Felister Mkombo amshukuru Rais Magufuli, asema DC na OCD wamemlipa Tzs milioni 15 kama alivyowaagiza

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
86,302
146,771
Felister Mkombo ambaye ni mama mjane anayeishi Namanyele huko Rukwa amemshukuru Rais Magufuli kwa kumfuta machozi kufuatia kuibiwa ng'ombe zake.

Felister anasema Mkuu wa wilaya na mkuu wa polisi wilaya wameshamlipa sh milioni 15 ambazo ni fidia ya ng'ombe wake kama alivyoagiza mtetezi wa wanyonge Rais Magufuli.

Naye mkuu wa wilaya mh Mtanda amewataka watumishi wa umma wilayani humo kuwa makini na majukumu yao ili pasije pakatokea uzembe mwingine.

Chanzo: Channel ten!

Pia soma

Leo katika uchambuzi wa magazeti WASAFI FM

Zembwela (ndimu) na mwenzake Maulidi (chumvi)

wmesoma gazeti moja hivi wameandika kuwa huy mama katika mil 15

Alikabidhiwa zote 15 ila kufika nyumbani akakuta Ndugu wameweka kikao na wakamwambia awape hela

aliyopewa yote akawapa wakamuachia mil 3 tu myingine 12 yote jamaa na ndugu wamechukua

KESI imefika kwa DC na mama amepewa ulinzi wa kumpgia patrol nyumbani kwake

ila HELA iliyochukuliwa haijulikani itarudshwa au LAH ktika 15M mama kalamba 3M tu

Kwa mujibu wa gazeti lililochambuliwa na CHUMVI + NDIMU
 
Hakupeleka benki? Hao ng'ombe hawakuwa wake labda.Anarudi kwa mkuu wa wilaya kufanya Nini wakati pesa Yake alishapewa na huyo mkuu wa wilaya
 
sikujua kwa undani si unajua kwenye uchambuzi tena wanaongeaa juu juu tu
 
Back
Top Bottom