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.