Rais Magufuli akutana na viongozi wa chama tawala cha China Ikulu

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,936
141,907
Rais Magufuli ambaye pia ni mwenyekiti wa chama tawala CCM amekutana na viongozi wa chama tawala cha kikomunisti cha China.

Viongozi hao kutoka China wamempongeza Rais Magufuli kwa namna CCM inavyoongoza kwa ufasaha serikali zake mbili ya Muungano na ya Zanzibar.

Source Eatv habari!
 
Hawa hawana maana chini ya XI. Utawala wote wa CHINA uko chini ya STATE sio PARTY tena. wamekuja kula bata tu.
 
Hahahahahaahaha zama hizi wana ng'ang'ania picha daaaah... Kipindi kile walikuwa wana lalama TBC Mara picha zimekuwa nyingi....

Maisha yana enda kasi sanaaa
 
Rais Magufuli ambaye pia ni mwenyekiti wa chama tawala CCM amekutana na viongozi wa chama tawala cha kikomunisti cha China.

Viongozi hao kutoka China wamempongeza Rais Magufuli kwa namna CCM inavyoongoza kwa ufasaha serikali zake mbili ya Muungano na ya Zanzibar.

Source Eatv habari!
Hao ni ndugu zetu wa kweli kuliko wanafiki mabeberu!
 
Alisema alimaliza ziara atakuwa Chamwino, au ndo walikutania huko?
 
Hawa hawana maana chini ya XI. Utawala wote wa CHINA uko chini ya STATE sio PARTY tena. wamekuja kula bata tu.
Natumaini unakielewa unachokizungumzia hapa, na unaweza kukieleza kwaufasaha na sio bla bla tu za kujisikia mwenyewe.

Hapa unaizungumzia CCM, na sio 'The Communist Party of China.'
 
Labda nimalizie kwa sema kwamba nafasi ya CPC chini ya President Xi katika utawala wa CHINA na nafasi ya CCM chini ya Magufuri katika utawala wa Tanzania zimekuwa displaced. STATE ndio zinashika hatamu katika mataifa yote hayo mawili.
 
Back
Top Bottom