figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,890
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kumuwakilisha Rais Magufuli kuwa mgeni rasmi katika Mkutano wa 58 wa mwaka wa Shirika la Mashauriano ya Kisheria kwa Nchi za Asia na Afrika (AALCO) utakao anza Jumatatu Oktoba 21 hadi 25 jijini Dar es Salaam.